المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Bayana Ya Ushuhuda Kwa Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Katika Muhakam ilio wazi Maana Yake Al'Quran ..



Admin
26-08-2018, 07:43 PM
Bayana Ya Ushuhuda Kwa Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Katika Muhakam ilio wazi Maana Yake Al'Quran ..


Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
17 - 09 - 1431 هـ
27 - 08 - 2010 مـ
05:55 صباحاً
https://mahdialumma.online/showthread.php?t=2127

ــــــــــــــــــــ


بيان البُرهان لبعث المهدي المنتظر في مُحكم القرآن ..
Bayana Ya Ushuhuda Kwa Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Katika Muhakam ilio wazi Maana Yake Al'Quran ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Walio Tahirika Na Alsabiqina Anssar Wa haki katika wa mwanzo na katika wa mwisho na katika walio ju mpaka siku ya malipo, Asalam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..


Suali-أ- Je wamekua wamoja umma wa Binadamu wote katika zama za kutumilizwa Mitume ju yao kutoka kwa Mola Mlezi wao wakaitika wote kwa ulinganizi wa haki na akawafanya Allah umma moja ju ya njia ilio nyoka?
Jibu-أ- Amesema Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ بَعَثْنَا فِي كُلِّ أُمَّةٍ رَسُولًا أَنِ اُعْبُدُوا اللَّهَ وَاجْتَنِبُوا الطَّاغُوتَ فَمِنْهُمْ مَنْ هَدَى اللَّهُ وَمِنْهُمْ مَنْ حَقَّتْ عَلَيْهِ الضَّلالَةُ} صدق الله العظيم [النحل:36].
Allah Ta3ala Asema: {Na kwa hakika kwa kila umma tuliutumia Mtume kwamba: Muabuduni Mwenyezi Mungu, na muepukeni Shetani. Basi kati yao wapo alio waongoa Mwenyezi Mungu. Na kati yao wapo ambao ulio wathibitikia upotovu. Basi tembeeni katika ardhi, muangalie ulikuwaje mwisho wa wanao kanusha } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl:36].


Sual:2- Na Je Hi manake kwamba wao wamekhitalifiana kwa mapoti ma wili poti wameongoka wakafwata Mtune Wa Mola Mlezi wao na poti wamekufuru Kwa Mtume Wa Mola Mlezi wao? Basi Tuzidishe ushuhuda zaidi katika muhakam ya Kitabu.
Jibu:2- Amesema Allah Ta3ala:
{فَرِيقاً هَدَى وَفَرِيقاً حَقَّ عَلَيْهِمُ الضَّلاَلَةُ} صدق الله العظيم [الأعراف:30].
Allah Ta3ala Asema: {Poti limeongoka na poti limestahiki ju yao upotevu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:30].


Suali:3- Na je Wameamini Watu Wa Ardhi Wote Katika Zama Za Kutumilizwa Mitume?
Jawambu:3- Amesema Allah Ta3ala:
{وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ لَجَعَلَ النَّاسَ أُمَّةً وَاحِدَةً وَلَا يَزَالُونَ مُخْتَلِفِينَ إِلاَّ مَن رَّحِمَ رَبُّكَ وَلِذَلِكَ خَلَقَهُمْ} صدق الله العظيم [هود:118].
Allah Ta3ala Asema: {Na Mola wako Mlezi angeli penda ange wafanya watu wote wakawa umma mmoja. Lakini hawaachi kukhitalifiana, Isipo kuwa yule ambao Mola wako Mlezi amemrehemu; na kwa hiyo ndio Mwenyezi Mungu amewaumba} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:118].


Suali:4- Basi nani huyo ambae Ame'mpwekesha Allah kwa kupatikana kutimu Uongofun kwa watu wote Kwenye Kauli Yake:
{إِلاَّ مَن رَّحِمَ رَبُّكَ وَلِذَلِكَ خَلَقَهُمْ} صدق الله العظيم [هود 119].
{Isipo kuwa yule ambao Mola wako Mlezi amemrehemu; na kwa hiyo ndio Mwenyezi Mungu amewaumba} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:119].


Jawabu:4- Huyo Kwenu Ni Al'Imam Al'Mahdi Khalifa Wa Allah Katika Ardhi Ambae Ameongoa Allah katika zama za kutumilizwa kwake kwa watu wote Akatimiza Allah Matakwa Yake Kwa Haki. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ شَاء رَبُّكَ لآمَنَ مَن فِي الأَرْضِ كُلُّهُمْ جَمِيعًا} صدق الله العظيم [يونس:99].
Allah Ta3ala Asema: {Angeli taka Mola wako Mlezi wangeli amini wote waliomo katika ardhi} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus:99].


Suali:5- Na je Atamtumiliza Allah Al'Imam Al'Mahdi Ni Mtune Mpya Kwa Watu Kutoka Mola Mlezi Wao?
Jibu:5- Amesema Allah Ta3ala:
{مَا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيماً} صدق الله العظيم [الأحزاب:40].
Allah Ta3ala Asema: {Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:40].


Suali:6- Kwahivo Uhakika Wa Kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Kwamba yeye Atamtumiliza Allah "Nasseran Li Muhammad" Mnusura Wa Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Kwakua Muhammad Mtume Wa Allah Yeye ndio amekhitimisha Unabi na


Mitume Basi Hapana budi kwamba aje Al'Imam Al'Mahdi "Nassera Muhammaden" Mnusura Wa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Basi hapana budi kwamba awahoji watu kwa ile ile "Basira" Kujua ambao amekuja nayo Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Basi Hapana budi kwamba Amfundishe Allah Al'Imam Al'Mahdi kubaini Al'Quran Al3adhim ili awabainishie watu kama alivo ibainisha kwao Alio khitimisha Unabi Na Mitume Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na je kuna dalili katika muhakam ilio wazi maana yake katika Kitabu kwamba yuko Mtu Anamsimamia kumfundisha Al'Rahman Bayana Ya Haki Ya Al'Quran?
Jawabu:6- Amesema Allah Ta3ala:
{الرَّحْمَنُ (1) عَلَّمَ الْقُرْآنَ (2) خَلَقَ الْإنْسَانَ (3) عَلَّمَهُ الْبَيَانَ(4)} صدق الله العظيم [الرحمن].
Allah Ta3ala Asema: {Al'Rahman Mwingi Wa huruma (1) Amefundisha Qur'ani (2) Amemumba Mtu (3) Akamfundisha kubaini (4)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman].


Suali:7- Na je hakika Atampa Allah ilimu Ya Kitabu ili Amfanye Ni Shahidi kwa Haki Ju Ya Atakae Kumkufuru Yeye?
Jibu:7-Amesema Allah Ta3ala:
{وَيَقُولُ الَّذِينَ كَفَرُوا لَسْتَ مُرْسَلاً قُلْ كَفَى بِاللَّهِ شَهِيدًا بَيْنِي وَبَيْنَكُمْ وَمَنْ عِنْدَهُ عِلْمُ الْكِتَابِ} صدق الله العظيم [الرعد:43].
Allah Ta3ala Asema: {Na walio kufuru wanasema: Wewe hukutumwa. Sema: Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi, na pia yule mwenye ilimu ya Kitabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alraad:43].


Suali:8- Na vipi Atamfundisha Allah Bayana Ya Haki Ya Kitabu ili Awahoji Nayo Makafiri?
Jibu:8- Amesema Allah Ta3ala:
{اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ ﴿١﴾خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ ﴿٢﴾اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ﴿٣﴾الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ ﴿٤﴾عَلَّمَ الْإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ ﴿٥﴾} صدق الله العظيم [العلق].
Allah Ta3ala Asema: {Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba (1) Amemuumba Mtu kwa tone la damu (2) Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote (3) Ambaye amefundisha kwa kalamu (4) Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui (5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alalaq].


Suali:9- Na Anakusudia Nini Allah Ta3ala Kwa Kusema Kwake:
: {خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ ﴿٢﴾اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ﴿٣﴾الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ ﴿٤﴾عَلَّمَ الْإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ ﴿٥﴾}صدق الله العظيم [العلق].
Allah Ta3ala Asema: {Amemuumba Mtu kwa tone la damu (2) Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote (3) Ambaye amefundisha kwa kalamu (4) Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui (5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alalaq].
Jibu:9- Amesema Allah Ta3ala:
{الرَّحْمَنُ (1) عَلَّمَ الْقُرْآنَ (2) خَلَقَ الْإنْسَانَ (3) عَلَّمَهُ الْبَيَانَ(4)} صدق الله العظيم [الرحمن].
Allah Ta3ala Asema: {Al'Rahman Mwingi Wa huruma (1) Amefundisha Qur'ani (2) Amemumba Mtu (3) Akamfundisha kubaini (4)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman].


Suali:10- Lakini labda Yeye Anakusudia Khalifa Wa Allah Adam Ju yake sala na salam wala sio khalifa Wa Allah Al'Imam Al'Mahdi ju yake sala na salam?
Jibu:10- Amesena Allah Ta3ala:
{اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ ﴿١﴾خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ ﴿٢﴾اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ﴿٣﴾الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ ﴿٤﴾عَلَّمَ الْإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ ﴿٥﴾} صدق الله العظيم [العلق].
Allah Ta3ala Asema: {Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba (1) Amemuumba Mtu kwa tone la damu (2) Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote (3) Ambaye amefundisha kwa kalamu (4) Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui (5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alalaq].


Suali:11- Taratibu Taratibu basi hatukufahamu kinacho kusudiwa kutokana na jubu lako kwa hi Aya na twataraji kufafanuliwe.
Jibu:11- Wataijua wenye akili na hivo ni kwajili Allah Hakumumba Adam kutokana na tone la damu alafu pande; Bali Amemumba Yeye kutokana na Mchanga kwa Kun ikawa.


Suali:12- Na je Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ni Mtume kutoka kwa Allah kwa watu wote kwa Al'Quran?
Jibu:12- Amesema Allah Ta3ala:
{قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ جَمِيعًا} صدق الله العظيم [الأعراف:158].
Allah Ta3ala Asema: {Sema enyi watu hakika mimi ni Mtume Wa Allah kwenu nyote} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:158].


Suali:13- Na je katu wame amini watu wote kwa Al'Quran ?
Jubu:13- Amesema Allah Ta3ala:
{وَلَا يَزَالُ الَّذِينَ كَفَرُوا فِي مِرْيَةٍ مِنْهُ حَتَّى تَأْتِيَهُمُ السَّاعَةُ بَغْتَةً أَوْ يَأْتِيَهُمْ عَذَابُ يَوْمٍ عَقِيمٍ } صدق الله العظيم [الحج:55].
Allah Ta3ala Asema: {Na walio kufuru hawatoacha kuwa katika wasiwasi kwa hilo mpaka Saa iwafikie ghafla, au iwafikie adhabu ya Siku Tasa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj:55].


Suali:14- Na je adhabu ya siku Tasa nayo ni kabla ya siku ya kiyama?
Jibu:14- Amesema Allah Ta3ala:
{وَإِنْ مِنْ قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا كَانَ ذَلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا}صدق الله العظيم [الإسراء:58].
Allah Ta3ala Asema: {Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku ya Kiyama, au tutaupa adhabu kali. Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa:58].


Suali:15- Na je itaendelea shaka yao kwa Al'Quran Al3adhim basi hawatoamini nayo watu wote ndio waifwate mpaka iwajie adhabu ya siku Tasa? Na Nini hio adhanu ya siku Tasa ambao itawafinika watu ndani yake Adhabu mpaka wamini wote kwa hi Al'Quran Al3adhim?
Jibu:15- Amesema Allah Ta3ala:
{بَلْ هُمْ فِي شَكٍّ يَلْعَبُونَ ﴿٩﴾ فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاءُ بِدُخَانٍ مُّبِينٍ ﴿١٠﴾ يَغْشَى النَّاسَ ۖ هَٰذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ ﴿١١﴾ رَّبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ ﴿١٢﴾ أَنَّىٰ لَهُمُ الذِّكْرَىٰ وَقَدْ جَاءَهُمْ رَسُولٌ مُّبِينٌ ﴿١٣﴾ ثُمَّ تَوَلَّوْا عَنْهُ وَقَالُوا مُعَلَّمٌ مَّجْنُونٌ ﴿١٤﴾ إِنَّا كَاشِفُو الْعَذَابِ قَلِيلًا ۚ إِنَّكُمْ عَائِدُونَ ﴿١٥﴾ يَوْمَ نَبْطِشُ الْبَطْشَةَ الْكُبْرَىٰ إِنَّا مُنتَقِمُونَ ﴿١٦﴾} صدق الله العظيم [الدخان].
Allah Ta3ala Asema: {Lakini wao wanacheza katika shaka (9) Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri (10) Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu (11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12) Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha (13) Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu (14) Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile (15) Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa (16)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldukhan].


Suali:16- Na je hi Aya Ameifanya Allah Aya ya Kusadikisha kwa yale anao lingania Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad?
Jibu:16-
{إِنْ نَشَأْ نُنَزِّلْ عَلَيْهِمْ مِنَ السَّمَاءِ آَيَةً فَظَلَّتْ أَعْنَاقُهُمْ لَهَا خَاضِعِينَ} صدق الله العظيم [الشعراء:4].
Allah Ta3ala Asema: {Tunge penda tungeli wateremshia kutoka mbinguni Ishara zikanyenyekea shingo zao} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshuara:4].


Suali:17- Na nini hio ambao itakuja kutoka mbinguni?
Jibu:17- Amesema Allah Ta3ala:
{فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاءُ بِدُخَانٍ مُّبِينٍ ﴿١٠﴾ يَغْشَى النَّاسَ ۖ هَٰذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ ﴿١١﴾ رَّبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ ﴿١٢﴾ أَنَّىٰ لَهُمُ الذِّكْرَىٰ وَقَدْ جَاءَهُمْ رَسُولٌ مُّبِينٌ ﴿١٣﴾ ثُمَّ تَوَلَّوْا عَنْهُ وَقَالُوا مُعَلَّمٌ مَّجْنُونٌ ﴿١٤﴾ إِنَّا كَاشِفُو الْعَذَابِ قَلِيلًا ۚ إِنَّكُمْ عَائِدُونَ ﴿١٥﴾ يَوْمَ نَبْطِشُ الْبَطْشَةَ الْكُبْرَىٰ إِنَّا مُنتَقِمُونَ ﴿١٦﴾} صدق الله العظيم [الدخان].
Allah Ta3ala Asema: {Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri (10) Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu (11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12) Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha (13) Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu (14) Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile (15) Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa (16)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldukhan].


Suali:18- Lakini Hili suali si limelekezwa kwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam?
Jibu:18- Amesema Allah Ta3ala:
{وَإِذْ يَمْكُرُ بِكَ الَّذِينَ كَفَرُواْ لِيُثْبِتُوكَ أَوْ يَقْتُلُوكَ أَوْ يُخْرِجُوكَ وَيمكرون ْوَيَمْكُرُ اللّهُ وَاللّهُ خَيْرُ الْمَاكِرِينَ (30) وَإِذَا تُتْلَى عَلَيْهِمْ آيَاتُنَا قَالُواْ قَدْ سَمِعْنَا لَوْ نَشَاء لَقُلْنَا مِثْلَ هَـذَا إِنْ هَـذَا إِلاَّ أَسَاطِيرُ الأوَّلِينَ (31) وَإِذْ قَالُواْ اللَّهُمَّ إِن كَانَ هَـذَا هُوَ الْحَقَّ مِنْ عِندِكَ فَأَمْطِرْ عَلَيْنَا حِجَارَةً مِّنَ السَّمَاءِ أَوِ ائْتِنَا بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (32) وَمَا كَانَ اللّهُ لِيُعَذِّبَهُمْ وَأَنتَ فِيهِمْ وَمَا كَانَ اللّهُ مُعَذِّبَهُمْ وَهُمْ يَسْتَغْفِرُونَ (33)} صدق الله العظيم [الأنفال]
Allah Ta3ala Asema: {Na walipo kupangia mpango walio kufuru wakufunge, au wakuuwe, au wakutoe. Wakapanga mipango yao, na Mwenyezi Mungu akapanga yake. Na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa mipango (30) Na wanapo somewa Aya zetu, wao husema: Tumesikia. Na lau tungeli penda tunge sema kama haya. Haya si chochote ila hadithi za watu wa kale tu (31) Na walipo sema: Ee Mwenyezi Mungu! Ikiwa haya ni kweli itokayo kwako basi tunyeshee mawe kutoka mbinguni, au tuletee adhabu yoyote iliyo chungu (32) Na Mwenyezi Mungu hakuwa wa kuwaadhibu nawe umo pamoja nao, wala Mwenyezi Mungu si wa kuwaadhibu na hali ya kuwa wanaomba msamaha (33)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal].


Suali:19- Sadaqa Allah Na Mtume Wake
{وَمَا كَانَ اللّهُ لِيُعَذِّبَهُمْ وَأَنتَ فِيهِمْ} صدق الله العظيم [الأنفال:33]،
{Na Mwenyezi Mungu hakuwa wa kuwaadhibu nawe umo pamoja nao}, Lakini Ni kutoka sayari ipi mvua ya mawe ambao inaongojewa na kuteremka moshi ulio wazi?
Jibu:19- Amesema Allah Ta3ala:
{ وَهُمْ بِذِكْرِ الرَّحْمَنِ هُمْ كَافِرُونَ (36) خُلِقَ الإِنْسَانُ مِنْ عَجَلٍ سَأُرِيكُمْ آيَاتِي فَلا تَسْتَعْجِلُونِ (37) وَيَقُولُونَ مَتَى هَذَا الْوَعْدُ إِنْ كُنْتُمْ صَادِقِينَ (38) لَوْ يَعْلَمُ الَّذِينَ كَفَرُوا حِينَ لا يَكُفُّونَ عَنْ وُجُوهِهِمُ النَّارَ وَلا عَنْ ظُهُورِهِمْ وَلا هُمْ يُنْصَرُونَ (39) بَلْ تَأْتِيهِمْ بَغْتَةً فَتَبْهَتُهُمْ فَلا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلا هُمْ يُنْظَرُونَ (40) } صدق الله العظيم [الأنبياء].
Allah Ta3ala Asema: {Na hali wao wankifuru kumkumbuka Arrahman, Mwingi wa Rehema (36) Mwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize (37) Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli (38) Lau wangeli jua wale walio kufuru wakati ambao hawatauzuia Moto kwenye nyuso zao wala migongo yao, na wala hawatanusuriwa (39) Bali utawafikia kwa ghafla, na utawashitua na wala hawataweza kuurudisha, wala hawatapewa muhula (40)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal].


Maoni anatoa Mulizaji:" ikiwa wewe ni Nasser Muhammad Al'Yamani Kweli Al'Mahdi Al'Muntadhar ambae anampa Allah Bayana Ya Haki ya ukumbusho na umekuja kutoka kwa Allah kwa kadara aliokadiriwa katika kitabu kilio andikwa basi hapana budi kwamba uwe wewe na sayari ya adhabu ambao umeibainisha wewe kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake ya ukumbusho katika kuwaletea Binadamu, Kawakua unatoa fatwa kwamba Allah Atakudhihirisha nayo ju ya ulimwengu katika usiku na wao ni wanyonge, Na lau ingekua umetubainishia kutoka kwa vitabu va Binadamu hatungekuamini wala sio vitabu va Binadamu ni hoja ju ya Watu; Bali hoja ni kwamba utubainishie kutoka kwa kitabu cha Allah Al'Wahid Al'Qahar Na uifafanuwe ufafanuzi na kwa akili na mantik, Vile kwamba Binadamu wamekua wanavamia anga wakafika mpaka ju ya mwezi basi kwa akili na mantik ikiwa sayari ya Saqar ambao umeibainisha kwa Binadamu kutoka muhakam ya ukumbusho imekuja kadara ya kupita kwake na kadara ya kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa kadara ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa basi hapana budi kwamba awe anawajulisha wanazuoni wa anga kwamba kunao Sayari inakurubia kwa Ardhi ya Binadamu basi hi ndio inao sema akili na mantik hata kama hawakuweza kukadiria ile siku itkao pita ju ya Ardhi ya Binadamu basi kwa akili na mantik imani dhaifu ya chini hapana budi kwamba awajulishe wanasayansi wa anga katika Binadamu kabla haijapita kwa Ardhi Ya Binadamu, Basi hi ndio inao sema akili na mantik, Basi imebaki ju ya watafiti wa haki kwamba watafute ilimu ya anga na waseme enyi wanasayansi wa anga je kweli inakurubia Sayari kwa Ardhi katika hi zama ambao tuko ndani yake na je ni Sayari ina moto kwakua kuna Mw anamume kwenye internet ya ulimwengu anatoa fatwa kwa ma Aya baini kutoka kwa muhakam ya ukumbusho na asema kwamba hio ni Alama ya kusadikisha kitabu cha Allah Al'Quran Al3dhim, Na miongoni mwake Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَهُمْ بِذِكْرِ الرَّحْمَنِ هُمْ كَافِرُونَ (36) خُلِقَ الإِنْسَانُ مِنْ عَجَلٍ سَأُرِيكُمْ آيَاتِي فَلا تَسْتَعْجِلُونِ (37) وَيَقُولُونَ مَتَى هَذَا الْوَعْدُ إِنْ كُنْتُمْ صَادِقِينَ (38) لَوْ يَعْلَمُ الَّذِينَ كَفَرُوا حِينَ لا يَكُفُّونَ عَنْ وُجُوهِهِمُ النَّارَ وَلا عَنْ ظُهُورِهِمْ وَلا هُمْ يُنْصَرُونَ (39) بَلْ تَأْتِيهِمْ بَغْتَةً فَتَبْهَتُهُمْ فَلا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلا هُمْ يُنْظَرُونَ (40) } صدق الله العظيم [الأنبياء]".
Allah Ta3ala Asema: {Na hali wao wankifuru kumkumbuka Arrahman, Mwingi wa Rehema (36) Mwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize (37) Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli (38) Lau wangeli jua wale walio kufuru wakati ambao hawatauzuia Moto kwenye nyuso zao wala migongo yao, na wala hawatanusuriwa (39) Bali utawafikia kwa ghafla, na utawashitua na wala hawataweza kuurudisha, wala hawatapewa muhula (40)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal].




Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin ..
Mulizaji Na Anae Jibu Kwa Haki, Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله رب العالمين..
السائل والمجيب بالحق، الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــ
اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.online/showthread.php?p=7244