Al'imam Nasser Muhamad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
16 - 09 - 1433 هـ
04 - 08 - 2012 مـ
08:55 صباحاً
https://mahdialumma.online/showthre...D8%A7%D8%A8-..
ـــــــــــــــــــ
Fatwa ya Waulizaji kuhusu Muda Ya Kuka Ya Watu Wa Pango(As’hab Alkhaf) Kuka Kwao Kwa Mara Ya kwanza Na Mara ya pili kulingana na hisabu ya Syari Tatu Katika kitabu, Ukumbusho Kwa Wenye Akili.
الإمام ناصر محمد اليماني
16 - 09 - 1433 هـ
04 - 08 - 2012 مـ
08:55 صباحاً
https://mahdialumma.online/showthre...D8%A7%D8%A8-..
ـــــــــــــــــــ
Fatwa ya Waulizaji kuhusu Muda Ya Kuka Ya Watu Wa Pango(As’hab Alkhaf) Kuka Kwao Kwa Mara Ya kwanza Na Mara ya pili kulingana na hisabu ya Syari Tatu Katika kitabu, Ukumbusho Kwa Wenye Akili.
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahli Yao Walio Wazuri Walio Tahirika Na Walio Fwata Haki Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..
Na Enyi Ma3ashara Ya Waulizaji kuhusu muda ya kuka (As’hab Alkahf) watu wa pango mara ya kwanza na mara ya pili, Ukweli Sisemi juu Allah ila Haki, Na Hio Kwenu Suali Na Jibu Kutoka Kwa Ukumbusho Muhakam Ilio Wazi mana yake katika Kitabu Ukubusho kwa wenye akili,
Suali 1- Kwavile Watu Wa Pango Bado wanazali kwa pango lao katika zama za kutumilizwa Aliokhitimu Ma Nabi Na Mitume Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi AleyhI Wa Alihi Wa Salam kwa Dalil Ya Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَتَحْسَبُهُمْ أَيْقَاظًا وَهُمْ رُقُودٌ ۚ وَنُقَلِّبُهُمْ ذَاتَ الْيَمِينِ وَذَاتَ الشِّمَالِ وَكَلْبُهُمْ بَاسِطٌ ذِرَاعَيْهِ بِالْوَصِيدِ لَوِ اطَّلَعْتَ عَلَيْهِمْ لَوَلَّيْتَ مِنْهُمْ فِرَارًا وَلَمُلِئْتَ مِنْهُمْ رُعْبًا} صدق الله العظيم [الكهف:18].
Allah Ta3ala Asema{ Na utafkiria wako macho na hali wao wamelala na tunawapinduwa upande wa kulia na upande wa kushoto na jibwa wao amenyosha mikono yake kati lau utawachungulia ungetoroka kutokana na wao na ungejawa na hofu kwa kuwaona} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf:18].
Na Suali Ambalo Lajiweka lenyewe: Jee Watu Wa Pango baada ilipo pita muda wa kuka kwao mara ya kwanza wametoka kwa pango lao alafu wakarudi? Na Nini dalili yako kutoka kwa muhakam ilio wazi mana yake katika kitabu kwa kutoka kwao baada ilipo malizika muda wa kuka kwa mara ya kwanza na kurudi kwao kwa pango lao kumaliza muda wa pili?
Jawabu 1- Lakini Ushuhuda ulio wazi katika muhakam mana yake ilio wazi Al’Quran Kwa Kutoka Kwao kwa pango lao baada kumalizia muda wa kulala kwao mara ya kwanza basi mutaipata kwenye kauli yake Allah Ta3ala:
{وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ} صدق الله العظيم [الكهف:25].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Walibaki Kwa Pango Lao Miyaka Miya Tautu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkhaf:25].
Na Tunachunguza Kutokana Na Hi Aya Kwamba Wao Wote Wametoka Kwa Pango Lao baada kumalizika muda wa kuka kwao mara ya kwanza, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:{وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ}
{{ Na Walibaki Kwa Pango Lao Miyaka Miya Tatu} Yani Kwa mana Wametoka Kutoka humo baada kupita miyaka mia tatu Za kimwezi,
Suali 2- Na Jee baada alipo wafufua Allah Baada Kumalizika muda wao wakwanza, lakini jee wameulizwa na yoyote katika ulimwengu ili wawambie kwa kisa chao? Na Jibu Mutalipata katika Muhakam ilio wazi kitabu hakika ya hikma kuwafufuwa ni ili wajiulize baina yao, Na Wala Hawakulizwa Na Yoyote Katika ulimwengu ili asikashifu Allah Siri Yao mpaka Kadara Yake ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa, Na Kwjili ya hivo Alisema Allah Ta3ala:{
{كَذَلِكَ بَعَثْنَاهُمْ لِيَتَسَاءَلُوا بَيْنَهُمْ} صدق الله العظيم [الكهف:19].
Allah Ta3ala Asema:{Na Hivo Tumewafufua Ili Wajiulize baina yao} Sadaqa Allah Al3adhim[ Alkahf:19],
Na imebainika kwenu kwamba Allah Amewafufua Ili Wazungumze wao kwa wao, Na Wala Hawakuzungumza baada Kufufuliwa mara ya kwanza Na Yoyote, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{كَذَلِكَ بَعَثْنَاهُمْ لِيَتَسَاءَلُوا بَيْنَهُمْ قَالَ قَائِلٌ مِّنْهُمْ كَمْ لَبِثْتُمْ قَالُوا لَبِثْنَا يَوْمًا أَوْ بَعْضَ يَوْمٍ قَالُوا رَبُّكُمْ أَعْلَمُ بِمَا لَبِثْتُمْ فَابْعَثُوا أَحَدَكُم بِوَرِقِكُمْ هَذِهِ إِلَى الْمَدِينَةِ فَلْيَنظُرْ أَيُّهَا أَزْكَى طَعَامًا فَلْيَأْتِكُم بِرِزْقٍ مِّنْهُ وَلْيَتَلَطَّفْ وَلا يُشْعِرَنَّ بِكُمْ أَحَدًا إِنَّهُمْ إِن يَظْهَرُوا عَلَيْكُمْ يَرْجُمُوكُمْ أَوْ يُعِيدُوكُمْ فِي مِلَّتِهِمْ وَلَن تُفْلِحُوا إِذًا أَبَدًا} صدق الله العظيم [الكهف:19].
Allah Ta3ala Asema:{Na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao. Alisema msemaji katika wao: Mmekaa muda gani? Wakasema: Tumekaa siku moja au sehemu ya siku. Wakasema: Mola wenu Mlezi anajua zaidi muda mlio kaa. Hebu tumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa atulete cha kukila. Naye afanye mambo hayo kwa busara, wala asitutaje kabisa kwa yeyote Kwani wao wakitutambua watatupura mawe, au watakurudisheni katika dini yao; na hapo hamtafanikiwa kabisa} Sadaqa Allah Al3adhim[Alkahf:19].
Suali 3- Na jee yule mwanamume ambae alitoka kwa pango amienda mjini akawaletea chakula?
Jibu 3- Bali Alirudi kwa mlango wa pango kwakua Allah Ameangamiza Mji Wa Qaumu yao baada walipo kimbia kwa pango, Kwajili ya hivo alitoka yule mwanamume kwa mlango wa pango na hakuona Mji wala mwangaza yoyote, Na ilikuwa wakati ni usiku lakini yeye hakuona kitu ispokua kiza cha usiku kilio enea katika ukimya wa usiku, Wala hakuona japokua kijimwangaza kwa nyumba ya yoyote katika mji mkuu, Bali Ni kiza kilio enea alafu akaita wenzake ili wangalie hilo jambo, Alafu wakatoka wote kwa mlango wa pango wakawa wanasikizia kwa utulivu huwenda wakasikia milio ya jibwa ama milio ya punda ama sauti ya wanyama kama mbuzi ama ukelele wa ma jogo ili wajulishe kuwa wako kaumu yao huwenda labda wamelala, Lakini wao hawakusikia kitu kama kwamba hakuna uhai maeneo ilio wazunguka, Likawashangaza jambo hilo! Alafu waka’amua warudi kwa pango lao walale mpaka asubuhi alafu wangalie asubuhi nini kilio wapata kaumu yao ba’ada yao, Lakini wao hawajuwi kwamba Allah amiangamiza kijiji cha kaumu yao baada yao kabla miaka alfu tisa, Mpka walipo rudi kwa pango lao ili walale mpaka asubuhi alafu Allah Akipiga kwa masikio yao muda wao wa pili miyaka tisa, Na wanazali wamelala Mpaka sa hi sasa kwa usingizi wao Wanaendelea kumaliza mar yao ya pili, Kusadikisha kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَازْدَادُوا تِسْعاً} صدق الله العظيم [الكهف:25].
Allh Ta3ala Asema:{Na Wakazidisha Tisa} Sadaqa Allh Al3adhim [Allahf:25].
Na Namshuhudisha Allah Kwamba Muda Wa Kuka Kwao Mwanzo Ni Miyaka Alfu Tisa Kwa Hisabu Za Siku Za Binadamu, Na Hakika Ya Muda Wa kuka Kwao Mara Ya Pili Ni Miaka Alfu Tisa kulingana na hisabu za siku za Binadamu, Na Hakika Sisi Ni Wakweli.
Na Labda Anataka Moja Katika Waulizaji Kutaka Kusema:” Hakika Hi ni jambo la ajabu! Lakini vipi Kuka Kwao Muda Ya Mara Ya Kwanza Miyaka mia Tatu, Alafu Unasema Miyaka Alfu Tisa! Na Hivo Hivo Muda Wao Wa Mara Ya Pili Miyaka Tisa Na Unasema Hivo hivo miyaka Alfu tisa? Hakika Hi Ni Jambo La Ajabu! Basi nifundishe ma siri ya ilimu ya hisabu katika Muhakam ilio wazi mana yake katika kitabu ukumbusho kwa wenye akili na fatwa kwa waulizaji kuhusu muda wa Watu wa pango wa kwanza na wa pili”. Na Alafu Amarudisha Juu yake Jibu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Nasema: Hakika Ya Hisabu itakua kwa hisabu ya mzunguko wa sayari tatu Moja wao ni sayari inao mwangaza na sayari inao ngara na sayari ardhi ya watu, na labda anataka kuliza mulizaji kusema:” Na Jee inapatikana kwenye kitab Hisabu Ya kimwezi na hisabu ya kijuwa?”. Na Alafu tunawapa fatwa waulizaji kwa haki kwamba iko hisabu ya kijuwa kwa mzunguko wa juwa, Na Hisabu ya kimwezi kwa mzunguko wa mwezi, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{الشَّمْس وَالْقَمَر بِحُسْبَانٍ} صدق الله العظيم [الرحمن:5].
Allah Ta3ala Asema:{Jua na mwezi huenda kwa hisabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Rahman:5].
Na Mwezi Wa Jua Inakua Sawa Na Siku Alfu Moja Ya Kimwezi Kwa Siku Za Dhati Ya Mwezi.
Na Suali ambalo lajiweka lenyewe: Lakini Siku Moja Ya Mwezi ni siku ngapi kulingana Na Hisabu Ya Siki Za Binadamu?
Na Jawabu: Siku Thalathini Za Kiardhi Kulingana Na Hisabu Za Binadamu, Kwahivo Mwezi wa Jua inawafikiana miyezi alfu moja kutokana na miyezi ya Binadamu.
Na ili isiwe ngumu suali hili lakini juweni kwamba nukta moja katika nukta za kimwezi inawafikiana na nukta thalathini za kiardhi, Na hivo hivo Dakika inawafikiana na dakika thalathini za kiardhi, Na Sa Inawafikiana Na Masa Thalathini za Kiardhi, Na Siku Inawafikiana Na Siku Thalathini za ki Ardhi, Na Mwezi Inawafikiana Miyezi Thalathini za Ki Ardhi, Na Mwaka Wa Ki Mwezi Wa Dhati Ya Mwezi Hatimai itawafikiana Na Miyaka Thalathini Ya Kiardhi, Alafu tutakuja kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَبِثُوا فِي كَهْفِهِمْ ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:{Na Walibaki Kwa Pango Lao Miyaka Miya Tatu} Sadaqa Allah Al3adhim, Na Anakusudia Kwa Hisabu ya Mwaka Wa Kimwezi kwa Dhati Ya Mwezi Na Kwa Mzunguko wa Mwezi Na Siku Ya Mwezi.
Na Suali Ambalo Lajiweka Lenyewe: Na Ngapi inawafikiana Kwa Miyaka Mia Tatu Za Ki Mwezi kwa Hisabu Ya Miyaka Ya Binadamu? Na Jibu; Kwavile Siku Moja Ya Kimwezi Kwa Dhati Ya Mwezi inawafikiana kwa siku Thalathini za Ki Ardhi Na Mwezi Ni Miyezi Thalathini hatimai Mwaka Wa Ki Mwezi Moja kwa Dhati Ya Mwezi inawafikiana Na Miyaka Thalathini Za Ki Ardhi, Kwa Hivo Utapiga [Thalathini x ( Miyaka Mia Tatu) = Miyaka Alfu Tisa Kwa Hisabu Ya Miyaka Ya Ki Ardhi Kwa Usawa Na Hisabu Ya siku Za Binadamu haizidi nukta moja wala haipungui nukta moja.
{ثَلاثَ مِائَةٍ سِنِينَ}
{Miyaka Miya Tatu} [Za Kimwezi inawafikiana Miyaka 9000 Haizidi wala haipunguwi ]
Na Alafu Tunakuja Kwa Hisabu Ya Kuka Kwao kwa mara ya pili Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَازْدَادُوا تِسْعاً} صدق الله العظيم [الكهف:25].
Allah Ta3ala Asema:{Na wakazidisha tisa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf:25].
Na Alafu Tunarudi Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala
{الشَّمْس وَالْقَمَر بِحُسْبَانٍ} صدق الله العظيم [الرحمن:5].
Allah Ta3ala Asema:{Jua na mwezi huenda kwa hisabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Rahman:5], Na Hivi yamanisha kwamba kuka kwao kwa mara ya pili ni kwa hisabu ya ki jua kwa mzunguko wa jua, Na Kwa vile Mwezi wa kijuwa inawafikiana na miyezi alfu katika muhakam ilio wazi mana yake ktika kitabu kulingana na siku za kibinadamu kwa hivo mwaka moja wa kijua inawafikiana na miyaka alfu munavo hisabu, Na alafu tunajua Bayana ya haki kwenye kauli ya Allah Ta3ala
{وَازْدَادُوا تِسْعاً} صدق الله العظيم،
{Na Wakazidisha Tisa} Sadaqa Allah Al3adhim, Yani: Miyaka Tisa Ya Kijua, Na kwa vile mwaka moja wa kijua inawafikiana miyaka Alfu katika miaka ya binadamu kwa Bayana Ya Haki kwa kauli ya Allah Ta3ala:
{وَازْدَادُوا تِسْعاً} {Wakazidisha Tisa} Yani: Miyaka Tisa Za kijua, Na Kwa vile mwezi wa kijua inawafikiana na miyezi alfu katika miyezi ya kibinadamu kwa hivo mwaka wa kijua inawafikiana na miyaka alfu vile munavo hisabu.
Kwahivo Bayana Ya Haki Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَازْدَادُوا تِسْعاً} { Wakazidisha Tisa} Yani Miyaka Tisa Ya Kijuwa, Nayo Inawafikiana Na Miyaka Alfu Tisa Vile Munavo hisabu, Na Inakua Sawa Ya Kuka kwao kwa mara ya kwanza na kwa mara ya pili. Lakini haikuzidi nukta wala haikupungua nukta moja pamoja yakua hisabu haikuwa kwa hisabu ya Mzunguko wa sayari moja, Bali Imeungana ndani yake hisabu ya mzunguko wa mwezi na jua na Ardhi.
Na Imeisha Natija kwa hisabu ya ma siku ya binadamu kwa kuka kwao mara ya kwanza miyaka alfu tisa vile munavo hisabu, na kuka kwao mara ya pili miyaka alfu tisa kwa vile munavo hisabu, Na Hakika Sisi Ni Wa Kweli..
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Na Labda Anataka Moja Ya Waulizaji Kutaka Kusema:” Ewe Nasser Muhammad Wewe hakika Ni Mwana Sayansi mjuzi kwa hisabu ya mzunguko wa ma sayari”. Na Alafu Anarudisha jibu juu yake Al’Imama Al’Mahdi Na Nasema: Natowa Qasam Billah Al3adhim Sikua Siku Moja Mwanasayansi wa kifalaki wala mwanachuoni wa dini; Lakini hio ni bayana ya haki ya Al’Quran ! Hivi hamutafakari? Na Lau Nigekua Mwanasayansi wa kifalaki kama munavo dai mungepata tangazo langu kwa mwandamo wa mwezi shawal kwa mwaka 1433 kama mfano wa tangazo wa baki ya wanasayansi wa falaki wa kiarabu na wa kiajemi; Wamewafikiana kwamba Mwandamo wa shawal wa mwaka huu 1433 Haitakiwi iwe jumamosi bali juma pili, Kwakua wao kulingana na hisabu ya ilimu yao ya kifalaki kwamba mwezi utazama kabla kuzama jua juma 28 Ramadhan 1433 ya hijra, Lakini Tangazo la Al’Mahdi Al’Muntadhar kwamba Idi ya Fitri Almubarak inawafikiana na siku ya Jumamosi, Kwa kuwa najua kutoka kwa Allah Yale Ambao hawajuwi wote wanasayansi wa kiarabu na wakiajami, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin Atawaonesha Aya zake na mutazijua, Na Hakua Mola Mlezi Wako ni Mwenye Kughafilika kwa yale munayo yafanya.
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ
اقتباس: اضغط للقراءة