المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Kauli ilio fupishwa kuhusu "Al’masi7h alkadhab alasher” masi7hi mrongo menye shari na suali kwa mulizaji na jibu kwa suali lake ..



Admin
10-06-2018, 01:51 PM
- 6 -
Al’imam Nasser Mohammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - محرم - 1429 هـ
18 - 12 - 2008 مـ
03:21 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://mahdialumma.online/showthread.php?t=1306
ــــــــــــــــــ

القول المختصر في المسيح الكذاب الأشِر
وسؤال إلى السائل والإجابة على سؤاله ..

[Kauli ilio fupishwa kuhusu "Al’masi7h alkadhab alasher” masi7hi mrongo menye shari na suali kwa mulizaji na jibu kwa suali lake ..]

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Aliokhitimisha Ma Nabi Na Mitume Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Salam Na Walio Fwata Haki Mpaka Siku Dini, Ama Bada Ya Hapo..

Na hio kwako suali ewe ambae unae uliza na suali ni je Allah Subhanahu Wa Ta3ala Aliwambia Malaika Wake Kwamba Yeye Ataweka Katika Bustani “janat almaawa” kwenye sidrat almuntaha Khalifa Na Akimfanya Na Akampuliza ndani yake katika roho Yake basi Wawe Kwake Ni Wenye Kumsujudia? Na najua jibu lako kwetu na utasema. Amesema Allah Ta3ala: ]{وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَائِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الْأَرْضِ خَلِيفَةً قَالُوا أَتَجْعَلُ فِيهَا مَن يُفْسِدُ فِيهَا وَيَسْفِكُ الدِّمَاءَ وَنَحْنُ نُسَبِّحُ بِحَمْدِكَ وَنُقَدِّسُ لَكَ قَالَ إِنِّي أَعْلَمُ مَا لَا تَعْلَمُونَ ﴿٣٠﴾ وَعَلَّمَ آدَمَ الْأَسْمَاءَ كُلَّهَا ثُمَّ عَرَضَهُمْ عَلَى الْمَلَائِكَةِ فَقَالَ أَنبِئُونِي بِأَسْمَاءِ هَـٰؤُلَاءِ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ ﴿٣١﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ لَا عِلْمَ لَنَا إِلَّا مَا عَلَّمْتَنَا إِنَّكَ أَنتَ الْعَلِيمُ الْحَكِيمُ ﴿٣٢﴾ قَالَ يَا آدَمُ أَنبِئْهُم بِأَسْمَائِهِمْ فَلَمَّا أَنبَأَهُم بِأَسْمَائِهِمْ قَالَ أَلَمْ أَقُل لَّكُمْ إِنِّي أَعْلَمُ غَيْبَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَأَعْلَمُ مَا تُبْدُونَ وَمَا كُنتُمْ تَكْتُمُونَ ﴿٣٣﴾ وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَىٰ وَاسْتَكْبَرَ وَكَانَ مِنَ الْكَافِرِينَ ﴿٣٤﴾ وَقُلْنَا يَا آدَمُ اسْكُنْ أَنتَ وَزَوْجُكَ الْجَنَّةَ وَكُلَا مِنْهَا رَغَدًا حَيْثُ شِئْتُمَا وَلَا تَقْرَبَا هَـٰذِهِ الشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ الظَّالِمِينَ ﴿٣٥﴾ فَأَزَلَّهُمَا الشَّيْطَانُ عَنْهَا فَأَخْرَجَهُمَا مِمَّا كَانَا فِيهِ وَقُلْنَا اهْبِطُوا بَعْضُكُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ وَلَكُمْ فِي الْأَرْضِ مُسْتَقَرٌّ وَمَتَاعٌ إِلَىٰ حِينٍ ﴿٣٦﴾ فَتَلَقَّىٰ آدَمُ مِن رَّبِّهِ كَلِمَاتٍ فَتَابَ عَلَيْهِ إِنَّهُ هُوَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ ﴿٣٧﴾ قُلْنَا اهْبِطُوا مِنْهَا جَمِيعًا فَإِمَّا يَأْتِيَنَّكُم مِّنِّي هُدًى فَمَن تَبِعَ هُدَايَ فَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ ﴿٣٨﴾ وَالَّذِينَ كَفَرُوا وَكَذَّبُوا بِآيَاتِنَا أُولَـٰئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ ﴿٣٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema {Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua {30} Na akamfundisha Adam majina YOTE kisha akawa’dhihirisha mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hawa ikiwa mnasema kweli {31} Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima {32} Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yao. Basi alipo waambia majina yao alisema: Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha {33} Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri {34] Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu {35} Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda {36} Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu {37} Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika {38} Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu {39}} (http://www.iium.edu.my/deed/quran/swahili/without/c2.htm#38)
Sadaqa Allah Al3adhim [ALBAQARA].
Basi angalia kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلاَئِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الأَرْضِ خَلِيفَةً} صدق الله العظيم،
{Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi)} Sadaqa Allah Al3adhim.
Na Kadhalika Kauli Ya Allah Ta3ala
{وَقُلْنَا يَا آدَمُ اسْكُنْ أَنْتَ وَزَوْجُكَ الجنَّة وَكُلَا مِنْهَا رَغَداً حَيْثُ شِئْتُمَا وَلاَ تَقْرَبَا هَذِهِ الشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنْ الظَّالِمِينَ. فَأَزَلَّهُمَا الشّيْطان عَنْهَا فَأَخْرَجَهُمَا مِمَّا كَانَا فِيهِ}صدق الله العظيم،
[Allah Ta3ala Asema: {Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu {35} Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo} Sadaqa Allah Al3adhim,
Basi pelelezeni ma Aya zote ambazo zimekuja kuhusu hili jambo mutaenda kujua yale mulikua hamujui, basi pelelezeni ma Aya ambazo ni muhakamat zilio wazi maana yake ambazo zimekuja katika mama wa kitabu kuhusu hili jambo ndio mutaenda kujua. Amesema Allah Ta3ala:

{وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَائِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الْأَرْضِ خَلِيفَةً قَالُوا أَتَجْعَلُ فِيهَا مَن يُفْسِدُ فِيهَا وَيَسْفِكُ الدِّمَاءَ وَنَحْنُ نُسَبِّحُ بِحَمْدِكَ وَنُقَدِّسُ لَكَ قَالَ إِنِّي أَعْلَمُ مَا لَا تَعْلَمُونَ ﴿٣٠﴾ وَعَلَّمَ آدَمَ الْأَسْمَاءَ كُلَّهَا ثُمَّ عَرَضَهُمْ عَلَى الْمَلَائِكَةِ فَقَالَ أَنبِئُونِي بِأَسْمَاءِ هَـٰؤُلَاءِ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ ﴿٣١﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ لَا عِلْمَ لَنَا إِلَّا مَا عَلَّمْتَنَا إِنَّكَ أَنتَ الْعَلِيمُ الْحَكِيمُ ﴿٣٢﴾ قَالَ يَا آدَمُ أَنبِئْهُم بِأَسْمَائِهِمْ فَلَمَّا أَنبَأَهُم بِأَسْمَائِهِمْ قَالَ أَلَمْ أَقُل لَّكُمْ إِنِّي أَعْلَمُ غَيْبَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَأَعْلَمُ مَا تُبْدُونَ وَمَا كُنتُمْ تَكْتُمُونَ ﴿٣٣﴾ وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَىٰ وَاسْتَكْبَرَ وَكَانَ مِنَ الْكَافِرِينَ ﴿٣٤﴾ وَقُلْنَا يَا آدَمُ اسْكُنْ أَنتَ وَزَوْجُكَ الْجَنَّةَ وَكُلَا مِنْهَا رَغَدًا حَيْثُ شِئْتُمَا وَلَا تَقْرَبَا هَـٰذِهِ الشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ الظَّالِمِينَ ﴿٣٥﴾ فَأَزَلَّهُمَا الشَّيْطَانُ عَنْهَا فَأَخْرَجَهُمَا مِمَّا كَانَا فِيهِ وَقُلْنَا اهْبِطُوا بَعْضُكُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ وَلَكُمْ فِي الْأَرْضِ مُسْتَقَرٌّ وَمَتَاعٌ إِلَىٰ حِينٍ ﴿٣٦﴾فَتَلَقَّىٰ آدَمُ مِن رَّبِّهِ كَلِمَاتٍ فَتَابَ عَلَيْهِ إِنَّهُ هُوَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ ﴿٣٧﴾ قُلْنَا اهْبِطُوا مِنْهَا جَمِيعًا فَإِمَّا يَأْتِيَنَّكُم مِّنِّي هُدًى فَمَن تَبِعَ هُدَايَ فَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ ﴿٣٨﴾ وَالَّذِينَ كَفَرُوا وَكَذَّبُوا بِآيَاتِنَا أُولَـٰئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ ﴿٣٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
[Allah Ta3ala Asema: {Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua {30} Na akamfundisha Adam majina yao wote, kisha akawadhihirisha mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hawa ikiwa mnasema kweli {31} Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima {32} Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yao. Basi alipo waambia majina yao alisema: Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha {33}Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri {34] Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu {35} Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda {36} Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu {37} Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika {38} Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu {39}} (http://www.iium.edu.my/deed/quran/swahili/without/c2.htm#38)
Sadaqa Allah Al3adhim [ALBAQARA].

Na Akasema Allah Ta3ala
{إِنَّ مَثَلَ عِيسَى عِنْدَ اللَّهِ كَمَثَلِ آدَمَ خَلَقَهُ مِنْ تُرَابٍ ثُمَّ قَالَ لَهُ كُنْ فَيَكُونُ} صدق الله العظيم [آل عمران:59].
Allah TA3la Asema: {Hakika mfano wa isa kwa Allah ni kama mfano wa Adam Amemumba kwa mchanga alafu Akamwambia kua basi akawa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].

Na Akasema Allah Ta3ala
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمْ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالاً كَثِيراً وَنِسَاءً وَاتَّقُوا اللَّهَ الَّذِي تَتَسَاءَلُونَ بِهِ وَالأَرْحَامَ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيباً} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema: {Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].

Kama Alivo Sem{يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُمْ مِنْ ذَكَرٍ وَأُنثَى وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوباً وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِنْدَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ} صدق الله العظيم [الحجرات:13].
Allah Ta3ala Asema: {Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhujurat;13].

Na Akasema Allah Ta3ala
{هُوَ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَجَعَلَ مِنْهَا زَوْجَهَا لِيَسْكُنَ إِلَيْهَا} صدق الله العظيم [الأعراف:189].
Allah Ta3ala Asema: {Yeye ndiye aliye kuumbeni katika nafsi moja; na katika hiyo hiyo akamfanya mwenzi wake, ili akae naye kwa utulivu} Sadaqa Allaha Al3adhim [Alaaraf:189].

Na Akasema Ta3ala
{وَلَقَدْ خَلَقْنَاكُمْ ثُمَّ صَوَّرْنَاكُمْ ثُمَّ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ لَمْ يَكُن مِّنَ السَّاجِدِينَ ﴿١١﴾ قَالَ مَا مَنَعَكَ أَلَّا تَسْجُدَ إِذْ أَمَرْتُكَ قَالَ أَنَا خَيْرٌ مِّنْهُ خَلَقْتَنِي مِن نَّارٍ وَخَلَقْتَهُ مِن طِينٍ ﴿١٢﴾ قَالَ فَاهْبِطْ مِنْهَا فَمَا يَكُونُ لَكَ أَن تَتَكَبَّرَ فِيهَا فَاخْرُجْ إِنَّكَ مِنَ الصَّاغِرِينَ ﴿١٣﴾ قَالَ أَنظِرْنِي إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ ﴿١٤﴾ قَالَ إِنَّكَ مِنَ الْمُنظَرِينَ ﴿١٥﴾ قَالَ فَبِمَا أَغْوَيْتَنِي لَأَقْعُدَنَّ لَهُمْ صِرَاطَكَ الْمُسْتَقِيمَ ﴿١٦﴾ ثُمَّ لَآتِيَنَّهُم مِّن بَيْنِ أَيْدِيهِمْ وَمِنْ خَلْفِهِمْ وَعَنْ أَيْمَانِهِمْ وَعَن شَمَائِلِهِمْ وَلَا تَجِدُ أَكْثَرَهُمْ شَاكِرِينَ ﴿١٧﴾ قَالَ اخْرُجْ مِنْهَا مَذْءُومًا مَّدْحُورً لَّمَن تَبِعَكَ مِنْهُمْ لَأَمْلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنكُمْ أَجْمَعِينَ ﴿١٨﴾ وَيَا آدَمُ اسْكُنْ أَنتَ وَزَوْجُكَ الْجَنَّةَ فَكُلَا مِنْ حَيْثُ شِئْتُمَا وَلَا تَقْرَبَا هَـٰذِهِ الشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ الظَّالِمِينَ ﴿١٩﴾ فَوَسْوَسَ لَهُمَا الشَّيْطَانُ لِيُبْدِيَ لَهُمَا مَا وُورِيَ عَنْهُمَا مِن سَوْآتِهِمَا وَقَالَ مَا نَهَاكُمَا رَبُّكُمَا عَنْ هَـٰذِهِ الشَّجَرَةِ إِلَّا أَن تَكُونَا مَلَكَيْنِ أَوْ تَكُونَا مِنَ الْخَالِدِينَ ﴿٢٠﴾ وَقَاسَمَهُمَا إِنِّي لَكُمَا لَمِنَ النَّاصِحِينَ ﴿٢١﴾ فَدَلَّاهُمَا بِغُرُورٍ فَلَمَّا ذَاقَا الشَّجَرَةَ بَدَتْ لَهُمَا سَوْآتُهُمَا وَطَفِقَا يَخْصِفَانِ عَلَيْهِمَا مِن وَرَقِ الْجَنَّةِ وَنَادَاهُمَا رَبُّهُمَا أَلَمْ أَنْهَكُمَا عَن تِلْكُمَا الشَّجَرَةِ وَأَقُل لَّكُمَا إِنَّ الشَّيْطَانَ لَكُمَا عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٢﴾ قَالَا رَبَّنَا ظَلَمْنَا أَنفُسَنَا وَإِن لَّمْ تَغْفِرْ لَنَا وَتَرْحَمْنَا لَنَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ ﴿٢٣﴾ قَالَ اهْبِطُوا بَعْضُكُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ وَلَكُمْ فِي الْأَرْضِ مُسْتَقَرٌّ وَمَتَاعٌ إِلَىٰ حِينٍ ﴿٢٤﴾ قَالَ فِيهَا تَحْيَوْنَ وَفِيهَا تَمُوتُونَ وَمِنْهَا تُخْرَجُونَ ﴿٢٥﴾} صدق الله العظيم [{الأعراف].
Allah Ta3ala Asema: {Na hakika tulikumbeni kisha tukakutieni sura kisha tukawambia Malaika msujudieni Adam wakamsujudia ila ibilisi hakua miongoni mwa walio sujudu {11} Allah Akasema nini kilio kuzuwia kumsujudia nilipo kuamirisha akasema mimi ni bora kuliko yeye umniumba na moto na ukamumba na udongo {12} Akasema: Basi teremka kutoka humo! Haikufalii kufanya kiburi humo. Basi toka! Hakika wewe u miongoni mwa walio duni {13}Akasema: Nipe muhula mpaka siku watakapo fufuliwa {14} kasema: Utakuwa miongoni mwa walio pewa muhula {15} Akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka {16} Kisha nitawazukia mbele yao na nyuma yao na kuliani kwao na kushotoni kwao. Wala hutawakuta wengi wao wenye shukran {17}Akasema: Toka humo, nawe umekwisha fedheheka, umekwisha fukuzwa. Hapana shaka atakaye kufuata miongoni mwao, basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote {18}Na wewe, Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani hii, na kuleni humo mpendapo. Wala msiukaribie mti huu, mkawa katika wale walio dhulumu {19}Basi Shet'ani aliwatia wasiwasi ili kuwafichulia tupu zao walizo fichiwa, na akasema: Mola Mlezi wenu hakukukatazeni mti huu ila msije mkawa Malaika, au msije mkawa katika wanao ishi milele {20}Naye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini {21}Basi akawateka kwa khadaa. Walipo uonja ule mti, tupu zao zilifichuka na wakaingia kujibandika majani ya Bustanini. Mola wao Mlezi akawaita: Je, sikukukatazeni mti huo, na kukwambieni ya kwamba Shet'ani ni adui yenu wa dhaahiri {22}Wakasema: Mola wetu Mlezi! tumejidhulumu nafsi zetu, na kama hutusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa katika wenye kukhasirika {23}Akasema: Teremkeni! Mtakuwa nyinyi kwa nyinyi maadui. Na kwenye ardhi itakuwa ndio makao yenu na starehe yenu mpaka ufike muda {24}Akasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa {25}} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].]

Kama Alivo Sema katika Aya ingine
{مِنْهَا خَلَقْنَاكُمْ وَفِيهَا نُعِيدُكُمْ وَمِنْهَا نُخْرِجُكُمْ تَارَةً أُخْرَى} صدق الله العظيم [طه:55].
{Kutokana nayo (Ardhi) Tumekumbeni na humo Tunakurudisheni na kutokana humo Tunakutoweni mara nyingine} Sadaqa Allah Al3adhim [Taha:55].


{وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ مِن صَلْصَالٍ مِّنْ حَمَإٍ مَّسْنُونٍ ﴿٢٦﴾ وَالْجَانَّ خَلَقْنَاهُ مِن قَبْلُ مِن نَّارِ السَّمُومِ ﴿٢٧﴾ وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَائِكَةِ إِنِّي خَالِقٌ بَشَرًا مِّن صَلْصَالٍ مِّنْ حَمَإٍ مَّسْنُونٍ ﴿٢٨﴾ فَإِذَا سَوَّيْتُهُ وَنَفَخْتُ فِيهِ مِن رُّوحِي فَقَعُوا لَهُ سَاجِدِينَ ﴿٢٩﴾ فَسَجَدَ الْمَلَائِكَةُ كُلُّهُمْ أَجْمَعُونَ ﴿٣٠﴾ إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَىٰ أَن يَكُونَ مَعَ السَّاجِدِينَ ﴿٣١﴾ قَالَ يَا إِبْلِيسُ مَا لَكَ أَلَّا تَكُونَ مَعَ السَّاجِدِينَ ﴿٣٢﴾ قَالَ لَمْ أَكُن لِّأَسْجُدَ لِبَشَرٍ خَلَقْتَهُ مِن صَلْصَالٍ مِّنْ حَمَإٍ مَّسْنُونٍ ﴿٣٣﴾ قَالَ فَاخْرُجْ مِنْهَا فَإِنَّكَ رَجِيمٌ ﴿٣٤﴾ وَإِنَّ عَلَيْكَ اللَّعْنَةَ إِلَىٰ يَوْمِ الدِّينِ ﴿٣٥﴾ قَالَ رَبِّ فَأَنظِرْنِي إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ ﴿٣٦﴾ قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ الْمُنظَرِينَ ﴿٣٧﴾ إِلَىٰ يَوْمِ الْوَقْتِ الْمَعْلُومِ ﴿٣٨﴾ قَالَ رَبِّ بِمَا أَغْوَيْتَنِي لَأُزَيِّنَنَّ لَهُمْ فِي الْأَرْضِ وَلَأُغْوِيَنَّهُمْ أَجْمَعِينَ ﴿٣٩﴾ إِلَّا عِبَادَكَ مِنْهُمُ الْمُخْلَصِينَ ﴿٤٠﴾ قَالَ هَـٰذَا صِرَاطٌ عَلَيَّ مُسْتَقِيمٌ﴿٤١﴾ إِنَّ عِبَادِي لَيْسَ لَكَ عَلَيْهِمْ سُلْطَانٌ إِلَّا مَنِ اتَّبَعَكَ مِنَ الْغَاوِينَ ﴿٤٢﴾ وَإِنَّ جَهَنَّمَ لَمَوْعِدُهُمْ أَجْمَعِينَ ﴿٤٣﴾ لَهَا سَبْعَةُ أَبْوَابٍ لِّكُلِّ بَابٍ مِّنْهُمْ جُزْءٌ مَّقْسُومٌ ﴿٤٤﴾} صدق الله العظيم [الحجر].
Allah Ta3ala Asema: {Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura (26) Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto (27) Na Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura (28) Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia (29) Basi Malaika wote pamoja walimsujudia (30) Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu (31) (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu (32) Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenye sura (33) (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni (34) Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo (35) Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapo fufuliwa (36) (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula (37) Mpaka siku ya wakati maalumu (38) Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote (39) Ila waja wako walio safika (40) Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka (41) Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata (42) Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote (43) Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhijr].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ قَالَ أَأَسْجُدُ لِمَنْ خَلَقْتَ طِينًا ﴿٦١﴾ قَالَ أَرَأَيْتَكَ هَـٰذَا الَّذِي كَرَّمْتَ عَلَيَّ لَئِنْ أَخَّرْتَنِ إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ لَأَحْتَنِكَنَّ ذُرِّيَّتَهُ إِلَّا قَلِيلًا ﴿٦٢﴾ قَالَ اذْهَبْ فَمَن تَبِعَكَ مِنْهُمْ فَإِنَّ جَهَنَّمَ جَزَاؤُكُمْ جَزَاءً مَّوْفُورًا ﴿٦٣﴾ وَاسْتَفْزِزْ مَنِ اسْتَطَعْتَ مِنْهُم بِصَوْتِكَ وَأَجْلِبْ عَلَيْهِم بِخَيْلِكَ وَرَجِلِكَ وَشَارِكْهُمْ فِي الْأَمْوَالِ وَالْأَوْلَادِ وَعِدْهُمْ وَمَا يَعِدُهُمُ الشَّيْطَانُ إِلَّا غُرُورًا ﴿٦٤﴾ إِنَّ عِبَادِي لَيْسَ لَكَ عَلَيْهِمْ سُلْطَانٌ وَكَفَىٰ بِرَبِّكَ وَكِيلًا ﴿٦٥﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3la Asema: {Na pale tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam. Wakamsujudia isipo kuwa Iblisi. Akasema: Je! Nimsujudie uliye muumba kwa udongo (61) Akasema: Hebu nambie khabari ya huyu uliye mtukuza juu yangu. Ukiniakhirisha mpaka Siku ya Kiyama, hapana shaka nitawaangamiza dhuriya zake wasipo kuwa wachache tu (62) Akasema Mwenyezi Mungu: Ondokelea mbali! Atakaye kufuata katika wao, basi Jahannamu itakuwa ndiyo malipo yenu (63) Na wachochee uwawezao katika wao kwa sauti yako, na wakusanyie jeshi lako la wapandao farasi na waendao kwa miguu. Na shirikiana nao katika mali na wana, na waahidi. Na Shet'ani hawapi ahadi ila ya udanganyifu (64) Hakika wewe huna mamlaka juu ya waja wangu. Na Mola wako Mlezi anatosha kuwa ni wa kutegemewa (65)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa].

Na Akasema Ta3ala
{وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلاَئِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلاّ إِبْلِيسَ كَانَ مِنْ الْجِنِّ فَفَسَقَ عَنْ أَمْرِ رَبِّهِ أَفَتَتَّخِذُونَهُ وَذُرِّيَّتَهُ أَوْلِيَاءَ مِنْ دُونِي وَهُمْ لَكُمْ عَدُوٌّ بِئْسَ لِلظَّالِمِينَ بَدَلاً} صدق الله العظيم [الكهف:50].
Allah Ta3al Asema: {Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf;50].]

Na Akasema Ta3ala]{وَلَقَدْ عَهِدْنَا إِلَىٰ آدَمَ مِن قَبْلُ فَنَسِيَ وَلَمْ نَجِدْ لَهُ عَزْمًا ﴿١١٥﴾ وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَىٰ ﴿١١٦﴾ فَقُلْنَا يَا آدَمُ إِنَّ هَـٰذَا عَدُوٌّ لَّكَ وَلِزَوْجِكَ فَلَا يُخْرِجَنَّكُمَا مِنَ الْجَنَّةِ فَتَشْقَىٰ ﴿١١٧﴾ إِنَّ لَكَ أَلَّا تَجُوعَ فِيهَا وَلَا تَعْرَىٰ ﴿١١٨﴾ وَأَنَّكَ لَا تَظْمَأُ فِيهَا وَلَا تَضْحَىٰ ﴿١١٩﴾ فَوَسْوَسَ إِلَيْهِ الشَّيْطَانُ قَالَ يَا آدَمُ هَلْ أَدُلُّكَ عَلَىٰ شَجَرَةِ الْخُلْدِ وَمُلْكٍ لَّا يَبْلَىٰ ﴿١٢٠﴾ فَأَكَلَا مِنْهَا فَبَدَتْ لَهُمَا سَوْآتُهُمَا وَطَفِقَا يَخْصِفَانِ عَلَيْهِمَا مِن وَرَقِ الْجَنَّةِ وَعَصَىٰ آدَمُ رَبَّهُ فَغَوَىٰ ﴿١٢١﴾ ثُمَّ اجْتَبَاهُ رَبُّهُ فَتَابَ عَلَيْهِ وَهَدَىٰ ﴿١٢٢﴾} صدق الله العظيم [طه].
Allah Ta3ala Asema: {Na hapo zamani tuliagana na Adam, lakini alisahau, wala hatukuona kwake azma kubwa (115) Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa (116) Tukasema: Ewe Adam! Hakika huyu ni adui yako na wa mkeo. Basi asikutoeni katika Bustani hii, mkaingia mashakani (117) Hakika humo hutakuwa na njaa wala hutakuwa uchi (118) Na hakika hutapata kiu humo wala hutapata joto (119) Lakini Shet'ani alimtia wasiwasi, akamwambia: Ewe Adam! Nikujuulishe mti wa kuishi milele na ufalme usio koma (120) Basi wakaula wote wawili, na uchi wao ukawadhihirikia na wakaanza kujibandika majani ya Bustani. Na Adam akamuasi Mola wake Mlezi, na akapotea njia (121) Kisha Mola wake Mlezi akamteuwa, naye akamkubalia toba yake, naye akamwongoa (122)} Sadaqa Allah Al3adhim [Taha].

Na Bada kupeleleza mutenda kujua yale mulikua hamuyajuwi yale yanao fwata

[1- Hkika Allah hakumweka Adam ni Khalifa katika Bustani Janat’almaawa kwa sidrat almuntaha bali amemweka katika Ardhi, Yani kwamba kunao Janna ya Allah katika Ardhi bila ya shaka wala utetanishi nayo ndio alijalia ndani yake Khalifa juu ya walio kuwa ndani yake katika ma jini, Na hivo hivo Aliwamuru Allah Malaika kwa kumtii Khalifa wa Mola Mlezi wao kusujudu kwajili ya Allah, Na inachunguzwa kutokana na hizo ma Aya dalili ya ukhilafa kwamba nayo ni katika Ardhi kutoka mwanzo wa jambo na dalili Kaulu Ya Allah Ta3ala:
{وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلاَئِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الأَرْضِ خَلِيفَةً}
صدق الله العظيم.
{Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa}


2- Na kisha tunachunguza kwamba hi Ardhi kuna ndani yake bustani janna ya Allah na dalili kwa hayo Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَا آدَمُ اسْكُنْ أَنْتَ وَزَوْجُكَ الجنَّة فَكُلاَ مِنْ حَيْثُ شِئْتُمَا وَلاَ تَقْرَبَا هَذِهِ الشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنْ الظَّالِمِينَ}صدق الله العظيم.
{Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu } Sadaqa Allah Al3adhim.


3- Kisha tunachunguza kamba Allah Alimwamuru iblisi kutoka ndani yake alafu akataka kwa Allah kwamba amwache ndani yake mpaka amfitini alio mkirimu Allah ju yake! Na akaomba shetani hili ombi kwa njia ya kuchalenji kwamba ikiwa atacheleweshwa alafu Akamjibu Allah ombi lake alafu Akamhadharisha Adam kutokana nae na Adam alisikia hio chalenji kutoka kwa ibilisi na akatangaza uwaduwi kwa Adam na mkewake na kizazi chake wote na inachunguzwa hayo katika Kauli Ya Allah Ta3ala
{فَقُلْنَا يَا آدَمُ إِنَّ هَـٰذَا عَدُوٌّ لَّكَ وَلِزَوْجِكَ فَلَا يُخْرِجَنَّكُمَا مِنَ الْجَنَّةِ فَتَشْقَىٰ ﴿١١٧﴾ إِنَّ لَكَ أَلَّا تَجُوعَ فِيهَا وَلَا تَعْرَىٰ ﴿١١٨﴾ وَأَنَّكَ لَا تَظْمَأُ فِيهَا وَلَا تَضْحَىٰ ﴿١١٩﴾ فَوَسْوَسَ إِلَيْهِ الشَّيْطَانُ قَالَ يَا آدَمُ هَلْ أَدُلُّكَ عَلَىٰ شَجَرَةِ الْخُلْدِ وَمُلْكٍ لَّا يَبْلَىٰ ﴿١٢٠﴾ فَأَكَلَا مِنْهَا فَبَدَتْ لَهُمَا سَوْآتُهُمَا وَطَفِقَا يَخْصِفَانِ عَلَيْهِمَا مِن وَرَقِ الْجَنَّةِ وَعَصَىٰ آدَمُ رَبَّهُ فَغَوَىٰ﴿١٢١﴾ ثُمَّ اجْتَبَاهُ رَبُّهُ فَتَابَ عَلَيْهِ وَهَدَىٰ ﴿١٢٢﴾} صدق الله العظيم [طه].
Allah Ta3ala Asema: {Tukasema: Ewe Adam! Hakika huyu ni adui yako na wa mkeo. Basi asikutoeni katika Bustani hii, mkaingia mashakani (117) Hakika humo hutakuwa na njaa wala hutakuwa uchi (118) Na hakika hutapata kiu humo wala hutapata joto (119) Lakini Shet'ani alimtia wasiwasi, akamwambia: Ewe Adam! Nikujuulishe mti wa kuishi milele na ufalme usio koma (120) Basi wakaula wote wawili, na uchi wao ukawadhihirikia na wakaanza kujibandika majani ya Bustani. Na Adam akamuasi Mola wake Mlezi, na akapotea njia (121) Kisha Mola wake Mlezi akamteuwa, naye akamkubalia toba yake, naye akamwongoa (122)} Sadaqa Allah Al3adhim [Taha].

Na lakini Allah Amemwahidi shetani atamtowa akiwa amekwisha fedheheka amekwisha fukuzwa kwa ushindi wa kheze na kisha atamwingiza jahanam na mwisho muovu mno. Akasema Allah Ta3ala
{وَلَقَدْ خَلَقْنَاكُمْ ثُمَّ صَوَّرْنَاكُمْ ثُمَّ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ لَمْ يَكُن مِّنَ السَّاجِدِينَ ﴿١١﴾ قَالَ مَا مَنَعَكَ أَلَّا تَسْجُدَ إِذْ أَمَرْتُكَ قَالَ أَنَا خَيْرٌ مِّنْهُ خَلَقْتَنِي مِن نَّارٍ وَخَلَقْتَهُ مِن طِينٍ ﴿١٢﴾ قَالَ فَاهْبِطْ مِنْهَا فَمَا يَكُونُ لَكَ أَن تَتَكَبَّرَ فِيهَا فَاخْرُجْ إِنَّكَ مِنَ الصَّاغِرِينَ ﴿١٣﴾ قَالَ أَنظِرْنِي إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ ﴿١٤﴾ قَالَ إِنَّكَ مِنَ الْمُنظَرِينَ ﴿١٥﴾ قَالَ فَبِمَا أَغْوَيْتَنِي لَأَقْعُدَنَّ لَهُمْ صِرَاطَكَ الْمُسْتَقِيمَ ﴿١٦﴾ ثُمَّ لَآتِيَنَّهُم مِّن بَيْنِ أَيْدِيهِمْ وَمِنْ خَلْفِهِمْ وَعَنْ أَيْمَانِهِمْ وَعَن شَمَائِلِهِمْ وَلَا تَجِدُ أَكْثَرَهُمْ شَاكِرِينَ ﴿١٧﴾ قَالَ اخْرُجْ مِنْهَا مَذْءُومًا مَّدْحُورًا لَّمَن تَبِعَكَ مِنْهُمْ لَأَمْلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنكُمْ أَجْمَعِينَ ﴿١٨﴾ وَيَا آدَمُ اسْكُنْ أَنتَ وَزَوْجُكَ الْجَنَّةَ فَكُلَا مِنْ حَيْثُ شِئْتُمَا وَلَا تَقْرَبَا هَـٰذِهِ الشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ الظَّالِمِينَ ﴿١٩﴾ فَوَسْوَسَ لَهُمَا الشَّيْطَانُ لِيُبْدِيَ لَهُمَا مَا وُورِيَ عَنْهُمَا مِن سَوْآتِهِمَا وَقَالَ مَا نَهَاكُمَا رَبُّكُمَا عَنْ هَـٰذِهِ الشَّجَرَةِ إِلَّا أَن تَكُونَا مَلَكَيْنِ أَوْ تَكُونَا مِنَ الْخَالِدِينَ ﴿٢٠﴾ وَقَاسَمَهُمَا إِنِّي لَكُمَا لَمِنَ النَّاصِحِينَ ﴿٢١﴾ فَدَلَّاهُمَا بِغُرُورٍ فَلَمَّا ذَاقَا الشَّجَرَةَ بَدَتْ لَهُمَا سَوْآتُهُمَا وَطَفِقَا يَخْصِفَانِ عَلَيْهِمَا مِن وَرَقِ الْجَنَّةِ وَنَادَاهُمَا رَبُّهُمَا أَلَمْ أَنْهَكُمَا عَن تِلْكُمَا الشَّجَرَةِ وَأَقُل لَّكُمَا إِنَّ الشَّيْطَانَ لَكُمَا عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٢﴾ قَالَا رَبَّنَا ظَلَمْنَا أَنفُسَنَا وَإِن لَّمْ تَغْفِرْ لَنَا وَتَرْحَمْنَا لَنَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ ﴿٢٣﴾ قَالَ اهْبِطُوا بَعْضُكُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ وَلَكُمْ فِي الْأَرْضِ مُسْتَقَرٌّ وَمَتَاعٌ إِلَىٰ حِينٍ ﴿٢٤﴾ قَالَ فِيهَا تَحْيَوْنَ وَفِيهَا تَمُوتُونَ وَمِنْهَا تُخْرَجُونَ﴿٢٥﴾} صدق الله العظيم [الأعراف].
Allah Ta3ala Asema: {Na hakika tulikumbeni kisha tukakutieni sura kisha tukawambia Malaika msujudieni Adam wakamsujudia ila ibilisi hakua miongoni mwa walio sujudu {11} Allah Akasema nini kilio kuzuwia kumsujudia nilipo kuamirisha akasema mimi ni bora kuliko yeye umniumba na moto na ukamumba na udongo {12} Akasema: Basi teremka kutoka humo! Haikufalii kufanya kiburi humo. Basi toka! Hakika wewe u miongoni mwa walio duni {13}Akasema: Nipe muhula mpaka siku watakapo fufuliwa {14} kasema: Utakuwa miongoni mwa walio pewa muhula {15} Akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka {16} Kisha nitawazukia mbele yao na nyuma yao na kuliani kwao na kushotoni kwao. Wala hutawakuta wengi wao wenye shukran {17}Akasema: Toka humo, nawe umekwisha fedheheka, umekwisha fukuzwa. Hapana shaka atakaye kufuata miongoni mwao, basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote {18}Na wewe, Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani hii, na kuleni humo mpendapo. Wala msiukaribie mti huu, mkawa katika wale walio dhulumu {19}Basi Shet'ani aliwatia wasiwasi ili kuwafichulia tupu zao walizo fichiwa, na akasema: Mola Mlezi wenu hakukukatazeni mti huu ila msije mkawa Malaika, au msije mkawa katika wanao ishi milele {20}Naye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini {21}Basi akawateka kwa khadaa. Walipo uonja ule mti, tupu zao zilifichuka na wakaingia kujibandika majani ya Bustanini. Mola wao Mlezi akawaita: Je, sikukukatazeni mti huo, na kukwambieni ya kwamba Shet'ani ni adui yenu wa dhaahiri {22}Wakasema: Mola wetu Mlezi! tumejidhulumu nafsi zetu, na kama hutusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa katika wenye kukhasirika {23}Akasema: Teremkeni! Mtakuwa nyinyi kwa nyinyi maadui. Na kwenye ardhi itakuwa ndio makao yenu na starehe yenu mpaka ufike muda {24}Akasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa {25}} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
4- Na alafu inabainika kwamba kutoka katika Ardhi kwenda kwa Ardhi yani kutoka ndani kwenda inje, Na hio ndio kuteremka kutoka kwa maisha ya neema kwenda chini duni katika maisha, Na kwa hakika ni kutoka janna kwenda sehemu muliko nyinyi katika tabu na kwenda mbio na shida, Na hivo ni kwajili Allah Alimweka kumchelewesha iblisi katika hio janna kulingana na ombi lake kwa nia ya chalenji pindi Akimchelewesha Allah hakika atamfitini Adam na mkewake awafanye watii amri ya iblisi na waasii amri ya Mola Mlezi wao kisha Akajibu Allah ombi la ibilisi Alafu Akamhadharisha Allah Adam na Mkewake kutokana na ibilisi kwamba asiwatowe kutoka kwa utukufu kwenda kwenye tabu. Na kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala
{وَلَقَدْ عَهِدْنَا إِلَىٰ آدَمَ مِن قَبْلُ فَنَسِيَ وَلَمْ نَجِدْ لَهُ عَزْمًا ﴿١١٥﴾ وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَىٰ ﴿١١٦﴾ فَقُلْنَا يَا آدَمُ إِنَّ هَـٰذَا عَدُوٌّ لَّكَ وَلِزَوْجِكَ فَلَا يُخْرِجَنَّكُمَا مِنَ الْجَنَّةِ فَتَشْقَىٰ ﴿١١٧﴾ إِنَّ لَكَ أَلَّا تَجُوعَ فِيهَا وَلَا تَعْرَىٰ ﴿١١٨﴾ وَأَنَّكَ لَا تَظْمَأُ فِيهَا وَلَا تَضْحَىٰ ﴿١١٩﴾ فَوَسْوَسَ إِلَيْهِ الشَّيْطَانُ قَالَ يَا آدَمُ هَلْ أَدُلُّكَ عَلَىٰ شَجَرَةِ الْخُلْدِ وَمُلْكٍ لَّا يَبْلَىٰ ﴿١٢٠﴾ فَأَكَلَا مِنْهَا فَبَدَتْ لَهُمَا سَوْآتُهُمَا وَطَفِقَا يَخْصِفَانِ عَلَيْهِمَا مِن وَرَقِ الْجَنَّةِ وَعَصَىٰ آدَمُ رَبَّهُ فَغَوَىٰ ﴿١٢١﴾}صدق الله العظيم [طه].
Allah Ta3ala Asema: {Na hapo zamani tuliagana na Adam, lakini alisahau, wala hatukuona kwake azma kubwa (115) Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa (116) Tukasema: Ewe Adam! Hakika huyu ni adui yako na wa mkeo. Basi asikutoeni katika Bustani hii, mkaingia mashakani (117) Hakika humo hutakuwa na njaa wala hutakuwa uchi (118) Na hakika hutapata kiu humo wala hutapata joto (119) Lakini Shet'ani alimtia wasiwasi, akamwambia: Ewe Adam! Nikujuulishe mti wa kuishi milele na ufalme usio koma (120) Basi wakaula wote wawili, na uchi wao ukawadhihirikia na wakaanza kujibandika majani ya Bustani. Na Adam akamuasi Mola wake Mlezi, na akapotea njia (121)} Sadaqa Allah Al3adhim [Taha].

[Na enyi ma3ashara ya waislam na watu wote huyo ndio ibilisi dhati yake ni almasi7h adajal na bado yuko katika bustani janna ya Allah katika Ardhi chini kwenye utajiri na hio ndio bustani janna ya fitna na ndani yake yuko almasi7h aldajal anataka kwamba awafitini nayo lakini Allah Amewahidi nayo katika Dunia kabla ya bustani janna la akhera basi awape maisha ndani yake mazuri katika Ardhi hamujawahi kanyaga ndio awarithishe Allah Ardhi yao Na ma nyumba zao katika Dunia kusadikisha Waadi Ya Allah kwa waislamu Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَوْرَثَكُمْ أَرْضَهُمْ وَدِيَارَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ وَأَرْضًا لَّمْ تَطَئُوهَا}
صدق الله العظيم [الأحزاب:27]. Ta3ala Asema: {Na Akawarithisha Ardhi yao na ma nyumba zao na Ardhi hamuja wahi ikanyaga} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:27].
[true]Na hio Ardhi ni Ardhi ambayo hauja'ikanyaga mgu wa mwislamu katika umma wa Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Basi hakika mukimtii shetani na mukamasii Khalifa wa Allah Al’imam Al’Mahdi itawaondokea kwenu basi shetani hawa’ahidi ispokua ni kujighuri, Basi mukimtii Almasi7h aldajal amabae yeye ndio dhati yake ashetan arajim basi hamutoipata na ilikua iko katika mikono ya Adam na Mkewake mpaka pindi walipo asii Amri Ya Mola Mlezi wao na wakamsadiki shetani walitoka kutoka utukufu waliokua nayo, Na hivo hivo nyinyi pindi mukiasii Amri ya Allah na mukamsadiki shetani arajim basi asiwafitini nayo shetani kama alivo watowa wazazi wenu basi hakika Ame’wahadharisha Allah fitna yake. Na Akasema Allah Ta3ala
{يَا بَنِي آدَمَ لَا يَفْتِنَنَّكُمُ الشَّيْطَانُ كَمَا أَخْرَجَ أَبَوَيْكُم مِّنَ الْجَنَّةِ يَنزِعُ عَنْهُمَا لِبَاسَهُمَا لِيُرِيَهُمَا سَوْآتِهِمَا إِنَّهُ يَرَاكُمْ هُوَ وَقَبِيلُهُ مِنْ حَيْثُ لَا تَرَوْنَهُمْ إِنَّا جَعَلْنَا الشَّيَاطِينَ أَوْلِيَاءَ لِلَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٢٧﴾} صدق الله العظيم [الأعراف].Allah Ta3ala Asema: {wanaadamu! Asije Shet'ani kukufitinini kama alivyo watoa wazazi wenu Peponi, akawavua nguo zao kuwaonyesha tupu zao. Hakika yeye na kabila yake wanakuoneni, na nyinyi hamuwaoni. Hakika Sisi tumewafanya Mashet'ani kuwa ni marafiki wa wasio amini (27)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].

Na amewafundisha Muhammad Mtume wa Allah kuhusu siku moja ya hio Ardhi ambao anaka humo Akasema Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kwamba siku moja ya adajal kama mwaka moja katika miyaka yenu, Na Akasema Ju Yake Sala Na Salam]
وقال عليه الصلاة والسلام:
[ يومه كسنة ]
[siku yake kama mwaka].
yani siku moja yake kama mwaka katika miyaka yenu

Na enyi watu ispokua nawazungumzia kwa ilimu ya haki ambao mutaiona ni kweli kwenye wakii ya uhakika na nyinyi bado mwazali muko katika maisha ya Dunia wala sifwati porojo zenu ambazo hazikubali akili na mantik na hakika tumewafafanulia kwenu bustani janna ya fitna ambao ilikua sababu ya kumfitini Adam akawa anaichunga ili kubaki humo ndani yake ila alimtishia shetani kwamba Allah hajamkataza kuhusu ule mea ili wasiwe ni malaika wanaishi milele humo kwenye neema ambao wao wako ndani yake na kwajili ya kutaka hayo wakala katika huo mea, Basi asiwafitini shetani kama alivo watoa wazazi wenu kutoka kwa bustani janna hakika mimi kwenu ni mwenye kuwapa nasaha mwaminifu, Na hi janna iko chini kwenye utajiri nayo ni ya Allah. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَافِي الأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا وَمَا تَحْتَ الثَّرَى} صدق الله العظيم [طه:6].
Allah Ta3ala Asema: {Ni vyake vyote viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi, na viliomo baina yao, na viliomo chini ya ardhi} Sadaqa Allah Al3adhim [Taha].

Na ina mashariki mbili katika upande mbili zimelekeana nayo ni Ardhi yenye mashariki mbili na mashariki zake mbili nazo ni dhati yake magharibi zake mbili na Mola Mlezi wao ni Allah wala sio aduwi wake na aduwi wenu almasi7h adajal. Kusadikisha Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{رَبُّ المَشْرِقَيْنِ وَرَبُّ المَغْرِبَيْنِ} صدق الله العظيم [الرحمن:17].
[Allah Ta3ala Asema: {Mola Mlezi Wa mashariki Mbili na Mola Mlezi wa Magharibi mbili} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Rahman].
Yani kwamba inao milango miwili mojawao kwenye pembe ya Ardhi kusini na ingine iko mwisho wa pembe mwa Ardhi kaskazini, Na umbali mku baina ya nukta mbili katika hi Ardhi nayo ni baina ya nukta mbili hizi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{حَتَّى إِذَا جَاءنَا قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ}
صدق الله العظيم
[زخرف:38].
Allah Ta3ala Asema: {Hata atakapo tujia atasema: Laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki na magharibi. Rafiki mwovu mno wewe} Sadaqa Allah Al3adhim [zukhruf:38].
Na kwajili ya hivo ni kwamba umbali mku baina ya nukta mbili katika hi Ardhi ni baina ya nukta mbili za mashariki mbili kwajili nazo ziko katika upande mbili zinakabiliana na linapambazuka jua ju yake kutoka kwa upand wa mlango wa kusini basi inapita mwangaza wa jua kwenye hio Ardhi ambao imetandazwa mpaka inatoka mwangaza wake kwa mlango wa kaskazini kulingana na hi Ardhi imestawi kimazingara Ameinyosha Allah kuinyosha na Akaitandaza na mbonga basi Akainyosha kuinyosha basi utaiona imejitokeza wala haina miteremko yakujificha bali imejitokeza imestawi akaitandaza Allah na mboga Akainyosha kionyosha. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالسَّمَاءَ بَنَيْنَاهَا بِأَيْدٍ وَإِنَّا لَمُوسِعُونَ ﴿٤٧﴾ وَالْأَرْضَ فَرَشْنَاهَا فَنِعْمَ الْمَاهِدُونَ ﴿٤٨﴾} صدق الله العظيم [الذاريات].
Allah Ta3ala Asema: {Na mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye uwezo wa kuzitanua (47) Na ardhi tumeitandaza; basi watandazaji wazuri namna gani Sisi(48)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldhariat].
Yani kwambe Ameifanya Yeye imejitokeza imetandazwa ikiwa moja wenu yuko katika moja ya milango yake basi yeye ataona jua mbinguni kwa mlango mwingine ulio kabiliana nae na hivo ndio kusifu mazingara yake. Kusadikisha kwa Kauli Ya Allah Ta3ala
{وَالْأَرْضَ فَرَشْنَاهَا فَنِعْمَ الْمَاهِدُونَ}
صدق الله العظيم؛
[Na ardhi tumeitandaza; basi watandazaji wazuri namna gani Sisi(48)}
Sadaqa Allah Al3adhim; hio Ardhi ambao Ameiweka Allah kwajili ya watu ndani yake kuna matunda na mitende yenye mafumba na mbengu yenye makapi na rehani. Kusadikisha Kaulu Ya Allah Ta3ala:
{وَالْأَرْضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ ﴿١٠﴾ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ ﴿١١﴾ وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّيْحَانُ ﴿١٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٣﴾} صدق الله العظيم [الرحمن]
[Allah Ta3ala Asema: {Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe (10) Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba (11) Na nafaka zenye makapi, na rehani (12) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Rahman].

Na nawakumbusha kauli ya Allah Ta3ala:
{فَبِأَيِّ آلَاء رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ}
صدق الله العظيم
{Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (13)} Sadaqa Allah Al3adhim} Sadaqa Allah Al3adhim


Na hio hapo Ardhi ambao hamuja’ikanyaga ni nafaki tannel handaki katika Ardhi mbele yenu baina mikono yenu katika ma ishara za Allah katika ma ishara za kusadikishahi Al’Quran Al3adhim ambao mumeihama, Basi neema ipi za Allah munazikanusha enyi ma3ashara ya makafiri katika binadamu na majini? Asema Ta3ala
{فَاذْكُرُوا آلَاءَ اللَّـهِ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ}
صدق الله العظيم [الأعراف].
Allah Ta3ala Asema: {Basi kumbukeni neema za Allah huwenda mukafaulu (69)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].

Na naona majahili miongoni mwenu wananikadhibu kwa sababu kwa nini sija tokezea kwao pamoja ya kwamba mimi nawakhutubia kwa Maneno Ya Allah Ambao wao wanaiamini basi hivo hivo wame’ihama alafu wana’nikadhibu na wana’nihoji kwanini sidhihiriki nipambane na wao? Na je ningedhihirika kwao nitawambia wao maneno mbali na haya ndio watanisadiki? Na nini tafauti baina kudhihirika kwangu madamu hawakusadiki haki baina ya mikono yao, Wala haija’andikwa kwenye uso wa Al’imam Al’Mahdi Al’Muntadhar ispokua mimi ni binadamu kama nyinyi nawafundisha Bayana ya haki ya Al’Quran basi niwachunguzie kutoka kwa dhati ya Al’Quran, Ama nyinyi hamuamini kwa Ardhi nayo ni handaki kwenye Ardhi hamujaikanyaga migu yenu enyi ma3ashara ya waislamu, Na ndani yake ma ishara za Allah? Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{فَإِنِ اسْتَطَعْتَ أَن تَبْتَغِيَ نَفَقًا فِي الْأَرْ‌ضِ} [الأنعام:35].
Allah Ta3ala Asema: {basi kama unaweza kutafuta njia ya chini kwa chini ya ardhi} [Alanaam:35].

Na Hakika Mimi nataka nivamie kuiteka basi hatutosubiri mpaka atuvamie almasi7h adajal kuchelea afanye watu umma moja kwenye ukafir kulingana na fitna ya ufalme ambao amewatoa ndani yake, Na hakika sisi ju yake ni wenye kuwaqahirisha kuwashinda. Na Anataka Allah kuwafanya umma moja ju ya haki, Na lau atawalingania almasi7h adajal katika kumkufuru Allah enyi ma3ashara ya umma hu basi hakika mungemfwata kulingana na fitna ya utajiri na ufalme ambao iko katika hio Ardhi ispokua hio ni pambo ya maisha ya dunia na umardadi wake, Na hataki shetani mtu yoyote aingie hapo ispokua yule alio mkufuru Allah na akamfwata na akamasi Al’imam Al’Mahdi Al’Muntadhar, Na natoa kiapo Qsam Kwa Mola Mlezi Mwenye Nguvu Na Utukufu nitamtoa ndani yake kwa kudra za Allah akiwa amekwisha fedheheka na kufukuzwa yeye na wote ma jeshi yake wale ambao anawaahidi katika kizazi cha binadamu katika ma yahudi babazao kutokana na binadamu na mama zao ni wanawake katika mashetani majini basi wanajamiiyana na wao katika wale wanao badilisha umbile la Allah, Basi ndio wanaza wanawake kwa almasi7h adajal ambae shetani rajim, Basi hakika sisi juu yao ni wenye kuwashinda kwa idhini ya Allah AL’3aziz Al’Hakim, Basi ndio anirithishe Allah Mimi na waliko na mimi Ardhi yao na manyumba zao na mali yao kwenye Ardhi hamjawahi ikanyaga. Kusadikisha Kwa Waadi Ya Allah T3ala:
{وَأَوْرَثَكُمْ أَرْضَهُمْ وَدِيَارَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ وَأَرْضاً لَّمْ تَطَؤُوهَا وَكَانَ اللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيراً} صدق الله العظيم [الأحزاب:27].
[Allah Ta3ala Asema: {Na akakurithisheni ardhi zao na nyumba zao na mali zao, na ardhi hamujawahi i pata kuikanyaga. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:27],


Na ama kauli Yake:
{وَأَوْرَثَكُمْ أَرْضَهُمْ وَدِيَارَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ}
{Na akakurithisheni ardhi zao na nyumba zao na mali zao}
Basi hio yamhusu Mtume Wa Allah -Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Na walio’kuwa na yeye, Na ama kauli ya Allah Ta3ala:
{وَأَرْضاً لَّمْ تَطَؤُوهَا وَكَانَ اللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيراً}
[na ardhi hamujawahi i pata kuikanyaga. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu}
[Basi hio Anakusdia Al’imam Al’Mahdhi na hizbu yake wale ambao ndio hizbu ya Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam - Na Sote ni hizbu ya Allah: Eeee Hakika Hizbu Ya Allah Wao Ndio Wtakae Shinda, Na Ataturithisha ufalme na utajiri wote wa hio Ardhi kutokana na manyumba na mali, Nayo ni Ardhi ambao Amewaahidi Allah nayo na hio hajawahi ikanyaga mgu wa mwislamu katika ma ummiyin bado, Na hio ndio janna ya fitna ambao ma kasri yake ni fedha na milango ya kasri ni kutokana na dhahabu na mapambo na ngazi zinatembea wanadhihirika ju yake ameisaliti almasi7h adajal ambae analingania watu kwenye kumkufuru Allah Wa Haki, Na Anadai kua ni Mungu bila ya haki, Na anwaahidi makafiri kwa ulinganizi wa haki kwa hizo ma nyumba ambazo sakafu zake kutokana na fedha na milango yake ni ya dhahabu, Na anataka kuwafanya watu umma moja katika ukafiri, Na wala hawaahidi shetani ispokua kujighuri, Na hio ndio Bayana ya haki Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala
{وَلَوْلَا أَن يَكُونَ النَّاسُ أُمَّةً وَاحِدَةً لَّجَعَلْنَا لِمَن يَكْفُرُ‌ بِالرَّ‌حْمَـٰنِ لِبُيُوتِهِمْ سُقُفًا مِّن فِضَّةٍ وَمَعَارِ‌جَ عَلَيْهَا يَظْهَرُ‌ونَ ﴿٣٣﴾ وَلِبُيُوتِهِمْ أَبْوَابًا وَسُرُ‌رً‌ا عَلَيْهَا يَتَّكِئُونَ ﴿٣٤﴾ وَزُخْرُ‌فًا وَإِن كُلُّ ذَٰلِكَ لَمَّا مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَالْآخِرَ‌ةُ عِندَ رَ‌بِّكَ لِلْمُتَّقِينَ ﴿٣٥﴾}
صدق الله العظيم [الزخرف]
Allah Ta3ala Asema: {Na lau isinge kuwa watu watakuwa kundi moja tungeli wajaalia wanao mkufuru Rahmani wana nyumba zao zina dari ya fedha, na ngazi zao pia wanazo pandia (33) Na milango ya nyumba zao na vitanda wanavyo egemea juu yake (34) Na mapambo. Lakini hayo si chochote ila ni starehe ya maisha ya dunia tu, na Akhera iliyoko kwa Mola wako Mlezi ni ya wenye kumchamngu (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al zukhruf].

[Na lau sio Fadhla Ya Allah kwenu enyi ma3ashara ya waislamu kwa kutumiloizwa Al’Mhdi Al’Muntadhar kwa Bayana ya haki ya Al’Quran Al3adhim mungemfwata shetani pamoja na watu ispokua kidogo miongoni mwenu, Na hivo ni kwajili shetani yeye ndio almasi7h adajal mwenyewe dhati yake ambae anataka kuwafanya watu umma moja wa kikafiri, Basi akanitumiliza Allah dhidi yake basi nifanye watu kwa idhini ya Allah umma moja ju ya uwongofu katika njia ilio nyoka, Basi ndio amlete Allah mja wake katika majeshi kutokana na umbu na ju yake na haingewazidisha waislamu wa leo ispokua ukafiri na ukanushaji kwa haki kulingana kubadilisha namus ya ma aya ya kusadikisha kwa kitabu, Na wakmzushia uzushi Allah kwamba anmpa mkono adajal kwa ma ishara ma alama kutoka kwake Subhanahu Ametukuka, Basi vipi atampka mkono batili kwa ma ishara za kusadikisha hivi hamuti akili? Basi ikiwa atampa Allah Mkono Al’imam Al’Mahdi kwa majeshi kutokana na umbu na ju yake kutokana na viumbe va Allah katika Mbingu na katika Ardhi dhidi ya almasihi adajal na ma jeshi yake kwahivo wangesema waislamu hakika ya Al’imam Al’Mahdi huyu ambae Amempa Allah mkono kwa hizi ma ishara zote basi kwa hivo yeye ndio almasi7h adajal! Pamoja ya kwamba mimi sitodai uwungu, Na najilinda kwa Allah.. Lakini wao hawatoangalia ulinganizi wangu wa haki bali watangali kwa uwingi wa ma ishara ya kusadikisha kutoka mbinguni na Ardhi, Basi amiminie Allah juu yao ma jeshe wa Al’Mahdi Al’Muntadhar kutoka kwa pembe zote za mbingu na Ardhi kwa hivo wangesema:” Hakika huyu Al’Mahdi ambae Amempa Allah Mkono kwa ma ishara zote hizi kwahivo yeye ndio almasi7h adajal amabae ametuhadharisha nae Muhammad Mtume wa Allah na akatueleza kwamba Allah Atampa ufalme wa kila kitu’. Kwahivo haiotowazidisha ma ishara ya kusadikisha ispokua kufru enyi ma3asha ya waislamu wa leo. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala
{وَلَوْ أَنَّنَا نَزَّلْنَا إِلَيْهِمُ الْمَلائِكَةَ وَكَلَّمَهُمُ الْمَوْتَى وَحَشَرْنَا عَلَيْهِمْ كُلَّ شَيْءٍ قُبُلًا مَا كَانُوا لِيُؤْمِنُوا إِلَّا أَنْ يَشَاءَ اللَّهُ وَلَكِنَّ أَكْثَرَهُمْ يَجْهَلُونَ}
[ صدق الله العظيم [الأنعام:111]
Allah Ta3ala Asema: {NA LAU kuwa tungeli wateremshia Malaika, na maiti wakazungumza nao, na tukawakusanyia kila kitu mbele yao, bado wasingeli amini, ila Mwenyezi Mungu atake. Lakini wengi wao wamo ujingani } Sadaqa Allah Al3adhim [ALANAAM:111].

[Na sbabu ni kwamba nyinyi mumebadilisha namus ya kweli katika kitabu na muka’amini batili na mukakadhibu haki na mukafwata batili ambao imezushwa, Na Toa Qasam kiapo kwa haki na haki nasema kwamba wale ambao wanaitakidi kwamba Allah anampa mkono batili kwa ishara zake basi wao ndio zaidi kukufuru kwa haki katika kitab; Bali makafiri wale katika ma umma ya mwanzo wana akili kuliko wao mpaka firaun ana akili kuliko mwislam ambae anaitakidi kwamba Allah anampa mkono kwa ma ishara zake kusadikisha batili; Bali Firaun ana akili kuliko yeye kwajili yeye anajua kwamba ispokua ishara za kusadikisha anampa nazo mkono Mola Mlezi Wa Haki ma wali wake kusadikisha ulinganizi wao ikiwa kwamba wako kwenye haki, Basi angalieni jibu la firaun juu ya Mtume Wa Allah Musa ambae anamlingania kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu:
{قَالَ فِرْ‌عَوْنُ وَمَا ربّ العالمين ﴿٢٣﴾ قَالَ رَ‌بُّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضِ وَمَا بَيْنَهُمَا إِن كُنتُم مُّوقِنِينَ ﴿٢٤﴾ قَالَ لِمَنْ حَوْلَهُ أَلَا تَسْتَمِعُونَ ﴿٢٥﴾ قَالَ رَ‌بُّكُمْ وَرَ‌بُّ آبَائِكُمُ الْأَوَّلِينَ ﴿٢٦﴾ قَالَ إِنَّ رَ‌سُولَكُمُ الَّذِي أُرْ‌سِلَ إِلَيْكُمْ لَمَجْنُونٌ ﴿٢٧﴾ قَالَ رَ‌بُّ الْمَشْرِ‌قِ وَالْمَغْرِ‌بِ وَمَا بَيْنَهُمَا إِن كُنتُمْ تَعْقِلُونَ ﴿٢٨﴾ قَالَ لَئِنِ اتَّخَذْتَ إِلَـٰهًا غَيْرِ‌ي لَأَجْعَلَنَّكَ مِنَ الْمَسْجُونِينَ ﴿٢٩﴾ قَالَ أَوَلَوْ جِئْتُكَ بِشَيْءٍ مُّبِينٍ ﴿٣٠﴾ قَالَ فَأْتِ بِهِ إِن كُنتَ مِنَ الصَّادِقِينَ ﴿٣١﴾ فَأَلْقَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِيَ ثُعْبَانٌ مُّبِينٌ ﴿٣٢﴾ وَنَزَعَ يَدَهُ فَإِذَا هِيَ بَيْضَاءُ لِلنَّاظِرِ‌ينَ ﴿٣٣﴾} صدق الله العظيم [الشعراء].
Allah Ta3ala Asema: {Firauni akasema: Na nani huyo Mola Mlezi wa walimwengu wote (23) Akasema: Ndiye Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, na viliomo baina yao, ikiwa nyinyi ni wenye yakini (24) (Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi (25) (Musa) akasema: Ndiye Mola wenu Mlezi, na Mola Mlezi wa baba zenu wa kwanza (26) (Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliye tumwa kwenu ni mwendawazimu (27) (Musa) akasema: Ndiye Mola Mlezi wa Mashariki na Magharibi na viliomo baina yao, ikiwa nyinyi mnatia akilini (28) (Firauni) akasema: Ukimfuata mungu mwengine asiye kuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga gerezani (29) Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi (30) Akasema: Kilete basi, kama wewe ni katika wasemao kweli (31) Basi akaitupa fimbo yake, mara ikawa nyoka wa kuonekana dhaahiri (32) Na akautoa mkono wake, na mara ukawa mweupe kwa watazamao (33)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshuaraa].

Basi angalieni jibu la firaun ju ya Musa:
{قَالَ أَوَلَوْ جِئْتُكَ بِشَيْءٍ مُّبِينٍ ﴿٣٠﴾ قَالَ فَأْتِ بِهِ إِن كُنتَ مِنَ الصَّادِقِينَ ﴿٣١﴾}
{Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi (30) Akasema: Kilete basi, kama wewe ni katika wasemao kweli (31)}


Na hivo ni kwajili Mola Mlezi wa Musa ikiwa kweli ni haki basi atampa mkono ulinganizi wa haki kwa miujiza ya kusadikisha, Kwajili ya hivo amehukumu firaun pindi akija na ishara ya kusadikisha kutoka kwa Mola Mlezi wake ambae amemtumiliza kwa haki basi atakua ni katika wa kweli, Kwajili ya hivo ilikua jibu la firaun ju ya Musa bali amelifanya ndio hakimu kutangulia kabla baina yao kwa haki kwamba Musa amoneshe:
{قَالَ أَوَلَوْ جِئْتُكَ بِشَيْءٍ مُّبِينٍ ﴿٣٠﴾ قَالَ فَأْتِ بِهِ إِن كُنتَ مِنَ الصَّادِقِينَ ﴿٣١﴾}
[Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi (30) Akasema: Kilete basi, kama wewe ni katika wasemao kweli (31)}


Na Ama nyinyi enyi ma3ashara ya waislamu wale ambao wanaitakidi kwamba Allah anampa mkono kwa ishara zake kusadikisha ulinganizi wa batili.
Na kadhalika kusadikisha ulinganizi wa haki basi hawo wanyama wana akili kuliko wao bali wao wamepotea zaidi kwnye njia.

Na Nimebomoa Hi Akida Ambao NI Munkar ….

Nduguyenu Al’iMam Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
_______________________
اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.online/showthread.php?p=4514