الموضوع: Alaimam Almahdi anawakumbusha waumini katika kauli ya Allah Ta3ala كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِّيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ

1

Alaimam Almahdi anawakumbusha waumini katika kauli ya Allah Ta3ala: { كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِّيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ }..

Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
07 - 09 - 1434 هـ
14 - 07 - 2013 مـ
06:29 صباحاً
ــــــــــــــــــــ
Alaimam Almahdi anawakumbusha waumini katika kauli ya Allah Ta3ala:
{ كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِّيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ }..


Bismillahi Arahmani Arahim, Na swala na salam ju ya ma Nabi wote wa Allah na Mitume wake kutokana na Watu na Majini na Malaika na ju ya waislamu wote wamwanzo na wa mwisho na walio maeneo ya ju mpaka siku ya Dini..
Amesema Allah Ta3ala:
: {كِتَابٌ أَنْزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura-Swad],
Na katika aya hi ambao iko wazi maana yake muhkama Anawalingania Mwenyezi Mungu kuchunguza aya za kitabu, Kisha Akatoa fatwa kwa haki kua atakumbuka wenye akili, Na hivo hivo Bayana ya imam Mahdi inao wazidi kwa utawala wa ilimu ya kitabu hawatafahamu ispokua wenye akili, Na yale ninao yataka kutoka kwa wageni wanao kuja ambao ni watafiti wa haki kua wangalie na kusoma na kuchunguza katika Bayana nyengi za imam Mahdi ya Qran Tukufu, Basi atapta suluhisho miongoni mwa mwasuala mingi ambao ilikuwa tatizo gumu kwake na hajwawahi katu kupata jibu kutoka kwa vijitabu vya binadamu ispokua katika Bayana za Imam Mahdi Nasser muhammad Al'Yamani, Na masuali mengine amehukumu kati ya walio khitilifiana na nasema huyu yuko na haki katik suali fulani na nasema huyu yuko katika batili kwenye suali lingine, na hivo hivo bila kujipendekeza kabisa..
Lakini kwa maskitiko hakika kwa wale baadhi ambao hawatafakari pale wanapo sikia tu kua Nasser Muhammad anasema kadha kwenye suali fulani kisha asema;" Kwahivo Nasser Muhamad Al'Yamani anafwata madh'hebu fulani" ! Kisha nasema: Ewe mwanamume, Lau ungefwatilia ma Bayana ungekuta Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad A;'Yamani anaikhalifu ile poti ambao unadai kua nawafwata, kisha inabainika kwako kua kuweli Nasser Muhammad Al'Yamani hajafungana na madhehebu yoyote au poti lolote ; Bali amehukumu baina ya makundi kwa yale wanao khitilifiana ndani yake kwakua Mwenyezi Mungu Amemtumiliza Al'Imam Al'Mahdi ili aunganishe safu za waislamu na kuwaleta pamoja, na pia ni neema kutoka kwa Allahkwenu, Na rehma kwa walimwengu wote.
Na enyi waislamu hakika mimi nawaogopea adhabu ya siku giza, Na enye wapendwa wangu wanavioni wa umma kwanini mumenyamaza kimnya ju ya haki, Basi mutakua katika hali gani mbele ya Mwenyezi Mungu? Kwanini hamtaki kufwata Aya za Mwenyezi Mungu kwenye muhkam ilio wazi maana yake kitabu chake ambao anwahoji nayo Imam Mahdi Nasser Muhammad Al'Yaman? Je ni kua mwaogopa asiwe ni Mahdi Anae ngojewa? Kisha nawambia nyinyi: Mcheni Mwenyezi Mungu enyi wenye akili basi ametangaza Imam Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwa wale ambao wana hi wasiwasi ya kishetani ambao inamzuwia kumfwata Imam Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani hakika mimi nakubali beyaa yao bila kuandika ndani yake shahada yao kua Nasser Muhammad Al'Yamani yeye ni Mahdi Anae ngojewa; Bali andike:
(Nampaa beyaa Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Imamu wa waislamu)
Ama wale ambao wamekua na yakini kua Nasser Muhammad Al'Yamani yeye ni Imam Mahdi, Basi hwaowandike shahada yao kwa haki kwenye beyaa yao: (Ash'hadu Ana La Ilaha Ila Allah, Wa Ash'hadu Ana Muhammadan Rasul Allah, Wa Ash'hadu Ana Nasser Muhammad Yeye ndio Mahdi Anaengojewa Nasser Muhammad)
Na nimetaraji kutoka kwa Mola wangu Mlezi kua amoneahe kila mtu ambae ataka kufwata haki aifanye ni njia, Na Ramadhan Mubark kwa waislamu wote.
Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhmdulillah Rabilalamin..
Ndugu Yenu;Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani,
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ
======== اقتباس =========
اقتباس: اضغط للقراءة