المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Bayana Ya Uhakika Wa Kitabu "Al'Mubin" Kinacho Baini Ambao Ndani Yake Mifunguo Ya Ghaib Na Inamhusu Mwenye Ilimu Ya



Admin
14-06-2020, 12:34 AM
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
26 - 09 - 1431 هـ
04 - 09 - 2010 مـ
11:54 صباحاً
https://mahdialumma.online/showthread.php?p=7532 (https://mahdialumma.online/showthread.php?p=7532)
ـــــــــــــــــــــ

بيان حقيقة الكتاب المُبين الذي فيه مفاتيح الغيب ويخصّ علّام الغيوب ..
Bayana Ya Uhakika Wa Kitabu "Al'Mubin" Kinacho Baini Ambao Ndani Yake Mifunguo Ya Ghaib Na Inamhusu Mwenye Ilimu Ya Ghaibu ..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Khatimu Wa Ma Nabi Na Mitume Babu Yangu Nabi Ambae Sio Msomi Mwaminifu Na Watu Wake Walio Twahirika Na Walio Tangulia Ma Ansar Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho Na Walio Enea Juu Mpa Siku Ya Dini..

Wapendwa Wangu Kwa Allah, Hakika iko kitabu kinaitwa ( Alkitab Almknun ) Kitabu kinacho bainisha Amekiumba Allah baada ya Arshi Kuu; Bali ni kitu cha kwanza Amekiumba Allah pamoja na kalamu Baada Ya Arshi Kuu, Akamuru Allah kalamu iyandike ikatamka kalamu ikasema: Nini niandike? Akasema: Andika kitu hakuna kama mfano wake kitu wala kabla yake kitu:
(( Allah Ana3im Ala3dham )), Kisha ikaandika ambao ilioko duni ya dhati ya Allah Subhanahu Ametukuka Sidratulmuntaha Arshi Kuu, Kisha ikandika yalio duni ya sidrat almuntaha nayo ni Bustani ya Al Maawa upana wake upana wa mbingu na ardhi, Kisha ile inao fwata kisha inao fwata kisha ikaandika yale yaliokua na yale yatakao kua katika matokeo madogo na makubwa mpaka siku ya dini kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Na ziko kwake funguo za ghaibu; hakuna azijuaye ila Yeye tu. Na Yeye anajua kilioko nchi kavu na baharini. Na halidondoki jani ila analijua. Wala punje katika giza la ardhi, wala kinyevu, wala kikavu ila kimo katika Kitabu kinacho bainisha (59)} Sadqa Allah Al3adhim [Alanaam].
{وَعِندَهُ مَفَاتِحُ الْغَيْبِ لَا يَعْلَمُهَا إِلَّا هُوَ ۚ وَيَعْلَمُ مَا فِي الْبَرِّ وَالْبَحْرِ ۚ وَمَا تَسْقُطُ مِن وَرَقَةٍ إِلَّا يَعْلَمُهَا وَلَا حَبَّةٍ فِي ظُلُمَاتِ الْأَرْضِ وَلَا رَطْبٍ وَلَا يَابِسٍ إِلَّا فِي كِتَابٍ مُّبِينٍ ﴿٥٩﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].

Kisha Akanukulu ndani yake ghaibu; Vitendo va watumwa wake wote, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَىٰ وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ ۚ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ ﴿١٢﴾} صدق الله العظيم [يس].

Na hivo ni kwajili ya watu wa motoni wote watainua kila moja wao ma suala yao ju ya yale alio yandika ju yake malaika atid basi watakanusha yote walio yatenda maovu na wataanza kukanusha baada kufa kwao moja kwa moja na siku ya kiyama Akasema Allah Ta3ala:
{ Ambao Malaika waliwafisha nao wamejidhulumu nafsi zao! Basi watasalimu amri, waseme: Hatukuwa tukifanya uovu wowote. (Wataambiwa): Kwani! Hakika Mwenyezi Mungu anajua sana mliyo kuwa mkiyatenda (28)} Sadaqa Allah Al3adhim [Anahl].
{الَّذِينَ تَتَوَفَّاهُمُ الْمَلَائِكَةُ ظَالِمِي أَنفُسِهِمْ ۖ فَأَلْقَوُا السَّلَمَ مَا كُنَّا نَعْمَلُ مِن سُوءٍ ۚ بَلَىٰ إِنَّ اللَّـهَ عَلِيمٌ بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [النحل].

Na kukanusha kwao imeanza moja kwa moja baada kufa kwao wakati walipo wafisha wao malaika atid na msaidizi wake malaika raqib wakakanusha vitendo vao viovu ambazo aliandika ju yao malaika atid wakasema:
{ Hatukuwa tukifanya uovu wowote }
{مَا كُنَّا نَعْمَلُ مِن سُوءٍ}.
Kisha wajibu kwao malaika atid na shahidi ju ya ubaya wake katika uzuliaji malaika raqib wakawajibu wakanushaji wa vitendo viovu ambazo ameziandika malaika atid wakasema:
{Kwani! Hakika Mwenyezi Mungu anajua sana mliyo kuwa mkiyatenda} Sadaqa Allah Al3adhim,
{بَلَىٰ إِنَّ اللَّـهَ عَلِيمٌ بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ}
صدق الله العظيم.
Yani kua wao wamerudisha hukumu kwa mwenye kujua ghaibu Ambae Amejua walio tangulia katika waja wake na Akajua walio cheleweshwa na Akajua kwa yale watakayo yatenda katika ilimu ya ghaibu kabla Hajawaumba Allah Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na Sisi ndio tunao huisha na tunao fisha. Na Sisi ndio Warithi (23) Na tunawajua walio tangul
ia katika nyinyi, na tunawajua walio taakhari (24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhijr].
{وَإِنَّا لَنَحْنُ نُحْيِي وَنُمِيتُ وَنَحْنُ الْوَارِثُونَ ﴿٢٣﴾ وَلَقَدْ عَلِمْنَا الْمُسْتَقْدِمِينَ مِنكُمْ وَلَقَدْ عَلِمْنَا الْمُسْتَأْخِرِينَ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الحجر].

Mpaka pindi wakija kwa Mola Mlezi wao siku ya kiyama na wao ni mchungaji na hasimu wake na shahidi, Ama mchungaji ni malaika atid anamwendesha hasimu wake mtu kwa Allah ili Ahukumu baina yao je atid amemdhulumu yule mtu kwa kitu na ameandika ju yake yale hajayafanya? Na ama shahidi basi ni malaika raqib kwakua yeye alikuweko wakati yule mtu akifanya maovu ispokua yeye hajakalifishwa kuandika vitendo viovu kwajili ya hivo amekua kazi yake ni shahidi kwa haki, Lakni mtu katika wale walio dhulumu nafsi zao anakanusha yale alio andika malaika atid katika uovu na hivo hivo anapinga ushuhuda wa malaika raqib, Kisha Allah Anakitoa kitabu kinacho bainisha kitabu cha ilimu ya ghaibu ambao inamhusu Yeye Subhanahu Wa Ta3ala Uluwan Kabiran Akasema Allah Ta3ala:
{Hichi kitabu chetu kinasema juu yenu kwa haki. Hakika Sisi tulikuwa tukiyaandika mliyo kuwa mkiyatenda (29)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljathia].
{هَـٰذَا كِتَابُنَا يَنطِقُ عَلَيْكُم بِالْحَقِّ ۚ إِنَّا كُنَّا نَسْتَنسِخُ مَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ ﴿٢٩﴾}صدق الله العظيم [الجاثية].
Na vile waja wenye vitendo viovu wanajua kua malaika atidi na shahidi wake hawa kuwadhulumu kitu mpaka pindi Akiweka Allah kitabu chake kinashuka kutoka dhati ya Arshi ili itimu kutabikisha baina yaliomo ndani yake kutokana na ilimu ya ghaibu ya vitendo na baina yaliomo katika kitabu cha malaika atid, Na kwavile watu wa vitendo viovu wanajua kua malaika hawa kuwadhulumu kitu kwajili ya hivo wao waogopa ju ya nafsi zao kwa yale yaliomo ndani yake Akasema Allah Ta3aka:
{Na kitawekwa kitabu. Basi utawaona wakosefu wanavyo ogopa kwa yale yaliomo humo. Na watasema: Ole wetu! Kitabu hichi kina nini! Hakiachi dogo wala kubwa ila huliandika? Na watayakuta yote waliyo yatenda yamehudhuria hapo. Na Mola wako Mlezi hamdhulumu yeyote (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf].
{وَوُضِعَ الْكِتَابُ فَتَرَى الْمُجْرِمِينَ مُشْفِقِينَ مِمَّا فِيهِ وَيَقُولُونَ يَا وَيْلَتَنَا مَالِ هَـٰذَا الْكِتَابِ لَا يُغَادِرُ صَغِيرَةً وَلَا كَبِيرَةً إِلَّا أَحْصَاهَا ۚ وَوَجَدُوا مَا عَمِلُوا حَاضِرًا ۗ وَلَا يَظْلِمُ رَبُّكَ أَحَدًا ﴿٤٩﴾} صدق الله العظيم [الكهف].
ispokua wamesema wahalifu hayo katika nafsi zao wala haikutamka ndimi zao bali wamesema katika nafsi zao:
{ Ole wetu! Kitabu hichi kina nini! Hakiachi dogo wala kubwa ila huliandika},
{يَا وَيْلَتَنَا مَالِ هَـٰذَا الْكِتَابِ لَا يُغَادِرُ صَغِيرَةً وَلَا كَبِيرَةً إِلَّا أَحْصَاهَا}،
Lakini wao hawakupata ispokua waendele kupinga kua wao hawajafanya kitu kiovu ndio waape kwa Billah kwa Allah kudhani kwao kua yule alio andika kitabu kinacho bainisha ni malaika mwengine kama mfano wa atid, Basi hawakujua kua yule Alie Andika Kitabu kinacho bainisha kua Yeye Ni Mwenye Kujua Yalio fichika Ambae Amejua kwa yale watakayo yatenda katika maovu kabla hawja'yatenda, Na kwavile wao hawajuwi kua kitabu kinacho bainisha kinamhusu Allah basi wakapinga ukweli wake wakaapa kwa Allah Billah Akasema Allah Ta3ala:
{Siku atakayo wafufua Mwenyezi Mungu wote, wamuwapie kama wanavyo kuwapieni nyinyi. Na watadhani kuwa wamepata kitu! Kwa hakika hao ndio waongo (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almujadala].
{يَوْمَ يَبْعَثُهُمُ اللَّـهُ جَمِيعًا فَيَحْلِفُونَ لَهُ كَمَا يَحْلِفُونَ لَكُمْ ۖ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُمْ عَلَىٰ شَيْءٍ ۚ أَلَا إِنَّهُمْ هُمُ الْكَاذِبُونَ ﴿١٨﴾}صدق الله العظيم [المجادلة].
Kisha inaongezeka ghadhabu ya Allah ju yao ndio anaviziba vinywa vyao ili iseme mikono yao na miguu yao na ngozi zao kwa yale walikua wakiyafanya Akasema Allah Ta3ala:
{Leo tunaviziba vinywa vyao, na iseme nasi mikono yao, na itoe ushahidi miguu yao kwa waliyo kuwa wakiyachuma (65)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
ومن ثمّ يزداد غضب الله عليهم فيَختِم على أفواههم لتتكلَّم أيديهم وأرجلهم وجلودهم بما كانوا يعملون وقال الله تعالى:
{الْيَوْمَ نَخْتِمُ عَلَىٰ أَفْوَاهِهِمْ وَتُكَلِّمُنَا أَيْدِيهِمْ وَتَشْهَدُ أَرْجُلُهُم بِمَا كَانُوا يَكْسِبونَ ﴿٦٥﴾} صدق الله العظيم [يس].

Na baada kushuhudia ju yao viungo vao hapo ndio wamekata tama kua wao wanaweza kuendelea kuping, Kisha Allah Anzifungulia vinywa vyao ili waseme na mikono yao na migu yao na ngozi zao na Akasema Allah Ta3ala:
{Na wao wataziambia ngozi zao: Kwa nini mmetushuhudilia? Nazo zitasema: Ametutamkisha Mwenyezi Mungu ambaye ametamkisha kila kitu! Na Yeye ndiye aliye kuumbeni mara ya kwanza, na kwake Yeye tu mtarejeshwa (21)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat]
{وَقَالُوا لِجُلُودِهِمْ لِمَ شَهِدتُّمْ عَلَيْنَا ۖ قَالُوا أَنطَقَنَا اللَّـهُ الَّذِي أَنطَقَ كُلَّ شَيْءٍ وَهُوَ خَلَقَكُمْ أَوَّلَ مَرَّةٍ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ ﴿٢١﴾} صدق الله العظيم [فصلت].

Kisha Akazungumza na wao Allah Ta3ala Akasema Mwenye Kujua vilio fichika:
{ Na hamkuwa wenye kujificha hata masikio yenu, na macho yenu, na ngozi zenu, zisikushuhudilieni. Lakini mlidhani kwamba Mwenyezi Mungu hayajui mengi katika mliyo kuwa mkiyatenda(22)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat].
{وَمَا كُنتُمْ تَسْتَتِرُونَ أَن يَشْهَدَ عَلَيْكُمْ سَمْعُكُمْ وَلَا أَبْصَارُكُمْ وَلَا جُلُودُكُمْ وَلَـٰكِن ظَنَنتُمْ أَنَّ اللَّـهَ لَا يَعْلَمُ كَثِيرًا مِّمَّا تَعْمَلُونَ ﴿٢٢﴾} صدق الله العظيم [فصلت].

Kisha inatoka amri kutoka kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar kwa malaika wawili walio wakilishwa kwa mtu kutoka mwanzo mpaka mwisho na wao ni Raqib na Atid, Kisha Asema Allah kwa malaika Atid na malaika Raqib:
{ Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inda (24) Akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka (25) Aliye weka mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi mtupeni katika adhabu kali (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Qaaf].
{أَلْقِيَا فِي جَهَنَّمَ كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَّنَّاعٍ لِّلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُّرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّـهِ إِلَـٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾}
صدق الله العظيم [ق].

Lakini shetani bado anazali katika mwili wa yule mtu basi wao ni roho mbili katika kiwiliwili kimoja na wao katika adhabu wanakua pamoja, Akaogopa shetani rafiki wa yule mtu wakati alipo msikia Arrahman Ametoa amri kwa malaika wawili atid na raqib:
{Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inda (24) Akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka (25) Aliye weka mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi mtupeni katika adhabu kali (26)} Sadaqa Allah Al3adhim
: {أَلْقِيَا فِي جَهَنَّمَ كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَّنَّاعٍ لِّلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُّرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّـهِ إِلَـٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾}صدق الله العظيم.
Alafu akatamka shetani mwenzake yule mtu anajaribu kujitoa kujibarisha nafsi yake Akasema Allah Ta3ala:
{ Mwenzake aseme: Ee Mola wetu Mlezi! Sikumpoteza mimi, bali yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wa mbali (27) (Mwenyezi Mungu) aseme: Msigombane mbele yangu. Nilikuleteeni mbele onyo langu (28) Mbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu (29) Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada (30) Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali (31) Haya ndiyo mnayo ahidiwa kwa kila mwenye kurejea kwa Mwenyezi Mungu na akajilinda (32) Mwenye kumwogopa Mwingi wa Rehema hali kuwa hamwoni, na akaja kwa moyo ulio elekea (33) (Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku ya daima dawamu (34) Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada (35) Na kaumu ngapi tuliziangamiza kabla yao walio kuwa na nguvu zaidi kuliko hawa! Nao walitanga tanga katika nchi nyingi. Je! Walipata pa kukimbilia (36) Hakika katika hayo upo ukumbusho kwa mwenye moyo au akatega sikio naye yupo anashuhudia (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Qaaf].
{قَالَ قَرِينُهُ رَبَّنَا مَا أَطْغَيْتُهُ وَلَـٰكِن كَانَ فِي ضَلَالٍ بَعِيدٍ ﴿٢٧﴾ قَالَ لَا تَخْتَصِمُوا لَدَيَّ وَقَدْ قَدَّمْتُ إِلَيْكُم بِالْوَعِيدِ ﴿٢٨﴾ مَا يُبَدَّلُ الْقَوْلُ لَدَيَّ وَمَا أَنَا بِظَلَّامٍ لِّلْعَبِيدِ ﴿٢٩﴾ يَوْمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ امْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِن مَّزِيدٍ ﴿٣٠﴾ وَأُزْلِفَتِ الْجَنَّةُ لِلْمُتَّقِينَ غَيْرَ بَعِيدٍ ﴿٣١﴾ هَـٰذَا مَا تُوعَدُونَ لِكُلِّ أَوَّابٍ حَفِيظٍ ﴿٣٢﴾ مَّنْ خَشِيَ الرَّحْمَـٰنَ بِالْغَيْبِ وَجَاءَ بِقَلْبٍ مُّنِيبٍ ﴿٣٣﴾ ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ ۖ ذَٰلِكَ يَوْمُ الْخُلُودِ ﴿٣٤﴾ لَهُم مَّا يَشَاءُونَ فِيهَا وَلَدَيْنَا مَزِيدٌ ﴿٣٥﴾ وَكَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّن قَرْنٍ هُمْ أَشَدُّ مِنْهُم بَطْشًا فَنَقَّبُوا فِي الْبِلَادِ هَلْ مِن مَّحِيصٍ ﴿٣٦﴾ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَذِكْرَىٰ لِمَن كَانَ لَهُ قَلْبٌ أَوْ أَلْقَى السَّمْعَ وَهُوَ شَهِيدٌ﴿٣٧﴾}
صدق الله العظيم [ق].

Kisha Aseme yule mtu kwa mwenzake shetani ambae amempoteza katika njia ilio nyoka katika maisha ya dunia:
{ atasema: Laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki na magharibi. Rafiki mwovu mno wewe} Sadaqa Allah Al3adhim [Azukhruf:38].
{قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ} صدق الله العظيم [الزخرف:38].

Na hivo kwajili yeye ni upepo katika mwili wake wamelazimiana basi wao katika adhabu wanashirikiana, Wala hatukusudi pepo kugusa ya wagonjwa wale wanawagonjesha ma shetani wale ambao amewapa mtihani Allah katika waumini basi hatukusudi aina hio ya upepo; Bali Anakusudia Allah upepo ya kufunga kuwekewa kwasababu ya kughafilika, Na wala sikusudi nayo kuguswa pepo ya maradhi kamwe katika waumini wale ambao wawaudhi kuguswa na ma shetani bali nakusudia pepo wa kuwekwa kupewa, Nayo ni shetani ambae anamwekea Allah yule mtu ambae anaye yafanya upofu utajo wake aishi kwenye mughafala kwa ukumbusho wa Mola Mlezi wake Akasema Allah Ta3ala:
{ Anaye yafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shet'ani kuwa ndiye rafiki yake (36) Na hakika wao wanawazuilia Njia na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka (37) Hata atakapo tujia atasema: Laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki na magharibi. Rafiki mwovu mno wewe (38)} Sadaqa Allah Al3adhim [Azzughruf].
{وَمَن يَعْشُ عَن ذِكْرِ الرَّحْمَـٰنِ نُقَيِّضْ لَهُ شَيْطَانًا فَهُوَ لَهُ قَرِينٌ ﴿٣٦﴾ وَإِنَّهُمْ لَيَصُدُّونَهُمْ عَنِ السَّبِيلِ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُم مُّهْتَدُونَ ﴿٣٧﴾ حَتَّىٰ إِذَا جَاءَنَا قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ ﴿٣٨﴾} صدق الله العظيم [الزخرف].

Kwajili Ya hivo amesema yule mtu kwa rafiki yake shetani:
{ atasema: Laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki na magharibi. Rafiki mwovu mno wewe} Sadaqa Allah Al3adhim.
ولذلك قال الإنسان لقرينه الشيطان : {قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ}.

Akasema Allah Ta3ala:
{ Hakika katika hayo upo ukumbusho kwa mwenye moyo au akatega sikio naye yupo anashuhudia (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Qaaf].
{إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَذِكْرَىٰ لِمَن كَانَ لَهُ قَلْبٌ أَوْ أَلْقَى السَّمْعَ وَهُوَ شَهِيدٌ ﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم [ق].

Allahuma nimebalighisha Allahuma Shuhudia, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamduillah Rabil3alamin..
Mwalimu Wa Bayana Wa Haki Ya Al'Quran Kwa Al'Quran; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
مُعلِّم البيان الحقّ للقرآن بالقرآن؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
______________

اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.online/showthread.php?p=7532