المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Jumla Na Muhimu Kwa Wote Ulimwenguni; Kwa Binadamu Wote Mwislamu Na Kafiri..



Admin
01-07-2020, 02:01 AM
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
07 - ذو القعدة - 1441 هـ
28 - 06 - 2020 مـ
1:27 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
______


Jumla Na Muhimu Kwa Wote Ulimwenguni; Kwa Binadamu Wote Mwislamu Na Kafiri..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na viliomo bina yao na Mola Mlezi wa Arshi Kuu Ambae Ameumba Malaika Kwa Nur Na Akaumba Ma Jini kwa Moto na Akaumba binadamu kwa udongo wa kinamo Ambae kwa Mkono Wake kwenda kwa jua na mwezi na Akateremsha mvua Akatowa mimea; Mola Mlezi wa kinacho tembea na kinacho ruka kutokana na mbu na ya ju yake; Huyo kwenu Allah Al'Wahid Al'Qahar Mola Mlezi wa Ma Nabi kutoka wakwanza wao mpaka khatimu wao Muhammad Mtume wa Allah; Na Mola Mlezi wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa wa Allah na mja wake Nasser Muhammad, Sala za Allah ju ya kila ame amini Allah Pekeyake Hana Mshirika na Yeye katika waja Wake wote katika ufalme wa Allah katika wa mwanzo na wa mwisho na katika anga ju mpaka siku ya dini, Ama Baada Ya Hapo..


Na enye ma3ashara ya binadamu, Mcheni Allah Al'Wahid Al'Qahar na mutii Amri Yake kwenye ilio wazi maana yake ukumbusho wake Al'Quran Al3adhim ujumbe wa Allah kwa walimwengu binadamu na ma jini wote; Mkusanyiko wa vitabu va Mitume wa Allah kwa dini ya kisalamu ya Allah Mola Mlezi wa Ulimwengu, Na atakae kutaka kando na uwislamu kua ni dini basi hatoikubali Allah kwake na hakika yeye akhera ni wenye kukhasirika, Basi tubieni kwa Allah Mola Mlezi wangu na Mola Mlezi wenu na mujisalimu kwake na mumabudu Yeye Pekeyake hana mshirika na mu aminini kwa Allah na Mitume Wake na mumtii Allah na mufwate yalio teremshwa na Allah Ju ya khatimu wa Mitume na ma Nabi Wake Nabi ambae sio msomi Muhammad Mtume wa Allah, Na mumkubali Khalifa Wake na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kabla Haja Fungua ju yenu mlango yenye adhabu kali kuongeza ju ya Anao Wajazia kutokana na adhabu mfano wa umbu ilio fichika ambao haionekani ilio lekezwa wana jeshi wadogo kabisa wa Allah kwenye ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim changamoto kutoka kwa Allah na mfano mpya katika Al'Quran Al'Majid ni katika wanajeshi wadogo kabisa wa Allah kwenye kitabu; Kuwapa Changamoto kutoka kwa Allah Mwenye Adhabu kali hamuna uwezo nayo nayo ni katika jeshi la Allah wadogo kabisa katika kitabu wala hamuna ujuzi nao.


Na enye ma3ashara ya walimwengu, Hivi hamjuwi kua Allah Ana majeshi ya mbinguni na duniani kutokana na mbu ambae haonekani katika aina ya mbu ambae ni Smart na ilio ju yake? Ame mwamuru Allah Ambae Amemumba kua Awalazimishe walimwengu mpaka watii amri ya mja wa Allah na khalifa Wake ju ya ulimwengu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Hakika sisemi ju ya Allah ispo kua Haki, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake. Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi, lakini wale walio kufuru husema: Ni nini analo kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapoteza wengi na huwaongoa wengi; lakini hawapotezi ila wale wapotovu (26) Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara (27) Vipi mnamkanusha Mwenyezi Mungu na hali mlikuwa wafu akakufufueni! Kisha atakufisheni, tena atakufufueni, kisha kwake mtarejeshwa (28)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
{ ۞ إِنَّ ٱللَّهَ لَا یَسۡتَحۡیِۦۤ أَن یَضۡرِبَ مَثَلاً مَّا بَعُوضَةً فَمَا فَوۡقَهَاۚ فَأَمَّا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ فَیَعۡلَمُونَ أَنَّهُ ٱلۡحَقُّ مِن رَّبِّهِمۡۖ وَأَمَّا ٱلَّذِینَ كَفَرُوا۟ فَیَقُولُونَ مَاذَاۤ أَرَادَ ٱللَّهُ بِهَـٰذَا مَثَلاًۘ یُضِلُّ بِهِۦ كَثِیرًا وَیَهۡدِی بِهِۦ كَثِیرًاۚ وَمَا یُضِلُّ بِهِۦۤ إِلَّا ٱلۡفَـٰسِقِینَ ۝ ٱلَّذِینَ یَنقُضُونَ عَهۡدَ ٱللَّهِ مِنۢ بَعۡدِ مِیثَـٰقِهِۦ وَیَقۡطَعُونَ مَاۤ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦۤ أَن یُوصَلَ وَیُفۡسِدُونَ فِی ٱلۡأَرۡضِۚ أُو۟لَـٰۤىِٕكَ هُمُ ٱلۡخَـٰسِرُونَ ۝ كَیۡفَ تَكۡفُرُونَ بِٱللَّهِ وَكُنتُمۡ أَمۡوَ ٰ⁠تًا فَأَحۡیَـٰكُمۡۖ ثُمَّ یُمِیتُكُمۡ ثُمَّ یُحۡیِیكُمۡ ثُمَّ إِلَیۡهِ تُرۡجَعُونَ }صدق الله العظيم [البقرة: 26 - 28].


{Watasema: Mola wetu Mlezi! Umetufisha mara mbili, na umetuhuisha mara mbili! Basi tunakiri madhambi yetu. Basi je, ipo njia ya kutoka (11) Hayo ni hivyo kwa sababu mlikuwa akiombwa Mwenyezi Mungu peke yake mnakataa. Na akishirikishwa mnaamini. Basi hukumu ni ya Mwenyezi Mungu Mtukufu Mkuu (12)
{ قَالُوا۟ رَبَّنَاۤ أَمَتَّنَا ٱثۡنَتَیۡنِ وَأَحۡیَیۡتَنَا ٱثۡنَتَیۡنِ فَٱعۡتَرَفۡنَا بِذُنُوبِنَا فَهَلۡ إِلَىٰ خُرُوجٍ مِّن سَبِیلٍ ۝ ذَ ٰ⁠لِكُم بِأَنَّهُۥۤ إِذَا دُعِیَ ٱللَّهُ وَحۡدَهُۥ كَفَرۡتُمۡ وَإِن یُشۡرَكۡ بِهِۦ تُؤۡمِنُوا۟ۚ فَٱلۡحُكۡمُ لِلَّهِ ٱلۡعَلِیِّ ٱلۡكَبِیرِ }صدق الله العظيم [غافر: 11 - 12].


Na enye ma3ashara ya binadamu, Hivi hamujuwi kua ni ya Allah Wanajeshi Mbinguni na katika ardhi? Kusadikisha kauli ya Allah:
{ Na Mwenyezi Mungu ana majeshi ya mbingu na ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima (7)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfath].
{ وَلِلَّهِ جُنُودُ ٱلسَّمَـٰوَ ٰ⁠تِ وَٱلۡأَرۡضِۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِیزًا حَكِیمًا } صدق الله العظيم [الفتح: 7].


Na sababu ya kua Allah Amewapa Changamoto kwa Askari Mdogo katika viumbe vake katika adhabu ya chini na hivo kwa sababu ya kukataa kwenu na kiburi cha ma aduwi wa Allah miongoni mwenu ambao wao wako kwenye utukufu katika ardhi na kuvunjika kwa dini ya Allah na kitabu chake Al'Quran Al3adhim, Basi wakadhani kua wao wenye nguvu ambao hawashindwi na wanataka kuzima Nuru ya Allah Basi Akawapa Changamoto mwanzo wa jambo kwa askari mdogo kabisa walio fichika waso onekana kwa udogo wa saizi yake ambao wamelekezwa katika kitabu, Wanaishi katika hali ya hewa tafauti; Kwenye baridi kali na kwenye joto kali na kwenye hali ya hewa ya wastani miujiza kutoka kwa Allah; Wanapata uhai katika misimu yote ya duniani upana na urefu; Kiumbe hai kipya na mfano mpya katika aina ya mbu, Bali ni katika aina ndugu kabisa mbu wa damu enyi Binadamu; Hio kwenu ni katika adhabu ya rijzi katika kitabu ambao Allah Alimfanya firaun anyenyeke na jeshi lake, Wadogo katika saizi yake na kubwa kwa ku bomoa kwake, Bali nayo ina madhara zaidi kuliko mifuriko ya ma tofani na parare na chawa na ma chura; Bali nayo ni damu maradhi ya moja kwa moja inawapata binadamu kutokana na adhabu ya chini kwa wakanushaji wa kitabu, Na Hatuwaoneshi ishara ispo kua ni kubwa kuliko mwenzake nayo ni ishara zilio fanana zimetafautiana katika ku angamiza na kupatikana nayo Amempa Mkono Allah nazo kila Nabi ikawasibu watu wao katika adhabu ya chini, Wakambiwa wao na Ma Nabi wa Allah hakika imeanguka kwenu rijzi katika adhabu ya Mola Mlezi wenu nayo ni katika adhabu ya chini pasi na adhabu kuu huwenda mukarudi ndio mumombe Allah Pekeyake Hana mshirika na Yeye, Wakafanya kiburi mpaka ikazidi ju yao shida kwa wingi wa kugonjeka nayo na katika vifo kwa Amtakae Allah kisha waka Momba Allah Pekeyake ilhali wame nyenyekea na kuogopa katika hali ya udhalili wakam ahidi Mola Mlezi wao kua watafwata Mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ikiwa Atawaondoshea adhabu walio ipata katika madhara, Akawajibu Allah Akaondosha madhara walio ipata Akaamuru jeshi lake lilio kaa kwao kwenye ardhi yao waondoke ardhi yao Akawatubia Allah, Lakini kwa Maskitiko.. Basi Baada walipo pata afuwenu kwa yale Alio Wasibu nayo walisema ispokua hi ni janga tu ime wasibu ma baba zetu kabla wakapata afweni nayo kabla yetu, Akasema Allah Ta3ala:
{Na hatukumtuma Nabii yeyote katika mji ila tuliwapatiliza wakaazi wake kwa taabu na mashaka ili wapate kunyenyekea (94) Kisha Sisi hubadilisha mahala pa ubaya kwa wema, hata wakazidi, na wakasema: Taabu na raha ziliwafikia baba zetu. Basi kwa ghafla tukawashika, hali ya kuwa hawajatambua (95)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
{ وَمَاۤ أَرۡسَلۡنَا فِی قَرۡیَةٍ مِّن نَّبِیٍّ إِلَّاۤ أَخَذۡنَاۤ أَهۡلَهَا بِٱلۡبَأۡسَاۤءِ وَٱلضَّرَّاۤءِ لَعَلَّهُمۡ یَضَّرَّعُونَ ۝ ثُمَّ بَدَّلۡنَا مَكَانَ ٱلسَّیِّئَةِ ٱلۡحَسَنَةَ حَتَّىٰ عَفَوا۟ وَّقَالُوا۟ قَدۡ مَسَّ ءَابَاۤءَنَا ٱلضَّرَّاۤءُ وَٱلسَّرَّاۤءُ فَأَخَذۡنَـٰهُم بَغۡتَةً وَهُمۡ لَا یَشۡعُرُونَ } صدق الله العظيم [الأعراف: 94 - 95].


Bali nayo ni katika adhabu ya chini kwa daraja, Basi kwa kila aina ma daraja kwa yale wanao yatenda lakini wengi wa watu hawajuwi, Na je Anawasibu Allah ispo kua ni onyo kwao ili Asiwangamize Allah kwa Adhabu kuu wote na wao makafiri? Lakini kwa maskitiko ... Basi baada walipo nyenyekea kwa Mola Mlezi wao na khofu wanalia Aka wahurumia Aka waondoshea yale walio nayo mara wao wamegeuka na zikawa ngumu nyoyo zao baada ya ku nyenyekea na kukhofia! Akasema Allah Ta3ala:
{Na kwa yakini tulipeleka Mitume kwa kaumu zilizo kuwa kabla yako, kisha tukazitia katika dhiki na mashaka ili zipate kunyenyekea (42) Kwa nini wasinyenyekee ilipo wafika adhabu yetu? Lakini nyoyo zao zilikuwa ngumu, na Shet'ani akawapambia waliyo kuwa wakiyafanya (43) Basi walipo sahau walio kumbushwa tuliwafungulia milango ya kila kitu. Mpaka walipo furahia yale waliyo pewa tuliwashika kwa ghafla, na mara wakawa wenye kukata tamaa (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].
{ وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَاۤ إِلَىٰۤ أُمَمٍ مِّن قَبۡلِكَ فَأَخَذۡنَـٰهُم بِٱلۡبَأۡسَاۤءِ وَٱلضَّرَّاۤءِ لَعَلَّهُمۡ یَتَضَرَّعُونَ ۝ فَلَوۡلَاۤ إِذۡ جَاۤءَهُم بَأۡسُنَا تَضَرَّعُوا۟ وَلَـٰكِن قَسَتۡ قُلُوبُهُمۡ وَزَیَّنَ لَهُمُ ٱلشَّیۡطَـٰنُ مَا كَانُوا۟ یَعۡمَلُونَ ۝ فَلَمَّا نَسُوا۟ مَا ذُكِّرُوا۟ بِهِۦ فَتَحۡنَا عَلَیۡهِمۡ أَبۡوَ ٰ⁠بَ كُلِّ شَیۡءٍ حَتَّىٰۤ إِذَا فَرِحُوا۟ بِمَاۤ أُوتُوۤا۟ أَخَذۡنَـٰهُم بَغۡتَةً فَإِذَا هُم مُّبۡلِسُونَ } صدق الله العظيم [الأنعام: 42 - 44].


Na miongoni mwao mwenye kuwadhibu kwa upepo mkali wa bahari na wao wako baharini kisha linawajia mawimbi kila upande kwa upande zote inne wakadhani kua wame zungukwa na kua wao wata zamishwa hapana shaka wala utetanishi, Basi waka kumbuka maombi ya Nabi wao kua wamombe Allah Pekeyake Hana mshirika na Yeye Basi waka Momba Allah Pekeyake Hana mshirika ikiwa utatuokoa na hili hakika tutakua katika wanao shukuru wanao mfwata mlinganizi wa Allah, Kwa kua miongoni mwao Ana wadhibu kwa utisho wa kuzamishwa katika bahari kwenye safari iwafikie nyoyo koni wakati wakutumilizwa Nabi kwao, Akasema Allah Ta3ala:
{ Na tunapo waonjesha watu rehema baada ya shida waliyo ipata, utawaona wana vitimbi kuzipangia Ishara zetu. Sema: Mwenyezi Mungu ni Mwepesi zaidi wa kupanga. Hakika wajumbe wetu wanayaandika mnayo yapanga (21) Yeye ndiye anaye kuendesheni bara na baharini. Hata mnapo kuwa majahazini na yakawa yanakwenda nao kwa upepo mzuri wakaufurahia, upepo mkali ukawazukia, na yakawajia mawimbi kutoka kila upande, na wakaona wamesha zongwa, basi hapo humwomba Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia niya: Ukituokoa na haya bila ya shaka tutakuwa miongoni mwa wanao shukuru (22) Lakini akisha waokoa, mara wanafanya jeuri tena katika nchi bila ya haki. Enyi watu! Jeuri zenu zitakudhuruni wenyewe. Hii ni starehe ya maisha ya dunia tu. Kisha marejeo yenu ni kwetu, na hapo tutakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda (23)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].
{ وَإِذَاۤ أَذَقۡنَا ٱلنَّاسَ رَحۡمَةً مِّنۢ بَعۡدِ ضَرَّاۤءَ مَسَّتۡهُمۡ إِذَا لَهُم مَّكۡرٌ فِیۤ ءَایَاتِنَاۚ قُلِ ٱللَّهُ أَسۡرَعُ مَكۡرًاۚ إِنَّ رُسُلَنَا یَكۡتُبُونَ مَا تَمۡكُرُونَ ۝ هُوَ ٱلَّذِی یُسَیِّرُكُمۡ فِی ٱلۡبَرِّ وَٱلۡبَحۡرِۖ حَتَّىٰۤ إِذَا كُنتُمۡ فِی ٱلۡفُلۡكِ وَجَرَیۡنَ بِهِم بِرِیحٍ طَیِّبَةٍ وَفَرِحُوا۟ بِهَا جَاۤءَتۡهَا رِیحٌ عَاصِفٌ وَجَاۤءَهُمُ ٱلۡمَوۡجُ مِن كُلِّ مَكَانٍ وَظَنُّوۤا۟ أَنَّهُمۡ أُحِیطَ بِهِمۡ دَعَوُا۟ ٱللَّهَ مُخۡلِصِینَ لَهُ ٱلدِّینَ لَىِٕنۡ أَنجَیۡتَنَا مِنۡ هَـٰذِهِۦ لَنَكُونَنَّ مِنَ ٱلشَّـٰكِرِینَ ۝ فَلَمَّاۤ أَنجَىٰهُمۡ إِذَا هُمۡ یَبۡغُونَ فِی ٱلۡأَرۡضِ بِغَیۡرِ ٱلۡحَقِّ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّمَا بَغۡیُكُمۡ عَلَىٰۤ أَنفُسِكُمۖ مَّتَـٰعَ ٱلۡحَیَوٰةِ ٱلدُّنۡیَاۖ ثُمَّ إِلَیۡنَا مَرۡجِعُكُمۡ فَنُنَبِّئُكُم بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ }[يونس: 21 - 23].


Na suali ambalo lajiweka lenyewe: Basi nani Aliwatumia upepo mzuri mwanzo wa jambo kisha Akainua kiwangu cha daraja yake kua upepo mkali? Na nani Alio rudisha ukali wa upepo kufanya uwe mzuri umetulia baada walipo Momba Allah Awaokowe? Ukarudi upepo mkali kua upepo mzuri ili yatembeze majahazi yao ya tanga? Basi Angali Taka Allah Ange usmamisha upepo zikabaki ma j


ahazi yao yamesimama katikati ya bahari muda mrefu ndio wafe na nja, Akasema Allah Ta3ala:
{Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima (32) Akitaka, huutuliza upepo navyo hivyo vyombo husimama tutwe juu ya bahari. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa kila mwenye kusubiri akashukuru (33)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ashura].
{ وَمِنۡ ءَایَـٰتِهِ ٱلۡجَوَارِ فِی ٱلۡبَحۡرِ كَٱلۡأَعۡلَـٰمِ ۝ إِن یَشَأۡ یُسۡكِنِ ٱلرِّیحَ فَیَظۡلَلۡنَ رَوَاكِدَ عَلَىٰ ظَهۡرِهِۦۤۚ إِنَّ فِی ذَ ٰ⁠لِكَ لَـَٔایَـٰتٍ لِّكُلِّ صَبَّارٍ شَكُورٍ ۝ أَوۡ یُوبِقۡهُنَّ بِمَا كَسَبُوا۟ وَیَعۡفُ عَن كَثِیرٍ ۝ وَیَعۡلَمَ ٱلَّذِینَ یُجَـٰدِلُونَ فِیۤ ءَایَـٰتِنَا مَا لَهُم مِّن مَّحِیصٍ }[الشورى: 32 - 35].


Na labda ataka moja katika waulizaji kusema: "Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani, Lakini sisi ni umma tunaunda ma meli ma kubwa wala hazina haja ya upepo ifanye zitembe katika bahari bali zatembea kwa mashini zatumia moto wa mafuta, Na kwa vile wasema kua hakika ya hi Al'Quran iko khabari zetu na khabari ya wale kabla yetu, Na je Ame eleza Allah kwa ma meli za binadamu ambazo zimeundwa sasa? Kwa kua nazo si za tanga za tegemea upepo bali meli zategemea mashini yenye utumifu wa yanao tokana na mafuta" Kisha anajibu ju ya waulizaji Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na nasema: "Subhana Allah Al3adhim! Na je kwani mumeziunda ispo kua ni katika viumbe va Allah? Na hivo hivo Yeye Ametakasika ndio Alio umba mafuta yake Akawajulisha nayo muigunduwe kwenye utumbo wa ardhi yenu, Na Anajua Allah kwa Meli zenu kubwa ambazo sio za tanga bali za mashini, Na Ana wakumbusha Allah kwa neema zake ju yenu na kua mumche na mumshukuru, Na Awa tahadharisha kwamba nyinyi mutakavo unda ma meli yanaweza kupamnaba na mawingu ya bahari basi isiwaghuri hakika haziko na usalama wa hila za Allah, Akitaka Atazizamisha hakuna wakumpigia kelele kwenu!" Na Akasema Allah Ta3ala:
{Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio sheheni (41) Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda (42) Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi (43) Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{ وَءَایَةٌ لَّهُمۡ أَنَّا حَمَلۡنَا ذُرِّیَّتَهُمۡ فِی ٱلۡفُلۡكِ ٱلۡمَشۡحُونِ ۝ وَخَلَقۡنَا لَهُم مِّن مِّثۡلِهِۦ مَا یَرۡكَبُونَ ۝ وَإِن نَّشَأۡ نُغۡرِقۡهُمۡ فَلَا صَرِیخَ لَهُمۡ وَلَا هُمۡ یُنقَذُونَ ۝ إِلَّا رَحۡمَةً مِّنَّا وَمَتَـٰعًا إِلَىٰ حِینٍ }[يس: 41 - 44].


Na labda anataka katika wale hawawezi kufahamu kusema: "Na ziko wapi ma meli ambazo hazitembei kwa msaada wa upepo bali kwa mashini na mafuta?" Kisha anajibu kwa waulizaji Al'Imam Al'Mahdi na nasema: "Kwani Haku waeleza Allah kwa meli zingine kama zile, Meli za baharini ambazo sio za tanga? Na Akawaonya Allah zisiwaghuri na Akitaka Anazizamisha", Na kwajili ya hayo Asema Allah Ta3ala:
{ Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio sheheni (41) Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda (42) Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi (43) Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{ وَءَایَةٌ لَّهُمۡ أَنَّا حَمَلۡنَا ذُرِّیَّتَهُمۡ فِی ٱلۡفُلۡكِ ٱلۡمَشۡحُونِ ۝ وَخَلَقۡنَا لَهُم مِّن مِّثۡلِهِۦ مَا یَرۡكَبُونَ ۝ وَإِن نَّشَأۡ نُغۡرِقۡهُمۡ فَلَا صَرِیخَ لَهُمۡ وَلَا هُمۡ یُنقَذُونَ ۝ إِلَّا رَحۡمَةً مِّنَّا وَمَتَـٰعًا إِلَىٰ حِینٍ }صدق الله العظيم [يس: 41 - 44].


Na hivo hivo usafiri mbali na ngamia na farasi na nyumbu na punda, Na hivo hivo bali usafiri wa aina ingine munaziunda kutokana na viumbe va Allah kutokana na madini ya ardhi, Na hivo hivo Allah sekta zake za mafuta kwenye utumbo wa ardhi yenu, Awu kua ni nyinyi ndio mumeziumba madini yake na moto katika sekta za mafuta ikiwa nyinyi ni wakweli, Ama ni Allah Ametakasika? Na wala hamuna ujuzi na kitu kwa ilimu Yake ispokua Atakalo, Na Akasema Allah Ta3ala:
{Na hubeba mizigo yenu kupeleka kwenye miji msiyo weza kuifikia ila kwa mashaka ya nafsi. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mpole na Mwenye kurehemu (7) Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande
, na kuwa ni pambo. Na ataumba msivyo vijua (8) Na ni juu ya Mwenyezi Mungu kuelekeza Njia. Na zipo njia za upotovu. Na angeli penda angeli kuongoeni nyote (9)} Sadaqa Allah Al3adhim [Anahli]...


{ وَتَحۡمِلُ أَثۡقَالَكُمۡ إِلَىٰ بَلَدٍ لَّمۡ تَكُونُوا۟ بَـٰلِغِیهِ إِلَّا بِشِقِّ ٱلۡأَنفُسِۚ إِنَّ رَبَّكُمۡ لَرَءُوفٌ رَّحِیمٌ ۝ وَٱلۡخَیۡلَ وَٱلۡبِغَالَ وَٱلۡحَمِیرَ لِتَرۡكَبُوهَا وَزِینَةً وَیَخۡلُقُ مَا لَا تَعۡلَمُونَ ۝ وَعَلَى ٱللَّهِ قَصۡدُ ٱلسَّبِیلِ وَمِنۡهَا جَاۤىِٕرٌ وَلَوۡ شَاۤءَ لَهَدَىٰكُمۡ أَجۡمَعِینَ } صدق الله العظيم
[النحل: 7 - 9]..
Basi Watu wa ngamia na ma farasi na ma nyumbu na ma bunda Anazungumza na wao kwenye kauli Yake Ametakasika; Na Ataumba musivo vijua, Nazo ni hizo Amewajulisha nazo nyinyi enyi umma wa zama za mwisho, Hivi hamushukuru?


Na ala kuli hal.. Enyi ma3ashara ya waislamu na makafiri sadikini kwa ishara ya kumsadikisha Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani za kiulimwengu; ishara ya rahma na onyo kutokana na shari ilio andikwa yenye nguvu na chungu zaidi, Basi sadikini kua jua limefikia mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf ikakutana nae jua nae tayari ni mwandamo, Kwajili ya hivo mutapata usiku wa mwezi kua kamili albadr ya kwanza jioni ya siku ya juma mosi usiku wa juma pili; Hio kwenu ni usiku wa kumi na tano usiku wa nusu ya dhu alqaida ya mwaka wenu hu 1441 ambao imekatika ndani yake hija na sababu adhabu ya corona ambao imewasibu walimwengu kwa sababu ya kukataa ma taifa za waislamu na makafiri kumwitikia mlinganizi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri na kupata madaraka kwa waadi kutoka kwa Allah katika usiku na nyinyi ni katika wanyonge alio kataa na akafanya kiburi katika watungaji uwamuzi na wanazuoni wao wale ambao walifanya kiburi kuhusu mlinganizi wa haki Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani baada ilipo bainika kwao kua yeye ndio Al'Mahdi, Basi miongoni mwao walio fanya kiburi na miongoni mwao mwenye kunyamaza kutangaza bishara ya kutumilizwa Khalifa wa Allah Al'Mahdi, Lakini kwa sababu ya kiburi chao na ukimya wao basi wao ndio walio poteza ma taifa yao kwa sababu ya kufwata walio watangulia kwao ma aslafu wao ufwato upofu pasi na kupitisha yale walio yapata kwao ma salafu zao kwenye ilio wazi maana yake kitabu Al'Quran Al3adhim, Na yale walio yapata yamekuja yame khalifu ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim basi nayo ni batili imezushwa imewajieni kutoka kwa sio Allah na Mtume wake zimewekwa kushindikiwa katika sunna za ki Nabawia, Basi mcheni Allah enyi ma3ashara ya waislamu, Basi vipi kua Allah Amewapa fatwa kwamba Al'Quran Al3adhim imehifadhiwa kutokana na kuzua na inatawala ju ya Taurati na injili na yale imewajieni imekhalifu katika hizo?! Basi hayo ni kauli ya wale wanao sema ju ya Allah urongo na wao wajua; Katika watu wa kitabu ahlul kitab kati ya wale wanageuza maneno ya Allah katika Taurati na injili kutokana na pahala pake katika Taurati na injili baada walipo ifahamu, Kwajili ya hivo Ameifanya Allah Al'Quran Al3adhim ilio hifadhiwa kutokana na kugeuzwa ndio inao tawala kwa hukmu, Basi ile inao khalifu kwenye ilio wazi maana yake basi nayo ni batili imezushwa, Basi vipi Asifanye Allah Al'Quran Al3adhim ndio inao tawala kwa yale walio khitilifiana ndani yake wanazuoni wa hadithi katika sunna za ki Nabawi, Hivi Hamutafakari? Na je kwani adhabu ya munao ita corona ispokua ni onyo kwenu kutoka kwa Allah enyi ma3ashara ya wakanushaji kwa Mlinganizi wa Allah na mja Wake na Khalifa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani?


Basi mimi nawalingania zaidi ya miyaka kumi na tano ulinganizi moja na wala haikubadilika, Na wala haitakiwi ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wenu kua ibadilike ulinganizi wake sio katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri wala baada ya kudhihirika na kutawala kwa ukombozi wa wazi ju ya ulimwengu katika usiku na wenye kiburi ni katika wanyonge kwa Amri kutoka kwa Allah kwa adhabu chungu enye ma3ashara ya wakanushaji kwa mlinganizi wa Allah kufwafa kitabu chake Al'Quran Al3adhim na kukufuru kwa yale inao khalifu


ilio wazo maana yake ukumbusho Al'Quran Al3adhim sawa iwe katika Taurati na injili na katika ma hadithi za Bayana katika sunna za ki Nabawi, Basi ha hitaji Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad kwa ile mulio nayo katika ilimu, Basi kidogo katika hizo ni haki na nyingi zao ni batili, Bali nawalingania tupitishe yale mulio nayo kwa ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Basi ile inao khalifu ilio wazi maana yake Al'Quran ni batili imezushwa, Basi fwateni ukumbusho ilio hifadhiwa Al'Quran Al3adhim kutokana na uzushi ikiwa nyinyi nayo munai amini, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{ Hakika wewe unamwonya mwenye kufuata ukumbusho, na akamcha Arrahman, Mwingi wa Rehema, kwa ghaibu. Basi mbashirie huyo msamaha na ujira mwema (11)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{ إِنَّمَا تُنذِرُ مَنِ ٱتَّبَعَ ٱلذِّكۡرَ وَخَشِیَ ٱلرَّحۡمَـٰنَ بِٱلۡغَیۡبِۖ فَبَشِّرۡهُ بِمَغۡفِرَةٍ وَأَجۡرٍ كَرِیمٍ } صدق الله العظيم [يس: 11].


Na mushikane kwa kamba ya Allah Al'Qran Al3adhi na muache yanao khalifu mutaongoka, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Enyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi (174) Ama wale walio muamini Mwenyezi Mungu, na wakashikamana naye, basi atawatia katika rehema yake na fadhila, na atawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka (175)} Sadaqa Allah Al3adhim [Anisaa].
{ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلنَّاسُ قَدۡ جَاۤءَكُم بُرۡهَـٰنٌ مِّن رَّبِّكُمۡ وَأَنزَلۡنَاۤ إِلَیۡكُمۡ نُورًا مُّبِینًا ۝ فَأَمَّا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ بِٱللَّهِ وَٱعۡتَصَمُوا۟ بِهِۦ فَسَیُدۡخِلُهُمۡ فِی رَحۡمَةٍ مِّنۡهُ وَفَضۡلٍ وَیَهۡدِیهِمۡ إِلَیۡهِ صِرَ ٰ⁠طًا مُّسۡتَقِیمًا } صدق الله العظيم [النساء: 174 - 175].


Na sio katika waislamu anae kataa ulinganizi wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Basi mtegemee Mweneyezi Mungu; hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi (79) Kwa hakika wewe huwezi kuwafanya maiti wasikie, wala kuwafanya viziwi wasikie wito, wanapo kwisha geuka kwenda zao (80) Wala huwezi kuwaongoa vipofu waache upotovu wao. Huwezi kuwafanya wasikie isipo kuwa wenye kuziamini Ishara zetu; na hao ndio wat'iifu (81)} Sadaqa Allah Al3adhim [Anamli].
{ فَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱللَّهِۖ إِنَّكَ عَلَى ٱلۡحَقِّ ٱلۡمُبِینِ ۝ إِنَّكَ لَا تُسۡمِعُ ٱلۡمَوۡتَىٰ وَلَا تُسۡمِعُ ٱلصُّمَّ ٱلدُّعَاۤءَ إِذَا وَلَّوۡا۟ مُدۡبِرِینَ ۝ وَمَاۤ أَنتَ بِهَـٰدِی ٱلۡعُمۡیِ عَن
ضَلَـٰلَتِهِمۡۖ إِن تُسۡمِعُ إِلَّا مَن یُؤۡمِنُ بِـَٔایَـٰتِنَا فَهُم مُّسۡلِمُونَ }صدق الله العظيم [النمل: 79 - 81].



Na bado wanazali jeshi la Allah ambao ni wadogo mno mfano wa mbu alio fichika ambae hamuna ujuzi nawo wana shambulia vita vake ju ya ma taifa makuu; Haswa wale walio kua wanadhani nafsi zao nguvu ziso shindwa Akawashinda kwa kiumbe mdogo kabisa katika viumbe vake katika kitabu ukumbusho kwa wenye akili, Na hivo hivo ma taifa ma dogo wamepata sehemu yao kwa kiwango chao basi hawatoweza kuwasaidia wenye kiburi kitu wala hawatuweza kuwanusuru kutokana na adhabu ya Allah wala nafsi zao kujinusuru, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{Na hao mnao waomba asiye kuwa Mwenyezi hawawezi kukunusuruni, wala hawajinusuru wenyewe (197)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
{ وَٱلَّذِینَ تَدۡعُونَ مِن دُونِهِۦ لَا یَسۡتَطِیعُونَ نَصۡرَكُمۡ وَلَاۤ أَنفُسَهُمۡ یَنصُرُونَ } صدق الله العظيم [الأعراف: 197].


Na bado inazali mishutuko zinaendelea mpaka ije waadi wa Allah kumdhirisha Khalifa Wake ju ya wenye kiburi katika usiku na wao wanyonge, Basi jiokoweni nafsi zenu enye ma3ashara ya waislamu, Basi nani atawaokoa na adhabu ya Allah? Basi musikufuru kwa ulinganizi wa kuhukumiwa kwa Al'Quran Al3adhim ukumbusho wenu na ukumbusho wa walimwengu wote, Na bado anazali Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Ameweka gu ju ya gu kama Alivo Mwamuru Allah kua angoje na kua Yeye ndio Atakae mdhihirisha na kumpa madaraka ju ya ulimwengu kwa Uwezo Wake na Nguvu Zake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Macho yao yatainama chini, fedheha itawafunika. Na hakika walikuwa wakiitwa wasujudu walipo kuwa wazima (43) Basi niache na wanao kadhibisha maneno haya! Tutawavutia kidogo kidogo kwa mahali wasipo pajua (44) Na ninawapururia muhula; hakika hila zangu ni imara (45)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alqalam].
{ خَـٰشِعَةً أَبۡصَـٰرُهُمۡ تَرۡهَقُهُمۡ ذِلَّةٍ وَقَدۡ كَانُوا۟ یُدۡعَوۡنَ إِلَى ٱلسُّجُودِ وَهُمۡ سَـٰلِمُونَ ۝ فَذَرۡنِی وَمَن یُكَذِّبُ بِهَـٰذَا ٱلۡحَدِیثِۖ سَنَسۡتَدۡرِجُهُم مِّنۡ حَیۡثُ لَا یَعۡلَمُونَ ۝ وَأُمۡلِی لَهُمۡۚ إِنَّ كَیۡدِی مَتِینٌ ۝ } صدق الله العظيم [القلم: 43 - 45].


Allahuma nimebalighisha kwa haki.. Allahuma Shuhudia, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفةُ اللهِ وعبدهُ الإمام المهديّ ناصرُمحمدٍ اليمانيّ.
_________

اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.online/showthread.php?p=331874