Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
الإمام ناصر محمد اليماني
02 - 07 - 1434 هـ
11 - 05 - 2013 مـ
06:58 صــــباحاً
ـــــــــــــــــــــــــ
06:58 صــــباحاً
ـــــــــــــــــــــــــ
Jibu La Al'Imam Al'Mahdi Kwa Fadhilat Ashekh Mwihishimiwa Zum..
Bismillah Arrhman Arrahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Na Mitume Wote Na Watu Wao Walio Wazuri Kutoka Wa Mwanzo Wao Mpaka Khatimu Wao Muhammad Mtume Wa Allah Hatu tafautishi Baina Ya Yoyote Kati Mitume Wa Allah Hanifan Musliman Wala Mimi Sio Kati Ya Washirikina, Ama Baada Ya Hapo..
Eee Ewe Fadhilat Ashekh (Zum) Kutolea kwa walaji kulingana na kujua kwangu inatengezwa na maziwa mala basi wanaifanya ni ya kutolea 3asid ya ki yemeni basi hilo ndio jina la (Zum), Bali hakika mimi nakuona wadai ushujaa na wamsifu Nasser Muhammad Al'Yamani kua ni muoga kisha twasmamisha hoja ju yako kwa haki, Na je ushujaa ni yule anae kuja kwa meza ya mazungumzo kwa kujificha kwa jina la (Zum) Pamoja yakua wewe hudai umahdi? Na waogopa nini? Ama kua shuja kwa haki ni Nasser Muhammad Al'Yamani ambae amesubutu kusema haki kua yeye ni Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar kisha akaweka picha yake ya kweli na jina lake na jina la babake na babu yake kwa haki na nasaba na kbila yake? Na ewe mwanamume, Ala Wallah sikuogopi wala wale kama wewe mpaka simba aogope ma punda wanao kimbia; Bali Siogopi kwjili ya Allah lawama ya mwenye kulaumu.
Na ama kwa mazungumzo ya sauti, Basi hakika nime amirishwa kwenye ndoto ya kuona ya haki -Na Jambo Lake Lanihusu- Kua nifanye mazungumzo pamoja na nyinyi kwa kalamu ambao ni kimnya kwa kuandika na katika hayo kuna hikma kubwa, Na je wajua nini hio hikma yake? Na hivo ni kwa jili Allah Ajua kua hamutosobiri ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani mpaka atowe utawala wa ilimu yake aifafanuwe ufafanuzi, Bali mutanikatiza na mutanitia tashwishi kuwachunguzia ushuhuda ambao baini kutoka kwa ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Lakini kwa Mazungumzo ya kalamu ambao iko kimnya kwa kuandika basi hamutoweza kukata tamko la utawala wa ilimu na kufafanua bayana kwakua maneno kwa kuandika hamuna ila mupeleleze utawala wa ilimu Ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani kutoka mwanzo mpaka mwisho ya Bayana, Kisha mu bomoe hoja kwa hoja kwa utawala wa ilimu ndio mutakua mume pata kuokoa dini ikiwa nyinyi ni wakweli, Ama viumba va
Na hivo hivo nakubashiri kwa hoja ambao utadai ni yako nayo ni hoja ju yako nayo ni kua mimi sikuhifadhi Al'Quran ispo kua kidogo, Na wala sikua moja katika wanazuoni wa waislamu wala khatibu wa mimbari, Na kabisa sijajifunza ilimu ya dini nikawa mwanafunzi kwa moja wa ma shekhe wa ilimu na hakika wao kwa hayo ni mashahidi, Basi nani huyo ambae anasema kua yeye ndio alie nifundisha yale nayo wahoji watu nayo? Bali nilikua ni katika waislamu kwa jumla wa kawaida wala sio katika wanazuoni wao mpaka alipo nipa fatwa babu yangu Muhammad Mtume wa Allah kwenye ndoto ya haki kwamba mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar na hakuna atakae jadiliana na mimi katika wanazuoni katika Al'Quran ispo kua nitamshinda, Basi ni kiasi gani nime shangaa mwanzo wa jambo na itakua vipi hivo! Na nani ambae atanifundisha Al'Quran! Bali sikuhifadhi ndani yake ispo kua kidogo sana basi vipi nitajadiliana na watu nayo na mimi sijahifadhi Al'Quran wala sija jifundisha basi vipi nita wafundisha watu! Kisha nikasema hakika hi ni kitu cha ajabu! Zikapita siku na mm nafkiria vipi itakua hivo! Kisha Akanionesha Mola Mlezi wangu niwalinganie kwa mazungumzo kwa njia ya internet mtandao wa ulimwengu, Nikajiona nawajibu wao kwa kuandika kwenye mtandao wa ulimwengu nikafurahi sana kwa hayo nilipo jua kua mazungumzo itakua kwa njia ya mitandaoni, Basi nikasema Akinisadiki Allah kwa ndoto kwa haki kwenye waki ya uhakika nikapata kua hatonijadili mwanachuni kwa Al'Quran Ispo kua nitamshinda basi hapo ime tokezea ukweli na moyo wangu umetumaini, Na akinishinda moja katina wanazuoni wa umma hata kwa suali moja peke yake kutoka kwa Al'Quran Al3adhim basi hapo ju yangu nireje kuto dai umahdi, Na kama mfano wa msemo wa ki yemeni (Uso uso kuona hakulaumu)..

Paltalk, Fatallahi mutaimaliza sauti yangu ndio ipote bila faida basi hamutonipa nafasi kufafanua Bayana.

Na Alhamdulillah Mola Mlezi Wa Ulimwengu.. Na hio hapo umri wa ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani unefika katikati ya mwaka wa tisa na hakuweza mwanachuoni moja peke yake asmamishe ju yetu hoja kutoka kwa muhkam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Na hakunijadili mwanachuoni katika Al'Quran Al3adhim ispo kua nime mshinda kwa utawala wa ilimu baini.
Na ewe fadhilat ashekh zum isikuchukuwe utukufu kwa dhambi, Tallahi hakika Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani anatoa changamoto kwa Bayana Ya haki kwa akili ya fadhilt ashekh zum, Basi lau utahukumu je anatamka kwa haki Nasser Muhammad Al'Yamani ama kua mfano wake ni kama wale ambao wanadai umahdi kabla kisha utafautishe baina utawala wa ilimu ambao anayo Nasser Muhanmad Al'Yamani na utawala wa ilimu ya wale mamahdi wale ambao inawagusa pepo ya waswasi wa ma shetani, Basi kila wakati na mwengine anatokezea kwenu mwenye kudai kua yeye ni Al'Mahdi Al'Muntadhar, Na je wajua hikma ya kishetani kutokana na hayo? Nayo mpaka pindi Atakapo tumiliza Allah Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar wa kweli kutokna kwa Mola Mlezi wenu kisha watasema waislamu ispo kua yeye ni kama mfano wa wale wanadai umahdi kabla, Kisha munakanusha ulinganizi wake na mamhukumu ju yake kabla hamu japeleleza utawala wa ilimu yake mpaka Awadhibu Allah kwa adhabu ya siku ya kiza na moshi baini kabla siku ya kiyama. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{
Na walio kufuru hawatoacha kuwa katika wasiwasi kwa hilo mpaka Saa iwafikie ghafla, au iwafikie adhabu ya Siku Tasa}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj:55
].
{وَلا يَزَالُ الَّذِينَ كَفَرُوا فِي مِرْيَةٍ مِّنْهُ حَتَّى تَأْتِيَهُمُ السَّاعَةُ بَغْتَةً أَوْ يَأْتِيَهُمْ عَذَابُ يَوْمٍ عَقِيمٍ}صدق الله العظيم [الحج:55].
Na huwenda akataka fadhilat ashekh zum anikatize aseme: "Na nini hio adhabu ya siku kiza ambae itatokea kabla siku ya saa ya kiama?" Kisha anamjibu Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema: Hakika hio ni ishara inawajia kutoka mbinguni basi zitabaki shingo zao kutokana na mshutuko wake wana nyenyekea kwa Khalifa wa Mola Mlezi wao ambae anawalingania kwa ku mwamini Allah na kua wamwabudu Allah Peke Yake Hana mshirika Nae. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Tunge penda tungeli wateremshia kutoka mbinguni Ishara zikanyenyekea shingo zao(4)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Ashuaraa]. [SHOWPOST]
{إِن نَّشَأْ نُنَزِّلْ عَلَيْهِم مِّن السَّمَاء آيَةً فَظَلَّتْ أَعْنَاقُهُمْ لَهَا خَاضِعِينَ (4)}
صدق الله العظيم [الشعراء].
Na huwenda akataka fadhilat ashekh zum kusema: "Ewe Nasser Muhammad, Na nini hio ishara ambao itakuja kutoka mbinguni basi ifanye watu wamini haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ndio wa mtii Khalifa wa Allah katika ardhi Al'Imam Al'Mahdi Ambae anawalingania kumwabudu Allah Peke Yake Hana mshirika Nae?" Kisha anamjibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Na nasema: Hakika hio ni sharti hatimai katika ma sharti ya saa kuu; Hio kwenu ishara ya moshi baini kutoka kwa sayari ya adhabu ambao anae ingoja Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad basi ndio Ani dhihirishe kwa ishara hio katika usiku kwa watu wote na wao ilhali ni katika wanyonge kwakua wao watamini kwa ishara hio wakati watakapo iyona. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Lakini wao wanacheza katika shaka (9) Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri (10) Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu(11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12) Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha (13) Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu (14) Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile(15) Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa (16)}
Sadaqa Allah Al3adhim
[Ad dukhan]. 4)
Na huwenda kutaka fadhilat ashekh zum -Na laiti amelifanya jina lake zuri kuliko zum- Kusema: "Ewe Nasser Muhammad, Hivi hi mazungumzo si imelekezwa kutoka Kwa Allah katika hi aya kwa khatimu wa Ma Nabi na Mitume Muhammad Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri (10) Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu(11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12)} Sadaqa Allah Al3adhim?".
{فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاء بِدُخَانٍ مُّبِينٍ (10) يَغْشَى النّاس هَذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ (11) رَبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ (12)} صدق الله العظيم؟".
Kisha Amjibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad na nasema: Ewe Zum, Hivi Allah Yeye si Ni Mjuzi wa Ghaibu? Na ewe Zum si Allah Anajua kwamba kifo cha khatimu wa ma Nabi na Mitume Muhamnad Mtume wa Allah kitakua kabla ya tokeo la finiko la moshi dhahiri? Na hivo si inavo fahamisha akili na mantik? Basi njo tupitishe uchambuzi wa akili na mantiki kwenye ilio wazi maana yake kitabu cha Allah tuangalie hukmu katika hili suali je mazungumzo Ame lekeza kwa Mtume Wake ama kwa Al'Imam Al'Mahdi ambae Ame mtumiliza kusadikisha moja katika ma sharti ya saa kuu? Na wataka kukadhibisha kwa kutumilizwa kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar kusadikisha moja katika ma sharti ya aaa kuu, Na hivo hivo inatokea katika zama za kutumilizwa kwake tokeo la moshi ulio dhahiri ulio jaa na ufiniko wa mawe kwa adhabu chungu kutoka kwa sayari ya adhabu, Na kutokea finiko la moshi dhahiri hivo hivo ni sharti katika ma sharti ya saa kuu, Ama wewe ewe zum huamini kwa ma sharti ya saa kuu na miongoni mwake kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar na moshi dhahiri? Ama kwamba ma sharti ya saa kuu imefanyika katika zama za kutumilizwa khatimu wa ma Nabi na Mitume Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam? Basi je limetokea tokeo la moshi dhahiri katika zama za Nabi? Kisha twacha hukumu kwa Allah wala hashiriki kwa hukumu Yake yoyote, Basi je adhabu ya ufiniko wa moshi dhahiri Anajua kwamba kadara ya tokeo lake ni katika zama za kutumilizwa Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Salam mpaka amwambie yeye basi ingoje? Kisha twacha jibu kutoka kwa Mola Mlezi moja kwa moja tunaichunguza kwenu kutoka kwa ilio wazi maana yake Kitabu. Amesema Allah Ta3ala:
{ Na Mwenyezi Mungu hakuwa wa kuwaadhibu nawe umo pamoja nao, wala Mwenyezi Mungu si wa kuwaadhibu na hali ya kuwa wanaomba msamaha (33)}Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal].
{وَمَا كَانَ اللّهُ لِيُعَذِّبَهُمْ وَأَنتَ فِيهِمْ وَمَا كَانَ اللّهُ مُعَذِّبَهُمْ وَهُمْ يَسْتَغْفِرُونَ} صدق الله العظيم [الأنفال:33].
Na hapa itabainika kwa wenye akili kusudio la mazungumzo kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri (10) Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu(11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12)} Sadaqa Allah Al3adhim.
{فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاء بِدُخَانٍ مُّبِينٍ (10) يَغْشَى النّاس هَذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ (11) رَبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ (12)} صدق الله العظيم.
Na huwenda kutaka fadhilat ashekh zum -Na laiti amelifanya zuri jina lake- Kusema: "Ewe Nasser Muhammad, Kwanini Hakusema Allah Ta3ala
Utakao wafunika wale walio kufuru hi ni adhabu chungu: Bali Amesema Allah Ta3ala:
{ Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu(11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12)} Sadaqa Allah Al3adhim?".
{يَغْشَى النّاس هَذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ (11) رَبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ (12)} صدق الله العظيم؟".
Kisha Ana Mjibu Ju Yake Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema: Hivo ni kwajili adhabu itafunika miji ya waislamu na ma kafiri kwakua wao wote wana kataa ulinganizi wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim na kuifwata ispokua alio rehemewa na Mola Mlezi wangu kwajili ya hivo itawafunika finiko la Moshi dhaahir kutoka kwa sayari ya adhabu miji yote ya wanadamu mwislamu wao na kafiri katika zama za kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar kwakua tokeo la ufiniko wa moshi dhaahir kutoka kwa sayari ya adhabu ni moja katika ma sharti ya saa kuu inatokea kabla siku ya kiyama ndio inafunika miji ya binadamu mwislamu wao na kafiri wanao kanusha ukumbusho. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku ya Kiyama, au tutaupa adhabu kali. Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa:58].
{وَإِن مَّن قَرْيَةٍ إِلاَّ نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا كَانَ ذَلِك فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:58].
Na huwenda kutaka fadhilat ashekh zum kusema: "Ewe Nasser Muhammad Hivi hutubainishi kwetu Bayana ya haki kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu}
Sadaqa Allah Al3adhim"
{كَانَ ذَلِك فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا}
صدق الله العظيم".
Kisha Anamjibu ju yake Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema: Yani hayo yamekwisha andikwa katika kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim yani ime fafanuliwa katika ilio wazi maana yake kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri (10) Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu(11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12) Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha (13) Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu (14) Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile(15) Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa (16)}Sadaqa Allah Al3adhim [Ad dukhan].
{فارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاء بِدُخَانٍ مُّبِينٍ (10) يَغْشَى النّاس هَذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ (11) رَبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ (12) أَنَّى لَهُمُ الذِّكْرَى وَقَدْ جَاءهُمْ رَسُولٌ مُّبِينٌ (13) ثُمَّ تَوَلَّوْا عَنْهُ وَقَالُوا مُعَلَّمٌ مَّجْنُونٌ (14) إِنَّا كَاشِفُو الْعَذَابِ قَلِيلاً إِنَّكُمْ عَائِدُونَ (15) يَوْمَ نَبْطِشُ الْبَطْشَةَ الْكُبْرَى إِنَّا مُنتَقِمُونَ (16)} صدق الله العظيم [الدخان].
Na labda huwenda Zum kutaka kusema: Na nini Anakusudia Allah kwa Kauli Yake Ta3ala:
{Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha (13) Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu (14)}
Sadaqa Allah Al3adhim?".
{أَنَّى لَهُمُ الذِّكْرَى وَقَدْ جَاءهُمْ رَسُولٌ مُّبِينٌ (13) ثُمَّ تَوَلَّوْا عَنْهُ وَقَالُوا مُعَلَّمٌ مَّجْنُونٌ (14)} صدق الله العظيم؟".
Kisha Anarudisha jibu ju yake Al'Imam Al'Mahdi na nasema: Anakusudia kua kabal ame wajia Mtume dhaahir kwa hi Al'Quran Al3adhim nae ni Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleuhi wa Alihi wa Salam wakasema amefunzwa nae ni mwandazimu, Yani kuna kundi wame mtuhumu kua anamfundisha moja katika ma ajami, Akasema Allah Ta3ala:
{ Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha. Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana}
Sadaqa Allah Al3adhim [An nahl:103].
{وَلَقَدْ نَعْلَمُ أَنَّهُمْ يَقُولُونَ إِنَّمَا يُعَلِّمُهُ بَشَرٌ لِسَانُ الَّذِي يُلْحِدُونَ إِلَيْهِ أَعْجَمِيٌّ وَهَذَا لِسَانٌ عَرَبِيٌّ مُبِينٌ} صدق الله العظيم [النحل:103].

Na ama wengine basi wame mhukumu ju yake kua yeye ni mwendazimu, Akmtumiliza Allah mja wake (ن)(Nun) Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Mahdi Al'Muntadhar ili awa thibitishie wanadamu wote kwamba Muhammad -Mtumw wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam- hakuwa mwendazimu bali ana tamka kwa haki kutoka kwa Mola Mlezi wake kwa hi Al'Quran Al3adhim ujumbe wa Allah kwa watu wote na wao kwa ukumbusho wa Mola Mlezi wao wanakanusha ispo kua alio rehemewa na Mola Mlezi wangu.
Na labda akataka zum kusema: "Ewe Nasser Muhammad, Vipi wasema kua Allah Ata adhibu miji ya waislamu pamoj ya kua wao wamini hi Al'Quran Al3adhim kama Atakavo wadhibu ma kafiri kwa Al'Quran Al3adhim? Na je wanakua sawa mfano wao!". Kisha anarudisha jibu ju yake Al'Imam Al'Mahdi na nasema: Ewe zum, ikiwa hujuwi basi hio ni msiba, Na ikiwa wajua haki na wa amini nayo kisha huifwati basi msiba ni mkubwa zaidi, Na hakika mimi naona waislamu wanao kataa kwa ulinganizi wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim wao ndio awula kwa adhabu ya Allah kwakua makafiri kwa Al'Quran hawajuwi kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ili wafwate, Ama nyinyi ewe Zum basi hakika amepata Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani kwa ghadhabu zenu na hasira zenu kwake na ma ansar wake kwa sababu kua mimi nawalingania kwa kumwabudu Allah Peke Yake Hana mshirika Nae na kushindana kwa kumpenda Allah na kua karibu Nae ndio muwe miongoni mwa waja wanao shindana kwa kumpenda Allah na kua karibu Nae mbinguni na ardhini kama Alivo Wafundisha Allah kwa misingi ya njia zao katika kum Abudu Mola Mlezi wao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - yupi miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:57].
{يَبْتَغُونَ إِلَى ربّهم الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ ربّك كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:57].

Lakini ita mghadhibisha Zum hayo basi Aseme: "Ndio tuna haki sisi kushindana sisi waumini wanao fwata ma Nabi kwa kumpenda Allah na kua karibu Nae, Lakini sio haki kwetu tuwe na tama kushindana na ma Nabi kwa kumpenda Allah na kua karibu Nae". Kisha anarudisha jibu ju yake Al'Imam Al'Mahdi na nasema: Hio ndio shirki kwa Allah ewe Zum, Na labda anataka Zum kusema: "Ewe Nasser Muhammad, Usituzulie ju yetu yale hatujasema". Kisha anarudisha jibu ju yake Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani na nasema: Ikiwa umesema bali ni haki ju ya Zum kushindana na Muhammad -Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam- Katika kumpenda Allah na kua karibu Nae, Na ni haki kwa Zum awe na tama kua yeye awe ndio mpendwa kwa Allah kuliko Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Basi ukisema hivo amekua Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani amekukosea kwa haki yako na imewajibika kwake kuomba msamaha kwako, Lakini mimi najua sija mdhulumu kitu fadhilat shekh Zum kwakua wewe ni katika wale wanao adhimisha zaidi ma Nabi wa Allah na Mitume Wake, Na nitakusmamishia hoja ju yako kwa idhini ya Allah katika kila point niku nyamazishe kwa haki mpaka ufwate haki kutoka kwa Mola Mlezi wako ama ikuchukuwe utukufu kwa dhambi baada ilipo kubainika kwako kua wewe uko kwa upotevu na kua Nasser Muhammad Al'Yamani analingania kwa haki kwa ilimu na utawala dhaahir kutoka kwa Muhkam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim.
Na twakupokea mgeni kwetu kwenye meza ya mazungumzo ya ulimwengu, Na yaleti una ushuja kweli kama unavo dai kua wewe ni shuja kisha uthibitishe hayo kuweka jina lako la kweli na picha yako kama vile alivo fanya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani pamoja yakwamba mimi nasema kua mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Wala siogopi kwa Allah lawama ya mwenye kulaumu, Ama wewe basi waogopa kitu gani hata usiweke picha yako na jina lako la kweli? Na haitakiwi kwako ikiwa ni mwanachuoni wa kweli kua uweke pich sio yako ama jina la urongo basi hakika tumichoka na ma jina ya kuazima kila mara katika mazungumzo twazungumza na watu hawajulikani, Na wala sio muhimu kwangu iwe hawajulikani ama wajulikana basi kitu muhimu kusmamisha hoja kwa utawala wa ilimu, Ikiwa hawa kuongoka Amefanya Allah mazungumzo ni sababu ya kuongoka watu wengine, Lakini haipendezi kwa mwanachuoni mwenye hishima kua atazungumza kwa jina la kuazima ilhali yeye ni mash'huri ama ni katika ma khatibu wa ma mimbari.
Na ewe Zum, Hakika mimi nakuona (Umeinua pua yako ju) Na mropokaji kwa mazungumzo bila ya haki na wamtuhumu Nasser Muhammad kua mfano wake ni kama mfano wa Ahmad Alhasan Al'Yamani! Na haiyhat haiyhat kiwango ya utafauti ni kubwa baina ya wali wa Arrahman Al'Iamam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na wali wa shetani Ahmad Alhasan Al'Yamani, Na hakika tumemfanyia yeye sehemu hususi katika uso wa tuvoti yetu ili azungumze na sisi asmamishe Nasser Muhammad Al'Yamani Hoja ju yake kwa haki ama asmamishe yeye ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani katika tuvoti yangu ikiwa ni katika wa kweli, Na hivo hivo tulimwambia: Na ukitaka ewe Ahmad Alhasan Alyamani iwe mazungumzo katika tuvoti yako basi sisi ni watu wa hayo kwako uchaguwe.. Lakini kwa maskitiko haku subutu ju ya hayo pamoja ya kwamba mimi sisubutu tena kuzungumza katika tuvoti za watu kwa ukosefu wa uwaminifu kwa kuilinda haki kwakua ma shia wamenipa funzo sitolisahau, Pindi nimejisajili katika moja za tuvoti zao kwajili ya mazungumzo kisha wakatumia wasmamizi wa chama cha tuvoti ya masomo ya hususi kwa uwanachama wa Al'Iamam waka andika yale siku yasema, Akanizulia ju yangu moja katika wana chama wasmamizi uzushi na ifki kubwa (Amsamehe Allah), Lakini baada ya hapo nika azimia kua hakuna mazungumzo ispokua kwenye meza ya mazungumzo ya ulimwengu ambao ni huru tuvoti ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Muntadayat Albushra Alislamia na sisi ni watu wa kulinda amana na ku hifadhi haki, Na ikithubutu kubadilisha Bayana ya yoyote basi hio itakua ni hoja ju yetu.
Na nawahadharisha wasmamizi wa tuvoti ya muntadayat albushra alislamia kubadilisha bayana ya mtu yoyote kitu, Hata kama bayana ameiandika iblis shetani rajimu yeye mwenyewe hatunge badilisha kwa bayana yake kitu, Lakini sisi twapa ruhusa kufuta bayana ikiwa bayana imeja matukano na matusi badala ya utawala wa ilimu basi hilo halikubaliwi katika meza ya mazungumzo ya ulimwengu, Pamoja ya kua mimi sija shuku kabisa kwa wasmamizi wa meza ya mazungumzo na hasha kwa Allah sijuwi kua imefanyika hivo kitu, Ispokua nilitaka kukumbusha na kuangazia kuchelea aghadhibike moja katika wasmamizi kwa maneno katika moja za ma bayana za wana chama wa mazungumzo kisha aifute matusi na matukano katika bayana na awache ndani yake utawala wa ilimu, Kisha nasema kwao hapana kisha hapana basi haturuhusu kubadilisha hata neno moja katika bayana ya yoyote katika wana chama! Aidha muikubali mchango wakushiriki ikiwa haina matusi na matukano ama mufute ikiwa mwenye mchango wa kushiriki ana upungufu wa adabu na hawakumlea wazazi wake ulezi mzuri basi atukose sisi kwa kutukana na matusi kwenye tuvoti yetu bila ya haki, Wala si kusudi fadhilat ashekh Zum paomja ya kua amejizuwia ulimi wake karibu na kutukana na kumtusi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Basi kiasi gani humjuwi Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani ewe Zum! Na Kiasi gani ukubwa wa majuto yako ikiwa umiendelea na chuki za bughdha kiasi hicho bila ya haki ju ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
Na ewe mwanamume, Basi nini hio uhalifu wangu kwa mtazamo wako, je ni kwa sababu mimi nawalingania ku mwabudu Allah Peke Yake Hana mshirika Nae? Ama sababu mimi nawalingania kufwata kitabu cha Allah na sunna za Mtume Wake za kweli? Ama sababu mimi nafanya bidi kufanya umoja wa safu ya waislamu na kuondosha uwingi wa madhehebu katika dini ya Allah? Basi nini hio hoja yenu ju ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani katika ulinganizi wake mpaka muwe mume mchukia yeye? Basi leteni ushuhuda wenu ikiwa nyinyi ni wakweli? Na niruhusu ewe fadhilat ashekh Zum nitangaze na kuanzia saas kuwazidi kwa utawala wa ilimu dhaahir kutoka muhkam ilio wazi maana yake Al'Quean Al3adhim ju yako na ju ya wanazuoni wote wa madhehebu na makundi ya kislamu wale ambao wali tenganisha dini yao kua ma jama na ma hizbu na kila hizbu kwa walio nayo wafurahia, Na natangaza kuwazidi kwa utawala wa ilimu kutoka kwa muhkam ilio wazi Al'Quran Al3adhim ju ya wanazuoni wa kristo na ma yahudi na majusi, Na ikiwa watamzidi ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani moja katika wanazuoni wa umma kutoka kwa Al'Quran Al3adhim basi mimi sio Al'Imam Al'Mahdi, Basi kuweni kwa hayo ni mashahidi enyi ma3ashara ya ma ansar walio tangulia walio bora na wala musi watii wale wanao wakataza kurudisha jibu ju yao kwa ma Bayana za Al'Imam Al'Mahdi, Na eee maajabu kwani sio alio andika Bayana kujibu moja katika waulizaji ni Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani! Ispo kua ma ansar wanarudisha jibu ju ya mulizaji kwa nukulu kutoka kwa Bayana ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani wala sio kutoka kwao kitu basi aibu yake nini kwa hayo? Ama anataka kila mtu kua ije Bayana hususi yake upya? Na hata kama suali lishaulizwa kabla yake kwa moja katika waulizaji tukamjibu kwa haki kwa Bayana imefafanuliwa ufafanuzi mkubwa na je imewajibika ju yetu tuandike tena jibu upya ju ya suali hilo hilo ambalo lisha jibiwa kabla? Basi una jambo gani ewe shekh Zum wawa laumu ma ansar wakati wamejikalifu nafsi zao wakakuhudumia kwa kutafuta jibu la suali lako katikati ya ma alfu ya ma Bayana ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani mpaka walipo kukuletea jibu baada ya kutafuta na kupata tabu je jaza yao niku kemea kwa yale walio kukuletea? Na ewe meanamume, Hivi si ile Bayana ambao imenukuliwa nayo jibu ni katika ma Bayana ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani? Basi kwanini mwataka nijibu ju ha sulai hilio hilo upya pamoja ya kua nimelijibu ju yake kutoka Bayana nyengi? Na hamuna haki ju yangu kwa kuandinka jibu ila ikiwa suali hatujalijibu kabla basi hapo imewajibika ju ya ma ansar wali inuwe suali lipya kwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Basi nikitaka nitalijibu na nikitaka nitali chelewesha mpaka badae kwakua kubainisha baadhi ya ma aya huwenda ikawachukiza baadhi ya ma ansar basi je watafiti wapya watakuaje. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3a:
{Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole (101) Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa (102)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَسْأَلُواْ عَنْ أَشْيَاء إِن تُبْدَ لَكُمْ تَسُؤْكُمْوَإِن تَسْأَلُواْ عَنْهَا حِينَ يُنَزَّلُ الْقُرْآنُ تُبْدَ لَكُمْ عَفَا اللَّهُ عَنْهَا وَاللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ (101) قَدْ سَأَلَهَا قَوْمٌ مِّن قَبْلِكُمْ ثُمَّ أَصْبَحُواْ بِهَا كَافِرِينَ (102)} صدق الله العظيم [المائدة].
Basi chungeni yale nayo yasema enyi ma3ashara ya wanao mlaumu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad kua yeye yuwapuza kurudisha baadhi ya majibu kwa baadhi ya ma suali, Ala Wallah haikua kuwacha baadhi ya ma suali kurudisha jibu sio kua nashindwa basi musiwe katika ma jahili, Lakini mimi naona kuaajilisha jibu mpaka baadae ni kheri kwa waislamu basi huwenda ikawachukiza jibu nalo ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao, Lakini pindi waki sisitiza wanazuoni wa waislamu ju ya jibu kutoka kwa mwenye ilimu ya kitabu basi tutajibu ju ya ma suali yote, Na atakae Amini na atakae akufuru.
Na kwa mfano ya Bayana ilio fafanuliwa ufafanuzi kwenye kauli ya Allah Ta3ala:

{Wala msiwalazimishe wasichana wenu kufanya zina kwa ajili ya kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka kujihishimu. Na atakaye walazimisha basi Mwenyezi Mungu baada ya kulazimishwa kwao huko, atawasamehe, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu} Sadaqa Allah Al3adhim [Anur:33].
{وَلا تُكْرِهُوا فَتَيَاتِكُمْ عَلَى الْبِغَاءِ إِنْ أَرَدْنَ تَحَصُّناً لِتَبْتَغُوا عَرَضَ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَمَنْ يُكْرِهُّنَّ فَإِنَّ اللَّهَ مِنْ بَعْدِ إِكْرَاهِهِنَّ غَفُورٌ رَحِيمٌ} صدق الله العظيم [النور:33].

Na twasema kitu kwa Bayana Yake kwa Haki: Hakika sisemi ju ya Allah ispo kua haki, Basi lau angekua tajiri ameposa msichana wa moja wenu na yeye msichana yuwampenda mtu fakiri kwa sharti kua yeye amekuja kuposa anae mpenda na hakutaka babake msichana kumozesha sio kitu ila kwa sababu yeye ni maskini hana mali nyingi pamoja ya kua anaridhika na tabia yake na dini yake ispo kua amekata kumozesha kwa sababu yeye fakiri, Pamoja yakua msichana anampenda na yule fakiri anampenda msichana lakini babake msichana anatka kumozesha tajiri mwenye mali kwakua yeye ataka sehemu katika maisha ya dunia nayo ni mali nyingi mahari yake msichana kwa tajiri, Mpaka pindi alipo amua babake msichana kumozesha yule mwanamume tajiri kisha yule msichana akakimbia na yule anae mpenda ili babake asimozeshe tajiri kwa lazima kwakua hio ni sahali kwa Allah kuliko ajiuwe nafsi yake, Kisha akafanya nae mpendwa wake fakiri ambae amekimbia nae basi nini hukmu ya Allah katika suali hili?
Kisha twahukumu katika hi kadhia kwa yale Alio Teremsha Allah bila ya dhulma na twasema kwa babake msichana: Ju yako umozeshe mtoto wako wa kike kwa yule anae mpenda na wala hatutosmamisha haddi ya Allah kwenye hukumu ya zinaa ju yao kwakua babake msichana yeye ndio alio mlazimisha kufanya hayo.Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{Na atakaye walazimisha basi Mwenyezi Mungu baada ya kulazimishwa kwao huko, atawasamehe, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu} Sadaqa Allah Al3adhim.

{وَمَنْ يُكْرِهُّنَّ فَإِنَّ اللَّهَ مِنْ بَعْدِ إِكْرَاهِهِنَّ غَفُورٌ رَحِيمٌ} صدق الله العظيم .
Na suali ambalo lajiweka lenyewe basi nini Anakusudia Allah Ta3ala Kwa Kauli Yake:
{Na atakaye walazimisha basi Mwenyezi Mungu baada ya kulazimishwa kwao huko, atawasamehe, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu} Sadaqa Allah Al3adhim?
{وَمَنْ يُكْرِهُّنَّ فَإِنَّ اللَّهَ مِنْ بَعْدِ إِكْرَاهِهِنَّ غَفُورٌ رَحِيمٌ} صدق الله العظيم؟
Na tawasema: Na atakae kuwalazimisha wafanye zina na anae mpenda basi hakika Allah baada ya kulazimishwa kwao Mwenye Kusamehe Mwenye Kurehemu, Yani Allah Ameinua Haddi ju yao na Akamuru kuwaozesha kwa sharti ya toba kwa tendo lao na hawaku sisitiza kwa yale walio yafanya na wao wanajua, Lakini katika hali hi inainuliwa haddi ju yao wakati wakikamatwa mara ya kwanza kwa sharti ikiwe kisa ni kama vile tulivo kieleza.
Basi ni kiasi gani tume wakasirisha wanazuoni wa umma katika mengi ya ma saala huwenda wakaja kutetea kwa kuchafuliwa dini yao ikiwa ni wakweli kua haki iko pamoja na wao mara hawo wao waja kama mfano wa ndugu Zum kama kwamba yeye hajuwi hukmu ambazo tumezibainisha kwa haki nazo za khalifu yale walio nayo ma sunni na ma shia na wote katika madhehebu ya kisilamu isipo kua kidogo, Na ime anza dini ni geni kwa watu na hio hapo yarudi kua geni ju ya watu kama ilivo anza, Wala sio kua tumewaletea wao dini mpya bali kwakua wao tayari wametoka katika njia ilio nyoka kutoka ma mia ya miyaka na ilhali wao hawajuwi.
Na enye kaumu, Mwitikieni mlinganizi wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah ili nihukumu baina yenu kwa yale mulikua ndani yake muna khitilifiana katika muhkam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim ikiwa nyinyi waumini, Basi itikieni ulinganizi wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah ikiwa nyinyi ni wa kweli. Na Salam ju ya Mitume na Alhamdulillah Rabilalamin.
Na labda moja katika wenye ishki watumwa wa matananio kutaka kusema: "Ewe Imam Nasser Muhammad Al'Yamani, Hakika mimi nampenda msichana wa fulani na nikamposa kwa babake akakata basi je inanipasa kua nifanye nae fahisha ya zina kwa sababu ya mapenzi ju yake?". Kisha anarudisha Jibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ju yake na nasema: Bali hukmu ya Allah ju yako ni mijeledi mia moja na mbele ya kundi la waumini ikiwa itathubutu ju yako kufanya hivo na utaingia motoni unao vuma na wala hutopata kwako pasi na Allah rafiki wala mwenye kukunusuru ikiwa hukutubu kwa Mola Mlezi wako kutubia.
Basi miongoni mwenu mwenye kubadilisha maneno na hukmu pahala pake, Na wala haja halalisha kwenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kua mufanye fahisha ya zinaa ju ya wasichana wa watu kwa hoja ya mapenzi basi musi tuzushie ju yetu yale hatu jayasema, Bali hukmu ya Allah iko wazi haina vumbi ju yake kua Yeye Ameondosha haddi ju yao katika hali kua babake msichana amekata kumozesha anae mpenda kwakua yeye baba anataka kumozesha tajiri kutaka sehemu katika pato la maisha ya dunia, Mpaka pindi amiona msichana kua babake ame amua kumozesha kwa lazima kwa tajiri na akakata kumozesha kwa yule anae mpenda kwasababu yeye ni fakiri basi hapa babake amefanya kwenye khiyari mbili zote ni uchungu aidha ajiuwe nafsi yake ama akimbie na anae mpenda! Kisha aka amua akimbie na yule fakiri ambae amempenda na anamtaka awe mume wake kwa halali kisha akakimbia na fakiri huwenda wakawa wako pekeyao masiku na ma usiku na huwenda akafanya nae, Na Mtu ameumbwa dhaifu. Basi kwenye hali kama hi peke inainuliwa haaddi ya zina ju yao, Na Ana wasamehe Allah ju yao kwa wlivo fanya, Na yatakiwa ju ya babake msichana amozeshe yule anae mpenda na inainuliwa ju yao haddi ya zinaa, Na hivo ni jaza kutoka kwa Allah kwa babake msichana ambae ame mlazimisha kufanya zina pamoja ya kua alitaka kutoka kwa babake amozeshe yule anae mpenda kwa halali, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Wala msiwalazimishe wasichana wenu kufanya zina kwa ajili ya kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka kujihishimu}
{وَلا تُكْرِهُوا فَتَيَاتِكُمْ عَلَى الْبِغَاءِ إِنْ أَرَدْنَ تَحَصُّناً لِتَبْتَغُوا عَرَضَ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا} [SOUND]
Wala sio mujarad ni mapenzi katika moyo kwa lengo la matamanio; Bali ikiwa wataka kujihishimu, Yani ikiwa ametaka kuolewa na yule anae mpenda basi haipaswi kwa babake msichana kua akatae hayo, Na hi ni maisha yake msichna na anayo haki kuchagua mshirika wake katika maisha ya ndoa ili kutengeza familia ya kislamu, Na akaja mpendwa wake kuja kumposa akakata babake msichana kwakua yeye baba anataka kumozesha mwanamume mwengine tajiri wa mali, Mpaka pindi alipo kuja tajiri kumposa mara babake amekubali moja kwa moja bila kumuliza msichana wake kuchukua maoni yake, Basi ikiwa baba ameamua kumozesha msichana wake kwa yule tajiri kisha akakimbia na anae mpenda basi kwenye hali hi inainuliwa ju yake na anae mpenda haddi ya zina na inatimu kuwaozesha moja kwa moja kwa sharia ya akdi ya ndoa kutoka kwa babake wali wa amri yake. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{Wala msiwalazimishe wasichana wenu kufanya zina kwa ajili ya kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka kujihishimu. Na atakaye walazimisha basi Mwenyezi Mungu baada ya kulazimishwa kwao huko, atawasamehe, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu}
Sadaqa Allah Al3adhim.
{وَلا تُكْرِهُوا فَتَيَاتِكُمْ عَلَى الْبِغَاءِ إِنْ أَرَدْنَ تَحَصُّناً لِتَبْتَغُوا عَرَضَ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَمَنْ يُكْرِهُّنَّ فَإِنَّ اللَّهَ مِنْ بَعْدِ إِكْرَاهِهِنَّ غَفُورٌ رَحِيمٌ}
صدق الله العظيم.

Na enyi ma3ashara ya wanazuoni na umma wao, Hakika Ame Haramisha Allah dhulma ju ya Nafsi Yake na Akaifanya baina yenu ime haramishwa basi haijuzu kwenu muwadhulumu wasichana wenu muwaozeshe kwa lazima kwa mwanamume wakati yeye msichana anampenda mwanamume mwengine sio yule na anataka kujihishimu nae kwa halali, Na akakata babake ispo kua kumozesha kwa yule amtakae yeye baba wala sio amatakae yeye msichana, Ala Laana ya Allah ju ya madhalimu. Basi hi ni roho wala sio gari utauza kwa unae mtaka kwa malipo ya sehemu ya maisha ya dunia, Hivi hamuwi wacha Mungu? Basi nani huyo ambae atanijadili katika hukumu hi ispokua nitamnyamazisha ulimi wake kwa haki? Na ile nataka kusema kua ime haramishwa ju ya waumini kua waozeshe wasichana wao kwa lazima kwa yule ambae hamtaki kwakua itamlazimisha kitendo cha babake kufanya zina, Kwajili ya hivo Ameharamisha Allah ju ya ma baba kuwaozesha wasichana wao kwa lazima kutaka sehemu ya maisha ya dunia basi hawajali maoni ya msichana basi sawa kwao ametaka ama amekata, Basi nani atawaokoa kutokana na adhabu ya Allah ikiwa nyinyi ni wakweli? Basi Haja halalisha Allah kwenu kudhulumu waschana wenu, Hivi hamumchi Allah? Fa Wallah basi Yeye ni awula kwa mja Wake kuliko babake na mamake wala Hakubali ju ya waja wake dhulma basi Ameharamisha dhulma ju ya Nafsi Yake na Akaifanya baina ya waja wake haramu, Basi mcheni Allah na munitii mimi huwenda mukaongoka.
Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــ
اقتباس: اضغط للقراءة
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــ
اقتباس: اضغط للقراءة