المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Khutba Ya Juma inao Kusanya iliobarikiwa



Admin
26-09-2022, 12:17 PM
Al’Imam Al’Mahdi Naseer Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
27 - صفر - 1444 هـ
23 - 09 - 2022 مـ
01:17 مساءً
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
_________

Khutba Ya Juma inao Kusanya iliobarikiwa ..
خُطبَةُ يَوم جُمعَةٍ جامِعَةٍ مُبارَكةٍ ..

Bismillah Arahman Arahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Mpendwa Wa Moyo Wangu Katika Kumpenda Mola Mlezi Wangu Mwisho Wa Mitume Muhammad Mtume Wa Allah Na Mwenye Kumfwata Katika Wakwanza Na Wa Mwisho Na Walio Ju Mpaka Siku Ya Dini, Kisha Ama Baada Ya Hapo..

Hio kwenu habari ya yakini kuhusu kaumu katika Umma hu watumia ahdi ya Allah kua Awaridhishe waja wake wale walio Mridhisha Mola Mlezi wao Akatoa kwao kuwapa siku ya kukutana nae neema na ufalme mkubwa; Mara macho yao yanamiminika kwa machozi kwa wingi hawajawahi malaika kuona kilio kama hicho ila kama mfano wa kilio cha watu wa motoni, Na wao wasema ndani ya nafsi zao; Ya iIahi A3lalamin, Vipi tutaridhika na tumejua hali yako wasema ndani ya nafsi yako:
{يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ ۚ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ‎﴿٣٠﴾‏ أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ ‎﴿٣١﴾‏ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُونَ ‎﴿٣٢﴾‏} صدق الله العظيم [سورة يس]؟!"
Na ulimi wa hali yao yasema;” Ya Wadud Ya Wadud hakika tumekuja na tukakupenda na sisi tuko katika maisha ya dunia basi kwa enzi yako na utukufu wa Uso Wako Na uwadhimu wa Neema Ya Kuridhia Nafsi Yako hatu tobadili kamwe; Hatutoridhika mpaka Uridhike.”

Hawo kaumu ndio ali ahidi Allah Kuwatuma wakati wakirtadi waumini kwa dini yao, Basi Wallahi Ambae Hapana Mola Ispokua Yeye Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na viliomo baina yao Mola Milezi wa Arshi Kuu hakika wao wako kwa umma hu wala siwajuwi wengi katiyao.

Na natoa ruhusa kweka Bayana hi kwa tuvoti kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَتَوَلَّ عَنْهُمْ فَمَا أَنتَ بِمَلُومٍ ‎﴿٥٤﴾‏ وَذَكِّرْ فَإِنَّ الذِّكْرَىٰ تَنفَعُ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٥٥﴾‏ وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ‎﴿٥٦﴾‏ مَا أُرِيدُ مِنْهُم مِّن رِّزْقٍ وَمَا أُرِيدُ أَن يُطْعِمُونِ ‎﴿٥٧﴾‏ إِنَّ اللَّهَ هُوَ الرَّزَّاقُ ذُو الْقُوَّةِ الْمَتِينُ ‎﴿٥٨﴾} صدق الله العظيم [سورة الذاريات].

Na Hakika Jina La Allah Al’a3dham ni Hilo; Nayo ndio Aya kubwa amempa mkono nayo Allah Khalifa Wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani, Basi Aya ipi kubwa kuliko hio wanaegojea? Subhana Allah Al’3adhim! Lakini hi aya wataiona pekeyao wale amehahidi Allah kutumilizwa kwao katika ilio wazi maana yake kitabu chake Al,Quraan Al3adhim wakati watakapo Kurtadi waumini katika dini yao, Na imefika ahdi ya Allah Kutumilizwa kwao kaumu Allah Anawapenda na wao wanampenda kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَن يَرْتَدَّ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَلَا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لَائِمٍ ۚ ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ ‎﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [سورة المائدة].

Fawallahi Ambae Hapana Mola ila Yeye Al7hi Al’Qayum hakika hio ni fadhla kubwa kabisa katika kitabu kamwe(Anawapenda Na Wanampenda)، ; Na kwasababu wao mapenzi yao ni zaidi sana kwa Allah na kwa vile wamejua hali ya Mola Mlezi wao kawajili ya hivo inakata nyoyo zao kuridhika mpaka Iridhike Nafsi Ya Mola Mlezi wao Mpendwa zaidi katika nafsi zao.

Na imeinuliwa ma kalamu na zimekauka makartasi.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Khalifa Wa Allah Al’Mahdi; Nasser Muhammad Al’Yamani. .
وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ لله رَبّ العالمين..
أخوكم خليفة الله المهديّ؛ ناصر محمد اليمانيّ.
_________


(Tafsiri taarifa kwa : الراضي برضوان الله)


======== اقتباس =========
اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.online/showthread.php?p=397130